Uchaguzi 2020 Lissu mnyang'anye Magufuli advantage ya vyombo vya habari vya umma na wasanii

Nyie watu siasa zimewaharibu..UCCM na UCHADEMA umewafanya vijana kutojua nin tunahtaji nchi hii..yaan mgombea asimame kijijini huko hakuna maji,hospital wala umeme aanze kuwaelezea wananchi swala la TBC na USANII??ahahaha tuna safari ndefu saana
 
Nchi ina miaka zaidi ya 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani lakini CCM wanachukua pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi wanazitumia kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani badala ya maendeleo, hata huto tumaendeleo kiduchu twa kujenga flyover SGR bwawa la umeme na miradi yote mikubwa kuna ufisadi wa kutisha sana ndiyo maana wanakosa nguvu kuitumia kama njenzo ya kuomba kura, mda huu kama ingekuwa siyo CCM pengine Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko kuliko America German China India Canada oman na mataifa mengi Duniani na pengine ingeweza kuwa na kura ya veto
 
Wewe ni nani unamuita mfadhili beberu? Ukweli unajua kuwa mwenyekiti ni jiwe na mtu kujifananisha na kitu kisichokua na uhai maana hakina utashi.
Kiwe nacho na kisiwe nacho mwisho wa siku ataendelea kua rais wa wewe unaejiona una utashi
 
kuwa mkweli japo ndani ya nafsi yako...hv chukulia kwa mfano umewapa mtihani unaofanana kati ya Jiwe na TL halafu matokeo yake TL akapata division III unadhani Jiwe yeye atakuwa kapata matokeo gani hapo?!?!.

keep left kingehusika hapo!!.
Akibahatisha Division Five mniue
 
10 October 2020

Vituo vya Radio , TV vipo nyuma katika kusambaza habari, mitandao inaongoza

Katibu wa Jukwaa la wahariri Neville Meena ambaye ni mwandishi nguli asema vyombo vya mitandao ya kijamii Uchaguzi huu vimeshika hatamu kupasha habari kuliko TV , Radio na Magazeti kutokana na teknolojia kuendelea ktk Uchaguzi wa 2020.

Vyombo vya habari vinavyoegemea upande mmoja tu wategemee kususwa na walaji mara baada ya Uchaguzi kuisha anahitimisha Katibu huyo wa Jukwaa la Wahariri na hiyo ndiyo gharama ya kuegemea upande mmoja katika mazingira ya ukandamizaji wa habari.
 
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.

Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya.

Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi, inamrusha yeye tu, wala haina mpango wa kurusha wagomnea wengine wa upinzani tishio kwake kama Lissu mwenyewe.

Pamoja na TBC kumsaidia Magufuli kusikika zaidi kuliko wagombea wengine kinyume cha sheria za Uchaguzi, upendeleo huo wa kupita kiasi kwa Magufuli dhidi ya wagombea wengine pia unawafanya wananchi Waikinai hiyo TV na hivyo indirectly kuanza Kumkinai Mgombea wa CCM.

Sasa Lissu anatakiwa afanye yafuatayo ili kumuondolea Magufuli advantage ya vyombo vya umma kwake

1. Discredit TBC, ichongee sana kwa umma kwenye kila mkutano wa kampeni, yaani ishushe thamani mpaka watu waidharau

Kila chombo cha habari kinapenda kukubalika, kuheshimika na kupata watazamaji au wasikilizaji. Kwa hiyo Lissu hapa anatakiwa aishushue, ailaani TBC TV na redio yake, aichongee mbele ya wananchi, aiite haifanyi kazi kwa weledi, aeleze jinsi inavyovunja sheria za uchaguzi, aeleze jinsi ilivyo na upendeleo na awatake wananchi Waipuuze mpaka wajirekebishe. Akifanya hivi Wananchi hawatoichukulia TBC serious na kwa hivyo ile advantage ambayo Magufuli anaipata kwenye hiyo TV na redio itapunguzwa sana. Lissu kuna haja ya kuiattack TBC verbally tena kwa nguvu nyingi sana mbele ya wananchi. Wakijiona wanapoteza mtaji wa watu kwa watu kuwapuuza watajirekebisha.

