Pre GE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unamtahadharisha Rais daa
Ila siasa za Afrika huwa mnaelewana sana
 
Eti wanasema Hastings kamuzu MBOWE president GWASI OMUYAYA, yaani rais wa milele ndiyo CHADEMA. Akifa yeye ndiyo na CDM itakufa.

😛
Hicho chama wakubwa wa chama wapo kimaslahi binafsi zaidi, siyo kwa ajili ya wananchi.

Ukiona misuguano huko ujuwe zinagombaniwa ruzuku tu.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Kiongozi wa Chama anasafiri kwenda Mbeya kuwatoa waliokamatwa. Anatumia nguvu zipi? kuwatoa. Hawezi kuwatoa akiwa sehemu nyingine? Safari bado ni ndefu sana.
 
Hawa wanaovaa uniform wana agenda ya kumharibia Samia image yake kimataifa,hii ni vita ndani ya CCM kwa kutumia Bavicha.
 
Kiongozi wa Chama anasafiri kwenda Mbeya kuwatoa waliokamatwa. Anatumia nguvu zipi? kuwatoa. Hawezi kuwatoa akiwa sehemu nyingine? Safari bado ni ndefu sana.
Wewe unaweza kuwatoa ukiwa hapo
 
Kuna mabango yamejaa kila sehem mara mpatanishi mara wa woteee hahahah mpaka msemeeee.....! Kumbe n kamupeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…