Yes,Dogo we unajua uonevu wa ccm?
ndivyo ukweli ulivyo, ni mchungu sana halafu una kera sana, lakini itakubidi uzoee tu maana hakuna namna nyingine πUnatia petrol kwenye mafuta kea kutumia lugha ya kukera. Ilichukua watu na.maneno ya aina hii kwa walio wengi kujenga hasira kali iliyosababisha mauaji ya kimbari
hakuna suala la hadithi wala story kwenye kudhibiti uhalifu na ujambazi...Kinachotokea ni Sawa na Kuwapa wananchi chanjo ya kupambana na polisi. Ni suala la muda tu kwa wananchi kuanza kupambana na polisi. Itakpotokea polisi watavikimbia vituo na kutupa uniform zao.. Rejea hadithi ya sativa.
hakuna fitina kwenye uhalifu hata kidogo gentleman πFitna za za mapema kwenye sii hasaa
Ila kweli. Hana uwezo wa kuchambua hata falsafa anayodai ni yake. Yani hakunaga kitu chochote huwa anakielezea in deep'4R' - usanii?
Mtu mwenyewe ni 'illiterate' halafu anatangaza jambo ambalo alipangiwa na wengine, huku yeye mwenyewe hajui inahusu nini!
Ulisha wahi kusikia akiizungumzia kwa umakini stahiki kuelezea 'philosophia hiyo ya 4R?
Alisha toa hotuba ya kufikirisha watu kuhusu hizo 4Rs?
Anachoweza yeye ni kuweka vimaneno vyepesi vyepesi tu na mipasho ya hapa na pale basi!
Ila safari hii naona mtapata kiki tofauti na awamu Ile
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA.
Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Viongozi hao wamekamatwa mda mfupi baada ya kumaliza kikao cha ndani kwenye ofisi hizo pamoja na viongozi waandamizi wa Bavicha na waandishi wa Habari wa Jambo TV Online waliokuwa wamepiga kambi kwenye ofisi hizo nao wamekamatwa
Lissu aliongea na vyombo vya habari leo ambapo alisema;
1. Kwa vile ofisi ya Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara basi Leo atazigeuza ofisi hizo kuwa darasa ameliita ni darasa la kufundisha juu ya ukombozi ,yaani Teach in Resistance.
Pia soma: Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
2. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara Mh LISSU amesema atabaki hapo na ikibidi atalala hapo na amesema na yupo tayari kulala hapo na yeye amesema atakuwa Mwl wa kufundisha Hilo darasa la teach in Resistance. Ila kaomba iwepo namna ya kupasha joto mwili kwa sababu hali ya mbeya ni baridi,amewataka watu wakeshe pale.
3. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara basi wataanzia safari Yao kuelekea Ruanda nzovwe kwenye ofisi hizo za Kanda ya Nyasa
4. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zipo mateka amesema wananchi na vijana wasikubali kutishika na Rais Samia, amesema yeye atabaki ofisini hapo kufundisha darasa la teach in Resistance waje wankamatie pale.
View attachment 3067418
Chadema una nguvu sana. Polisi wetu wanasumbuka bure kabisa kwa masalahi ya watu wachache...sometimes polisi nawaonea huruma.

Marehemu aliacha mawakala wake wako kazini.Si mnasema awamu hii kuna suluhu ya kisiasa yamekuwaje tena
Sasa imekuwaje tena wakazuiliwa tena siku maalumu ya Kidunia? Hofu ya kuzidiwa.Hapo wana wapa kiki tu na umaarufu ili waanze kutrend, kipindi mama amesema maandamano ni ruhusa yalifika wapi? Wameandamana wakaona wananchi wako busy na maisha yao wakaamua kusitisha maandamano.
Ametapika mikasi na nyembe kutoka tumboni.Kumetokea Nini Mtumishi
It is comingCCM Wanafanya watakavyo ipo siku nao watakuwa Wapinzani
Polisi wetu ni sawa na mgambo tu mbele ya raia siku wakiamua, ratio ya polisi na raia haijakaa vizuri!ni muhimu kujiepusha na ukaidi, ni vyema kutii Sheria, makatazo na maonyo ya kiusalama bila shuruti,
vinginevyo,
jeshi la polisi litakabiliana na kiburi na majivuno ya mtu yeyote vizuri tu π
wataamua lini sasa gentleman?πPolisi wetu ni sawa na mgambo tu mbele ya raia siku wakiamua, ratio ya polisi na raia haijakaa vizuri!
Siku raia wakiamua Polisi wanakimbia na kutelekeza magari yenye maji ya kuwasha, mbwa farasi, na land cruiser pickup π».
Wanaweza pia kutelekeza vituo vya Polisi siku nguvu ya umma ikiamua.
Endeleeni kujiziuka, mnadeal na CHADEMA mnaacha wahamiahaji haramu wanapewa nyazifa za maamuzi ndani ya serikali,Rejea Kauli ya Mkuu wa majeshi mbele bya Samia.wataamua lini sasa gentleman?π
kuamini ushirikina ni jambo la faragha lakini naona unaliweka wazi kabisaaaa kulikoni π
Jeshi la police nchini linashughulika na kila aina ya uhalifu na kila ishara au viashiria vya kihalifu popote nchini...Endeleeni kujiziuka, mnadeal na CHADEMA mnaacha wahamiahaji haramu wanapewa nyazifa za maamuzi ndani ya serikali,Rejea Kauli ya Mkuu wa majeshi mbele bya Samia.