2. Kwa upande wa wasanii, endelea kumpiga vijembe Magufuli kwa kuwaletea watu disko badala ya kunadi sera za kusaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuondoa kitambulisho cha wamachinga, kuleta katiba mpya, etc.

Wasanii wana nguvu, kuna haja ya kutengeneza Meseji ya Kuponda performance za wasanii zilizopitiliza kwenye kampeni za Magufuli. Hapa meseji iwe ni kuwa uchaguzi huu ni uchaguzi wa masuala yanayogusa maisha ya wananchi, elimu yao, afya yao, ugali wao mezani, pensheni zao, siyo kuletewa watu wa kukatakata viuno majukwaani eti iwe ndiyo sera ya kuombea kura.
Wakumbushe wananchi kisa cha mwanamuziki mkubwa Bob Marley aliyekataa katakata kumuendorse mgombea yeyote wa siasa huko Jamaica miaka ya 70 kitendo kilichomjengea heshima zaidi kwa watu wa Jamaica, Sembuse hawa akina Diamond? - Ni nani kati ya hao kafikia star power ya Bob?

Elezea kwa wananchi jinsi Wasanii hawa wasivyo na maono ya kuwasaidia wao wenyewe au kuwasaidia wenzao, Eleza jinsi BASATA ilivyowatesa wasanii kwa kufungia kazi zao mbalimbali lakini leo wako busy kuitetea CCM.

Kuna haja kubwa ya kuwadiscredit hawa wasanii mbele ya umma, lengo la kuwadiscredit siyo kwamba wananchi wasiwapende la hasha, Lengo ni wananchi wasilink performance zao majukwaani na kumpigia kura Magufuli. Lengo hapa ni kudiscredit political undertone katika performance za hao wasanii majukwaani.

Naamini ikiandaliwa meseji nzuri ya kuwakaanga TBC na wasanii mbele ya wananchi mpaka wananchi wakawaona kuwa ni adui wa mabadiriko wanayoyataka, Wasanii wakishaanza kuona wananchi hawana time nao kwenye ushawishi wa kisiasa isipokuwa burudani tu, Tutakuwa tumemnyang'anya Magufuli kete mbili anazodhani zinamsaidia kisiasa!

Lissu piga spana kisawasawa hivi vitu viwili kwenye kila mkutano, Hii itasaidia sana wapiga kura kufuta ushawishi wowote waliokwishajengewa na hivi vitu viwili, lakini pia itaweka kigingi kusaidia vitu hivi visiwe effective katika siku zifuatazo za kampeni.
Mtalia sana na TBC, mara wasanii mara NEC, mara Police, mara viongozi wa dini, mara vyombo vya habari, mara kile. Kinachombeba Mhe Magufuli ni kazi, kazi, kazi alizowafanyia watanzania. Ni hospitali, shule, maji, Barabara, Treni, mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu, ni ndege alizonunua,meli, ni maslahi ya wafanyakazi wa umma aliyoboresha. Ni kujali Kwake wakulima, wafanyabiashara wakiwemo wamachinga ni kupaisha diplomasia ya Tanzania. Ni kupiga vita rushwa na ufisadi na kusimamia utawala wa sheria, haki na kujali wanyonge.Ni mambo kama hayo na mengine mengi ndiyo yanawaleta watu kwa wingi katika mikutano yake na ndiyo sababu atachaguliwa kwa kura za mafuriko. Kimbia ukajiunge na kundi hili kubwa la watanzania umpigie kura Rais Magufuli kwa ajili ya maendeleo yako na vizazi vinavyokuja.
 
Wewe kavu sana. Mbona BBC, VOA na mashirika mengine ya utangazaji ya Kenya yanatoa habari za Lissu tu na sio za Magufu.

Umesha wahi sikia kwenye vyombo vya BBC, DW na VOF wakitangaza mapokezi ya Rais wa Malawi nchini? Ziara yake ya Kuwekanjiwe la msingi na kutembelea SGR na kadahalika na kadhalia.

