Pre GE2025 Lissu: Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtoto nyamaza, asije akakusikia aliyekuwa spika wa bunge letu Anna Makinda. Aliwahi kukiri mbele ya bunge kwamba hakuna mbunge mwenye machachari kama Mh. Tundu Antiphas Lissu.

Kama mnadhimu mkuu wa upinzani bungeni, Mh. Lissu mara nyingi alikuwa akimpa spika Makinda tuition kuhusu sheria na kanuni za bunge huku akimkumbusha wajibu wake kama spika.
Sio Spika Madam Makinda pekee hata Mzee wa Simanjiro Ole Sendeka , wakati wa Bunge Maalum la Katiba, alishawahi kukiri kwamba Lissu ni mtu potential bado ya kutoa MADINI mara kwa mara ndani ya kamati ndogo( nadhani walikuwa kamati moja) hata kwenye Bunge la Katiba..Lissu ni HAZINA ya TAIFA..ITUMIKE
 
Ilikuwa tangu hajanunuliwa gari na maria
 
Wewe jipige kifuani mara tatu ujiite "mimi ni juha "
2015 Lissu alikuwa ni chief whip bungeni.
2016 alikuwa ni rais wa TLS chama cha wanasheria TLS wasomi, siyo wajinga kama wewe.
2020 alikuwa ni mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Wewe una sifa gani?
Hizo sifa wengi sana wanazo. Kuwa mgombea Urais hata Mzee Hashim Rungwe anayo!
 
Mtoto nyamaza, asije akakusikia aliyekuwa spika wa bunge letu Anna Makinda. Aliwahi kukiri mbele ya bunge kwamba hakuna mbunge mwenye machachari kama Mh. Tundu Antiphas Lissu.

Kama mnadhimu mkuu wa upinzani bungeni, Mh. Lissu mara nyingi alikuwa akimpa spika Makinda tuition kuhusu sheria na kanuni za bunge huku akimkumbusha wajibu wake kama spika.
Wakili Msomi Masumbuko Lamwai aliwahi kubadili utaratibu wa kuapa Bungeni enzi za Mzee Pius Msekwa. Nini Lissu bwana!
 
Ni hatari sana kwa chama kama Hiki kuchukua nchi ....tuhakikishe tunairudisha CCM madarakani mwaka huu 🐼
Ccm haiwekwi madarakani kwa kura boss, bali kwa mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.

Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================

Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho

Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Chadema njia panda
 
TL akaona sasa kama mbwai iwe bwai unasema siwezi u~makamu, nakupelekea moto huko huko kwenye u mwenyekiti

now FAM anajuta, anatamani rudisha siku nyuma aseme TL anafaa kuwa makamu
 
Ni mawazo yako ila ni ya kiuendawazimu hukemei upumbavu na njama na hila za kijinga za Mbowe na team yake, ila unaona anayekemea upumbavu huu ndio liability?

Wewe kama umeithibitisha toa kweli yako kupinga, rushwa na njama kama hizo zina ushahidi wa kimazingira, Lissu, Lema, Wenje Msigwa wote watakuwa ni liability kwa reasoning yako. Ila Mbowe na genge lake wanaofanya njama kuwafukuza hawa ndio mtaji?
Pathetic reasoning

Acja mhemuko.

Muwe mnadoma na kuelewa kuliko kukurupuka tu na majibu na kutukans watu.
 
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.

Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================

Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho

Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mbowe hapana
 
Kumchagua Mbowe ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM. Kataa CCM kataa Mbowe.
 
Back
Top Bottom