Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Siku watakapo kuwa upande huo, wasilalamikie rafu za watawala wa upande huoCCM Wanafanya watakavyo ipo siku nao watakuwa Wapinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku watakapo kuwa upande huo, wasilalamikie rafu za watawala wa upande huoCCM Wanafanya watakavyo ipo siku nao watakuwa Wapinzani
😁😂😁Ametapika mikasi na nyembe kutoka tumboni.
Sisi ndio wabovu kwa kukubali kitu kibovu.Jeshi la Polisi Professional linapokea oda kutoka kwa DC ambaye ni Kada wa Chama???
Katiba yetu ni mbovu sana aisee
Mashetani kutoka kuzimu, takataka kabisa!Ccm
Ccm ni mashetani
Ccm ina sera gani.au unajiandikia tu ujinga.Nchi imeshawashinda ndo maana hamtaki siasa zakistarabu.miaka 60 mko madarakani bado mnaogopa upinzani hiyo maana yake mmeshindwa.Vyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.
Ukiona chama hakina sera elewa kuwa hicho ni chama cha wahuni tu.
Upinzani wa CCM utatokea CCM. Kumbuka hilo.
Sijui kwanini wanawapa air time ya bure...Daah!Mwabukusi where are you my friend!
Ccm chama changu hakuna haja ya kuogopa!!
Sasa basi kwakuwa chama kimekosa watu wenye akili za kisayansi wameshauri ujinga na ujinga huu unaenda kutugharim!!
Kongamano la Bavicha ndio litafana zaidi na kuwa kiki kubwa kisa hao jamaa wamekamatwa!!yaani mmewapa kiki Bavicha na watapata huruma ya wananchi!!
Mngefanya kama mlivyo handle maandamano yalivyolindwa na polisi na mkutano wao mngelinda hivyo hivyo !!
Mngewaita viongozi wa kamati kuu na kuwashauri mkutano uwe wa amani kuliko kuwakamata!
Wewe ulikuwa ukimponda Magufuli....tumejua kumbe ulikuwa ukimponda kwa Chuki tu. Maana aliyofanya magu ndio hayo hayo unayakubali kwa Samia.Vyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.
Ukiona chama hakina sera elewa kuwa hicho ni chama cha wahuni tu.
Upinzani wa CCM utatokea CCM. Kumbuka hilo.
Ni namna nyingine Mungu akitaka kukuinua na kuwaangusha maaduiSijui kwanini wanawapa air time ya bure...Daah!
Ivi Lissu si alisema atatimkia ccm kama chadema itaacha misingi yake? Nafikiri anashuhudia ccm ilivyo au tuseme huwa ni njaa tu kufuata vyeo ilhali wanajua yaliyoko ccm
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA.
Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Viongozi hao wamekamatwa mda mfupi baada ya kumaliza kikao cha ndani kwenye ofisi hizo pamoja na viongozi waandamizi wa Bavicha na waandishi wa Habari wa Jambo TV Online waliokuwa wamepiga kambi kwenye ofisi hizo nao wamekamatwa
Lissu aliongea na vyombo vya habari leo ambapo alisema;
1. Kwa vile ofisi ya Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara basi Leo atazigeuza ofisi hizo kuwa darasa ameliita ni darasa la kufundisha juu ya ukombozi ,yaani Teach in Resistance.
Pia soma: Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
2. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara Mh LISSU amesema atabaki hapo na ikibidi atalala hapo na amesema na yupo tayari kulala hapo na yeye amesema atakuwa Mwl wa kufundisha Hilo darasa la teach in Resistance. Ila kaomba iwepo namna ya kupasha joto mwili kwa sababu hali ya mbeya ni baridi,amewataka watu wakeshe pale.
3. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara basi wataanzia safari Yao kuelekea Ruanda nzovwe kwenye ofisi hizo za Kanda ya Nyasa
4. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zipo mateka amesema wananchi na vijana wasikubali kutishika na Rais Samia, amesema yeye atabaki ofisini hapo kufundisha darasa la teach in Resistance waje wankamatie pale.
Na kwa kuwa ni ya Wapinzani hata Mama anapatamo nafuu humo humoTulia anaogopa anawatuma mapoliccm kuzima mambo ya wapinzani. Mbeya pagumu aisee
Naona ulichotaka hakikatimia moyo unakuuma.Ivi Lissu si alisema atatimkia ccm kama chadema itaacha misingi yake? Nafikiri anashuhudia ccm ilivyo au tuseme huwa ni njaa tu kufuata vyeo ilhali wanajua yaliyoko ccm
Mkuu wewe si unaji elewa.Ila aibu sana.
Kama mimi mwananchi wa kawaida Naona Aibu hao viongozi wa CCm wa najisikiaje.
We ni mpuuzi sana, respond my question objectively!Jeshi la police nchini linashughulika na kila aina ya uhalifu na kila ishara au viashiria vya kihalifu popote nchini...
hakuna kuona aibu wala kuona haya kwenye kudeal na kupambana na wahalifu 🐒
si wanasema chadema mbowe ameiua. haina lolote. ushindi ni wa kishindo
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA.
Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Viongozi hao wamekamatwa mda mfupi baada ya kumaliza kikao cha ndani kwenye ofisi hizo pamoja na viongozi waandamizi wa Bavicha na waandishi wa Habari wa Jambo TV Online waliokuwa wamepiga kambi kwenye ofisi hizo nao wamekamatwa
Lissu aliongea na vyombo vya habari leo ambapo alisema;
1. Kwa vile ofisi ya Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara basi Leo atazigeuza ofisi hizo kuwa darasa ameliita ni darasa la kufundisha juu ya ukombozi ,yaani Teach in Resistance.
Pia soma: Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
2. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara Mh LISSU amesema atabaki hapo na ikibidi atalala hapo na amesema na yupo tayari kulala hapo na yeye amesema atakuwa Mwl wa kufundisha Hilo darasa la teach in Resistance. Ila kaomba iwepo namna ya kupasha joto mwili kwa sababu hali ya mbeya ni baridi,amewataka watu wakeshe pale.
3. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zimetekwa nyara basi wataanzia safari Yao kuelekea Ruanda nzovwe kwenye ofisi hizo za Kanda ya Nyasa
4. Kwa vile ofisi za Kanda ya Nyasa zipo mateka amesema wananchi na vijana wasikubali kutishika na Rais Samia, amesema yeye atabaki ofisini hapo kufundisha darasa la teach in Resistance waje wankamatie pale.
Mkuu, tumekuwa na chama kimoja kinacho endesha Serikali for 60yrs, tangu tupate Uhuru ndio maana tupo hapa; laiti Nchi ingetawaliwa na vyama mbalimbali kwa kupokezana nadhani tusinge yaona haya. Hili ni tulionalo ni jambo la kawaida sana kiasi kwamba halinge julikana. Hii yote ni uroho wa madaraka.Watanzania tujiulize tumefikaje hapa!
Very unprofessional huyu kiongozi.... Sijawahi kumwelewa....Homera again