TBC haiwezi ika Broadcast mambo ambayo yana madhalilisha Rais. Utawafundisha nini watoto. Kiongozi wa upinzani kazi yake nibkutoa matusi tu. Sasa unataka watpto wetu wajifunze matusi ambayo Rais wao anatukanwa?

Wewe utapenda mtu anayependa kutakana watu wengine mbele ya watoto wako?

Rais Magufuli ana huruma sana. Angekuwa nchi nyingine huyu jamaa nadhani hata ile kukanyaga Tanzanania asingethubutu kwa mambo aliyo yafanya nje kwa Rais wetu na watanzania kwa ujumla.

Mimi nina msihi. Akimaliza tu uchaguzi, akishindwa nibafadhali aondeke haraka sana kwa hiari yake, vinginevyo hatakuwa salama kwenye nchi hii. Watu wengi wana dili na yeye. Take mya word!
 
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.

Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya.

Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi, inamrusha yeye tu, wala haina mpango wa kurusha wagomnea wengine wa upinzani tishio kwake kama Lissu mwenyewe.

Pamoja na TBC kumsaidia Magufuli kusikika zaidi kuliko wagombea wengine kinyume cha sheria za Uchaguzi, upendeleo huo wa kupita kiasi kwa Magufuli dhidi ya wagombea wengine pia unawafanya wananchi Waikinai hiyo TV na hivyo indirectly kuanza Kumkinai Mgombea wa CCM.

Sasa Lissu anatakiwa afanye yafuatayo ili kumuondolea Magufuli advantage ya vyombo vya umma kwake

1. Discredit TBC, ichongee sana kwa umma kwenye kila mkutano wa kampeni, yaani ishushe thamani mpaka watu waidharau

Kila chombo cha habari kinapenda kukubalika, kuheshimika na kupata watazamaji au wasikilizaji. Kwa hiyo Lissu hapa anatakiwa aishushue, ailaani TBC TV na redio yake, aichongee mbele ya wananchi, aiite haifanyi kazi kwa weledi, aeleze jinsi inavyovunja sheria za uchaguzi, aeleze jinsi ilivyo na upendeleo na awatake wananchi Waipuuze mpaka wajirekebishe. Akifanya hivi Wananchi hawatoichukulia TBC serious na kwa hivyo ile advantage ambayo Magufuli anaipata kwenye hiyo TV na redio itapunguzwa sana. Lissu kuna haja ya kuiattack TBC verbally tena kwa nguvu nyingi sana mbele ya wananchi. Wakijiona wanapoteza mtaji wa watu kwa watu kuwapuuza watajirekebisha.

2. Kwa upande wa wasanii, endelea kumpiga vijembe Magufuli kwa kuwaletea watu disko badala ya kunadi sera za kusaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuondoa kitambulisho cha wamachinga, kuleta katiba mpya, etc.

Wasanii wana nguvu, kuna haja ya kutengeneza Meseji ya Kuponda performance za wasanii zilizopitiliza kwenye kampeni za Magufuli. Hapa meseji iwe ni kuwa uchaguzi huu ni uchaguzi wa masuala yanayogusa maisha ya wananchi, elimu yao, afya yao, ugali wao mezani, pensheni zao, siyo kuletewa watu wa kukatakata viuno majukwaani eti iwe ndiyo sera ya kuombea kura.
Wakumbushe wananchi kisa cha mwanamuziki mkubwa Bob Marley aliyekataa katakata kumuendorse mgombea yeyote wa siasa huko Jamaica miaka ya 70 kitendo kilichomjengea heshima zaidi kwa watu wa Jamaica, Sembuse hawa akina Diamond? - Ni nani kati ya hao kafikia star power ya Bob?

Elezea kwa wananchi jinsi Wasanii hawa wasivyo na maono ya kuwasaidia wao wenyewe au kuwasaidia wenzao, Eleza jinsi BASATA ilivyowatesa wasanii kwa kufungia kazi zao mbalimbali lakini leo wako busy kuitetea CCM.

Kuna haja kubwa ya kuwadiscredit hawa wasanii mbele ya umma, lengo la kuwadiscredit siyo kwamba wananchi wasiwapende la hasha, Lengo ni wananchi wasilink performance zao majukwaani na kumpigia kura Magufuli. Lengo hapa ni kudiscredit political undertone katika performance za hao wasanii majukwaani.

