Pre GE2025 Lissu: Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio Spika Madam Makinda pekee hata Mzee wa Simanjiro Ole Sendeka , wakati wa Bunge Maalum la Katiba, alishawahi kukiri kwamba Lissu ni mtu potential bado ya kutoa MADINI mara kwa mara ndani ya kamati ndogo( nadhani walikuwa kamati moja) hata kwenye Bunge la Katiba..Lissu ni HAZINA ya TAIFA..ITUMIKE
 
Ilikuwa tangu hajanunuliwa gari na maria
 
Hizo sifa wengi sana wanazo. Kuwa mgombea Urais hata Mzee Hashim Rungwe anayo!
 
Wakili Msomi Masumbuko Lamwai aliwahi kubadili utaratibu wa kuapa Bungeni enzi za Mzee Pius Msekwa. Nini Lissu bwana!
 
Ni hatari sana kwa chama kama Hiki kuchukua nchi ....tuhakikishe tunairudisha CCM madarakani mwaka huu 🐼
Ccm haiwekwi madarakani kwa kura boss, bali kwa mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Chadema njia panda
 
TL akaona sasa kama mbwai iwe bwai unasema siwezi u~makamu, nakupelekea moto huko huko kwenye u mwenyekiti

now FAM anajuta, anatamani rudisha siku nyuma aseme TL anafaa kuwa makamu
 
Hata October haijafika lakini Huyu Lissu kashampoteza kizimkazi kwenye ramani
 

Acja mhemuko.

Muwe mnadoma na kuelewa kuliko kukurupuka tu na majibu na kutukans watu.
 
Mbowe hapana
 
Kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM. Kataa CCM kataa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…