Lissu na Mbowe ni washirika ama ni mahasimu wa kisiasa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.

Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?

Mbowe mwaka 2023 alisema hatogombea tena nafasi ya uenyekiti Taifa ndani ya CHADEMA. Wengi wetu tukaamini ni zamu ya Lissu kushika hatamu ya uongozi ndani ya CHADEMA.

Ilikuwaje tena Mbowe akatengua kauli yake ya kutogombea aliyoitoa mwaka 2023 na kuamua kugombea uenyekiti na aliyekuwa makamu wake wakati huo?

Lissu anasema kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa anafanya siasa pamoja na Mbowe. Jee kwa miaka yote hiyo walikuwa washirika ama mahasimu?

Wote wawili ilipofika kwenye kugombea uenyekiti walichukua njia moja ya kushutumiana lakini walipishana kwenye kutafsiri kama hali hiyo ilikuwa ni demokraisa au lah. Kilitokea nini?

Lissu alikuwa na John Heche na Mbowe akaja na Ezekia Wenje. Jee kabla ya ule uchaguzi Wenje na Heche mitizamo yao kuhusu Lissu na Mbowe ilikuwa inatofautiana ama ni mambo ya uchaguzi tu yaliwafanya watofautiane?
 
Ni mahasimu kuanzia kipindi Lissu anaponda 4R mwaka 2023 pale Morogoro kwenye mkutano wa hadhara. Kwenye mazilahi yake Tundu huwa haangalii historia wala wema uliomtendea.

Uchaguzi wa Jan 2025 ndiyo ukahitimisha
 
Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.

Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?

Mbowe mwaka 2023 alisema hatogombea tena nafasi ya uenyekiti Taifa ndani ya CHADEMA. Wengi wetu tukaamini ni zamu ya Lissu kushika hatamu ya uongozi ndani ya CHADEMA.

Ilikuwaje tena Mbowe akatengua kauli yake ya kutogombea aliyoitoa mwaka 2023 na kuamua kugombea uenyekiti na aliyekuwa makamu wake wakati huo?

Lissu anasema kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa anafanya siasa pamoja na Mbowe. Jee kwa miaka yote hiyo walikuwa washirika ama mahasimu?

Wote wawili ilipofika kwenye kugombea uenyekiti walichukua njia moja ya kushutumiana lakini walipishana kwenye kutafsiri kama hali hiyo ilikuwa ni demokraisa au lah. Kilitokea nini?

Lissu alikuwa na John Heche na Mbowe akaja na Ezekia Wenje. Jee kabla ya ule uchaguzi Wenje na Heche mitizamo yao kuhusu Lissu na Mbowe ilikuwa inatofautiana ama ni mambo ya uchaguzi tu yaliwafanya watofautiane?
Jibu sahihi ni mahasimu kwa sababu baada ya uchaguzi kuisha mmoja yuko gelezani mwingine anaonekana kwenye hafra mbalimbali za kiselekali lakini ukonga inatakiwa awe passport kufika huko
 
Kama kweli Lisu amewahi kutoa hiyo kauli basi na yeye alikuwa Chawa wa Mwamba.
Siyo kwamba alikuwa mkweli wa hali halisi? Uchawa si una sifa yake mahsusi? Lissu alifanya nini kinachomfanya aonekane kama aliwahi kuwa CHAWA wa Mbowe?
 
Jibu sahihi ni mahasimu kwa sababu baada ya uchaguzi kuisha mmoja yuko gelezani mwingine anaonekana kwenye hafra mbalimbali za kiselekali lakini ukonga inatakiwa awe passport kufika huko
Inwezekana Mbowe na Lissu Wana ukaribu na Mawasiliano mazuri, inaweza kuwa Mbowe anamtembelea Lissu ukonga.
 
Siyo kwamba alikuwa mkweli wa hali halisi
HALI HALISI IPI ?
MBOWEALISHAKAA MADARAKANI MIAKA MINGI NA ALISHAFIKA KIKOMO CHA KUSHAWISHI DAMU MPYA KUJIUNGA NA CHADEMA. LISU ALIKUWA NA SABABU ZIPI ZA MSINGI ZILIZOMFANYA AONE MBOWE ANAFAA KUENDELEA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA ?
 
Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.

Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?

Mbowe mwaka 2023 alisema hatogombea tena nafasi ya uenyekiti Taifa ndani ya CHADEMA. Wengi wetu tukaamini ni zamu ya Lissu kushika hatamu ya uongozi ndani ya CHADEMA.

Ilikuwaje tena Mbowe akatengua kauli yake ya kutogombea aliyoitoa mwaka 2023 na kuamua kugombea uenyekiti na aliyekuwa makamu wake wakati huo?

Lissu anasema kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa anafanya siasa pamoja na Mbowe. Jee kwa miaka yote hiyo walikuwa washirika ama mahasimu?

Wote wawili ilipofika kwenye kugombea uenyekiti walichukua njia moja ya kushutumiana lakini walipishana kwenye kutafsiri kama hali hiyo ilikuwa ni demokraisa au lah. Kilitokea nini?

Lissu alikuwa na John Heche na Mbowe akaja na Ezekia Wenje. Jee kabla ya ule uchaguzi Wenje na Heche mitizamo yao kuhusu Lissu na Mbowe ilikuwa inatofautiana ama ni mambo ya uchaguzi tu yaliwafanya watofautiane?
"Siku hiyo ndio nilijua kumbe Mwenyekiti Mbowe ana mbio, alichoomoka spidi na hakukamatwa na Polisi" by Lissu utetezi leo
 
HALI HALISI IPI ?
MBOWEALISHAKAA MADARAKANI MIAKA MINGI NA ALISHAFIKA KIKOMO CHA KUSHAWISHI DAMU MPYA KUJIUNGA NA CHADEMA. LISU ALIKUWA NA SABABU ZIPI ZA MSINGI ZILIZOMFANYA AONE MBOWE ANAFAA KUENDELEA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA ?
Swali zuri bahati mbaya Mimi na wewe siyo Lissu Kwa ivo hatuwezi kulijibu.

Lakini kwa mtazamo wa maneno ya Lissu aliyokuwa anayatoa kabla ya ule uchaguzi wa January 21/2025, Lissu alikuwa anaonesha kuthamini mchango wa Mbowe CHADEMA.

Kama huo mtizamo ndiyo uchawa wenyewe... Basi maelezo kuhusu uchawa bado hayaeleweki.
 
Lissu alikuwa anaonesha kuthamini mchango wa Mbowe CHADEMA.
KUTHAMINI MCHANGO SIO KITU KIBAYA NI AINAFULANI YA USTAARABU.

LAKINI HIZI IMANI KWAMBA KIONGOZI FULANI NI THE BEST OF THE BEST YAANI HAKUNA MWINGINE WA KUCHUKUA NAFASI YAKE NI MTAZAMO WA KICHAWA.
KUMBUKA WANACCM NAO WALIKUWA WANAMJAZA UPEPO MAGUFULI HAKUNA TENA MWINGINE KAMA YEYE, HUKU NYUMA YA PAZIA WANAMLIA RADA ILI WAMMALIZE NA KWELI WAKAFANIKIWA KUMMALIZA.
 
Back
Top Bottom