Naamini ikiandaliwa meseji nzuri ya kuwakaanga TBC na wasanii mbele ya wananchi mpaka wananchi wakawaona kuwa ni adui wa mabadiriko wanayoyataka, Wasanii wakishaanza kuona wananchi hawana time nao kwenye ushawishi wa kisiasa isipokuwa burudani tu, Tutakuwa tumemnyang'anya Magufuli kete mbili anazodhani zinamsaidia kisiasa!

Lissu piga spana kisawasawa hivi vitu viwili kwenye kila mkutano, Hii itasaidia sana wapiga kura kufuta ushawishi wowote waliokwishajengewa na hivi vitu viwili, lakini pia itaweka kigingi kusaidia vitu hivi visiwe effective katika siku zifuatazo za kampeni.
Hivi hii online tv sijui inaitwa Dar live sijui Dar leo ambayo naona inajitahidi sana kurusha matukio ya Tundu ni ya nani?
 
Mawazo mgando hayo. Kwa hiyo Vyombo Vya habari ndio vinawabeba watu kuja kusikiliza sera ? Au wasanii ndio wanalazimisha watu waje umati vile ? CCM ni system ambayo ipo kuanzia ngazi ya chini kabisa , hebu anzeni kujenga chama chenu kwanza , jengeni ofisi kuanzia kijiji hadi taifa ili tujue pa kuwapata.

Ukiona watu wanajaa ni systm imekamilika vizuri .

Zile milioni 300 za kila mwezi mngesave 150m x 12 mon x 5 yrs = 9 billion

Hiyo mngeanzisha mradi wa maendeleo mngeweza kujiimarisha na kuwa chama cha Siasa . Kwa sasa nyie ni Kikundi kinachoendeshwa na watu fulani.

Msijifananishe na CCM Kabisa hamna uwezo hata wa kuanzisha Vyombo Vya habari. Jipangeni kwanza.
 
Sawa Huenda bado upo saloon unasuguliwa Kucha

Dada uwahi kurudi ukampikie Mumeo,JF haitakusaidia kipindi unapigwa na mumeo

Mpe heshima Mumeo acha kujizungusha humu jf kutafuta vidume magonjwa ni mengi dada yangu,vumilia si uliamua mwenyewe kuolewa nanda kalale uchi
Sawa mke wangu ninakazi sana hasa wakati ule ukizungusha huku natoa wabeligiji
 
Sawa Huenda bado upo saloon unasuguliwa Kucha

Dada uwahi kurudi ukampikie Mumeo,JF haitakusaidia kipindi unapigwa na mumeo

Mpe heshima Mumeo acha kujizungusha humu jf kutafuta vidume magonjwa ni mengi dada yangu,vumilia si uliamua mwenyewe kuolewa nanda kalale uchi
Unataka nikuongezee mke mwenzio? Naona unawasilisha ya moyoni mwako kwa fasihi kigeugeu version 2.05
 
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.

Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya.

Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi, inamrusha yeye tu, wala haina mpango wa kurusha wagomnea wengine wa upinzani tishio kwake kama Lissu mwenyewe.

Pamoja na TBC kumsaidia Magufuli kusikika zaidi kuliko wagombea wengine kinyume cha sheria za Uchaguzi, upendeleo huo wa kupita kiasi kwa Magufuli dhidi ya wagombea wengine pia unawafanya wananchi Waikinai hiyo TV na hivyo indirectly kuanza Kumkinai Mgombea wa CCM.

