Kwa nini iwe Sengerema na isiwe Masaki ama mikocheni.Sengerema mwanza Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini iwe Sengerema na isiwe Masaki ama mikocheni.Sengerema mwanza Tanzania
Sio Spika Madam Makinda pekee hata Mzee wa Simanjiro Ole Sendeka , wakati wa Bunge Maalum la Katiba, alishawahi kukiri kwamba Lissu ni mtu potential bado ya kutoa MADINI mara kwa mara ndani ya kamati ndogo( nadhani walikuwa kamati moja) hata kwenye Bunge la Katiba..Lissu ni HAZINA ya TAIFA..ITUMIKEMtoto nyamaza, asije akakusikia aliyekuwa spika wa bunge letu Anna Makinda. Aliwahi kukiri mbele ya bunge kwamba hakuna mbunge mwenye machachari kama Mh. Tundu Antiphas Lissu.
Kama mnadhimu mkuu wa upinzani bungeni, Mh. Lissu mara nyingi alikuwa akimpa spika Makinda tuition kuhusu sheria na kanuni za bunge huku akimkumbusha wajibu wake kama spika.
Kelele za nini? 21 haipo mbali ajiandae kuhama chamqLissu akaona amfuate huko huko kwenye Uenyekiti 😆😆😆
Ilikuwa tangu hajanunuliwa gari na mariaSio Spika Madam Makinda pekee hata Mzee wa Simanjiro Ole Sendeka , wakati wa Bunge Maalum la Katiba, alishawahi kukiri kwamba Lissu ni mtu potential bado ya kutoa MADINI mara kwa mara ndani ya kamati ndogo( nadhani walikuwa kamati moja) hata kwenye Bunge la Katiba..Lissu ni HAZINA ya TAIFA..ITUMIKE
Namuonaga kama Cassy pool wakenya sijui ni nduguDalali yule akilewa ndio utamjua..
Nishakunywa nae sana
Hizo sifa wengi sana wanazo. Kuwa mgombea Urais hata Mzee Hashim Rungwe anayo!Wewe jipige kifuani mara tatu ujiite "mimi ni juha "
2015 Lissu alikuwa ni chief whip bungeni.
2016 alikuwa ni rais wa TLS chama cha wanasheria TLS wasomi, siyo wajinga kama wewe.
2020 alikuwa ni mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Wewe una sifa gani?
Wakili Msomi Masumbuko Lamwai aliwahi kubadili utaratibu wa kuapa Bungeni enzi za Mzee Pius Msekwa. Nini Lissu bwana!Mtoto nyamaza, asije akakusikia aliyekuwa spika wa bunge letu Anna Makinda. Aliwahi kukiri mbele ya bunge kwamba hakuna mbunge mwenye machachari kama Mh. Tundu Antiphas Lissu.
Kama mnadhimu mkuu wa upinzani bungeni, Mh. Lissu mara nyingi alikuwa akimpa spika Makinda tuition kuhusu sheria na kanuni za bunge huku akimkumbusha wajibu wake kama spika.
Na kuwa kiongozi wa TLS chama cha wanasheria wasomi Rungwe anayo?Hizo sifa wengi sana wanazo. Kuwa mgombea Urais hata Mzee Hashim Rungwe anayo!
Kuna Watanzania zaidi ya 30 washawahi kuwa Marais wa TLS.Na kuwa kiongozi wa TLS chama cha wanasheria wasomi Rungwe anayo?
Ccm haiwekwi madarakani kwa kura boss, bali kwa mbeleko ya vyombo vya dola.Ni hatari sana kwa chama kama Hiki kuchukua nchi ....tuhakikishe tunairudisha CCM madarakani mwaka huu 🐼
Chadema njia pandaUkisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha nisimame kugombea Uenyekiti maana niliona Chama kinaenda kupotea”, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu akizungumzia nafasi yake ndani ya Chama hicho
Soma Pia: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
Kwa hiyo inamnyima sifa Lissu kugombea uenyekiti wa CHADEMA?Kuna Watanzania zaidi ya 30 washawahi kuwa Marais wa TLS.
Ni mawazo yako ila ni ya kiuendawazimu hukemei upumbavu na njama na hila za kijinga za Mbowe na team yake, ila unaona anayekemea upumbavu huu ndio liability?
Wewe kama umeithibitisha toa kweli yako kupinga, rushwa na njama kama hizo zina ushahidi wa kimazingira, Lissu, Lema, Wenje Msigwa wote watakuwa ni liability kwa reasoning yako. Ila Mbowe na genge lake wanaofanya njama kuwafukuza hawa ndio mtaji?
Pathetic reasoning
Lissu sio mjinga kama wewe. PUMBAFU
Wewe ndio ulikurupuka, mkiambiwa kweli mnaona mmetukanwa? Chungu imeze tu hivyo hivyo jitahidiAcja mhemuko.
Muwe mnadoma na kuelewa kuliko kukurupuka tu na majibu na kutukans watu.
Mbowe hapanaUkisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.