Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
kwahiyo unashauri nimmiss mama yako sioHivi unawezaje kumiss wanaume wenzio?
Kwani mkuu ni kweli walisema watarudi March au April?? Isije kuwa mleta mada anawasingizia tuHivi unawezaje kumiss wanaume wenzio?
Walisema kupitia space na vyombo vya habari vyoote vikaripotiKwani mkuu ni kweli walisema watarudi March au April?? Isije kuwa mleta mada anawasingizia tu
Mbona humuulizi Sirro uchunguzi wa waliompiga risasi umeishia wapi mpaka sasa?Igweeeeee
Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa chadema kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi
Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini kimewakuta hawa viongozi wetu mpaka sasa wameshindwa kurejea nchini ili waje kuunganisha nguvu kuipambania katiba mpya na Tanzania kwa ujumla?
NB
ukitukana nakutukana pia
Wewe miaka imepita mbona haujaenda kuwaona wazazi wako kijijini kwao? Hao kama unawadai nenda mahakamani kafungue kesi ya madai.Igweeeeee
Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa chadema kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi
Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini kimewakuta hawa viongozi wetu mpaka sasa wameshindwa kurejea nchini ili waje kuunganisha nguvu kuipambania katiba mpya na Tanzania kwa ujumla?
NB
ukitukana nakutukana pia
Kwani mkuu ni kweli walisema watarudi March au April?? Isije kuwa mleta mada anawasingizia tu
kwahiyo unashauri nimmiss mama yangu sio!
Kama hii nayo ni sababu ya hawa watu kMbona humuulizi Sirro uchunguzi wa waliompiga risasi umeishia wapi mpaka sasa?
Dogo hii ni JfWewe miaka imepita mbona haujaenda kuwaona wazazi wako kijijini kwao? Hao kama unawadai nenda mahakamani kafungue kesi ya madai.
Utakuwa ni mmoja wa wale waliokusahau kwao, haya watumie nauli waje uwaone.Kama hii nayo ni sababu ya hawa watu k
Dogo hii ni Jf
usilete kujana sana, kama wazazi wako wapo kijijini sio kila mtu unayemuona jijini pia wazazi wake wapo kijijini
Okey basi tusubiri .Walisema kupitia space na vyombo vya habari vyoote vikaripoti
Wakikujibu kwa maelezo solid yenye facts ni-tag tafadhali.Mbona humuulizi Sirro uchunguzi wa waliompiga risasi umeishia wapi mpaka sasa?
Wanakula Hela za C.I.A na MOSSAD huko, wakirudi watasitishiwa malipo, kwa hiyo bado wanazuga zuga huko na kupewa mafunzo ya jinsi ya kusaliti nchi
Pale ubelgiji alipo Lissu ndio playground ya majasusi wa dunia nzima. Ameshakuwa recruited tayari