Sasa Lissu anatakiwa afanye yafuatayo ili kumuondolea Magufuli advantage ya vyombo vya umma kwake

1. Discredit TBC, ichongee sana kwa umma kwenye kila mkutano wa kampeni, yaani ishushe thamani mpaka watu waidharau

Kila chombo cha habari kinapenda kukubalika, kuheshimika na kupata watazamaji au wasikilizaji. Kwa hiyo Lissu hapa anatakiwa aishushue, ailaani TBC TV na redio yake, aichongee mbele ya wananchi, aiite haifanyi kazi kwa weledi, aeleze jinsi inavyovunja sheria za uchaguzi, aeleze jinsi ilivyo na upendeleo na awatake wananchi Waipuuze mpaka wajirekebishe. Akifanya hivi Wananchi hawatoichukulia TBC serious na kwa hivyo ile advantage ambayo Magufuli anaipata kwenye hiyo TV na redio itapunguzwa sana. Lissu kuna haja ya kuiattack TBC verbally tena kwa nguvu nyingi sana mbele ya wananchi. Wakijiona wanapoteza mtaji wa watu kwa watu kuwapuuza watajirekebisha.

2. Kwa upande wa wasanii, endelea kumpiga vijembe Magufuli kwa kuwaletea watu disko badala ya kunadi sera za kusaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuondoa kitambulisho cha wamachinga, kuleta katiba mpya, etc.

Wasanii wana nguvu, kuna haja ya kutengeneza Meseji ya Kuponda performance za wasanii zilizopitiliza kwenye kampeni za Magufuli. Hapa meseji iwe ni kuwa uchaguzi huu ni uchaguzi wa masuala yanayogusa maisha ya wananchi, elimu yao, afya yao, ugali wao mezani, pensheni zao, siyo kuletewa watu wa kukatakata viuno majukwaani eti iwe ndiyo sera ya kuombea kura.
Wakumbushe wananchi kisa cha mwanamuziki mkubwa Bob Marley aliyekataa katakata kumuendorse mgombea yeyote wa siasa huko Jamaica miaka ya 70 kitendo kilichomjengea heshima zaidi kwa watu wa Jamaica, Sembuse hawa akina Diamond? - Ni nani kati ya hao kafikia star power ya Bob?

Elezea kwa wananchi jinsi Wasanii hawa wasivyo na maono ya kuwasaidia wao wenyewe au kuwasaidia wenzao, Eleza jinsi BASATA ilivyowatesa wasanii kwa kufungia kazi zao mbalimbali lakini leo wako busy kuitetea CCM.

Kuna haja kubwa ya kuwadiscredit hawa wasanii mbele ya umma, lengo la kuwadiscredit siyo kwamba wananchi wasiwapende la hasha, Lengo ni wananchi wasilink performance zao majukwaani na kumpigia kura Magufuli. Lengo hapa ni kudiscredit political undertone katika performance za hao wasanii majukwaani.

Naamini ikiandaliwa meseji nzuri ya kuwakaanga TBC na wasanii mbele ya wananchi mpaka wananchi wakawaona kuwa ni adui wa mabadiriko wanayoyataka, Wasanii wakishaanza kuona wananchi hawana time nao kwenye ushawishi wa kisiasa isipokuwa burudani tu, Tutakuwa tumemnyang'anya Magufuli kete mbili anazodhani zinamsaidia kisiasa!

Lissu piga spana kisawasawa hivi vitu viwili kwenye kila mkutano, Hii itasaidia sana wapiga kura kufuta ushawishi wowote waliokwishajengewa na hivi vitu viwili, lakini pia itaweka kigingi kusaidia vitu hivi visiwe effective katika siku zifuatazo za kampeni.
TBC ina weledi wa hali ya juu ndiyo maana hairushi MATUSI NA MATUKANO ya Lissu! TBC inaangaliwa na watu wengi ikiwa ni pamoja na watoto (unataka wajifunze matusi?) kutoka kwa Lissu"
 
Nilishaifuta siku nyingi sana hiyo TBCCM kwenye chanel,yani hata watoto wangu tu hawaipendi
 
TBC ina weledi wa hali ya juu ndiyo maana hairushi MATUSI NA MATUKANO ya Lissu! TBC inaangaliwa na watu wengi ikiwa ni pamoja na watoto (unataka wajifunze matusi?) kutoka kwa Lissu"
Wewe huoni Jiwe anatukana na kudhalilisha wanawake kila kukicha mbele ya Camera?

kwa mfano Jana kasema kuwa hawapi ushirikiano mzuri wanawake weusi kuliko weupe kwenye kazi na TBC inarusha udhailishaji huo.
 
Back
Top Bottom