Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ni mahasimu kuanzia kipindi Lissu anaponda 4R mwaka 2023 pale Morogoro kwenye mkutano wa hadhara. Kwenye mazilahi yake Tundu huwa haangalii historia wala wema uliomtendea.Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.
Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Mbowe mwaka 2023 alisema hatogombea tena nafasi ya uenyekiti Taifa ndani ya CHADEMA. Wengi wetu tukaamini ni zamu ya Lissu kushika hatamu ya uongozi ndani ya CHADEMA.
Ilikuwaje tena Mbowe akatengua kauli yake ya kutogombea aliyoitoa mwaka 2023 na kuamua kugombea uenyekiti na aliyekuwa makamu wake wakati huo?
Lissu anasema kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa anafanya siasa pamoja na Mbowe. Jee kwa miaka yote hiyo walikuwa washirika ama mahasimu?
Wote wawili ilipofika kwenye kugombea uenyekiti walichukua njia moja ya kushutumiana lakini walipishana kwenye kutafsiri kama hali hiyo ilikuwa ni demokraisa au lah. Kilitokea nini?
Lissu alikuwa na John Heche na Mbowe akaja na Ezekia Wenje. Jee kabla ya ule uchaguzi Wenje na Heche mitizamo yao kuhusu Lissu na Mbowe ilikuwa inatofautiana ama ni mambo ya uchaguzi tu yaliwafanya watofautiane?
Lissu mwenyewe ni mwakilishi wa ******* wa Ulaya, ndiyo maana wanapigania kupitia Bunge la Ulaya, IDU na Congress ya MarekaniAcha kumfananisha lissu na Usenge
Jibu sahihi ni mahasimu kwa sababu baada ya uchaguzi kuisha mmoja yuko gelezani mwingine anaonekana kwenye hafra mbalimbali za kiselekali lakini ukonga inatakiwa awe passport kufika hukoMpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.
Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Mbowe mwaka 2023 alisema hatogombea tena nafasi ya uenyekiti Taifa ndani ya CHADEMA. Wengi wetu tukaamini ni zamu ya Lissu kushika hatamu ya uongozi ndani ya CHADEMA.
Ilikuwaje tena Mbowe akatengua kauli yake ya kutogombea aliyoitoa mwaka 2023 na kuamua kugombea uenyekiti na aliyekuwa makamu wake wakati huo?
Lissu anasema kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa anafanya siasa pamoja na Mbowe. Jee kwa miaka yote hiyo walikuwa washirika ama mahasimu?
Wote wawili ilipofika kwenye kugombea uenyekiti walichukua njia moja ya kushutumiana lakini walipishana kwenye kutafsiri kama hali hiyo ilikuwa ni demokraisa au lah. Kilitokea nini?
Lissu alikuwa na John Heche na Mbowe akaja na Ezekia Wenje. Jee kabla ya ule uchaguzi Wenje na Heche mitizamo yao kuhusu Lissu na Mbowe ilikuwa inatofautiana ama ni mambo ya uchaguzi tu yaliwafanya watofautiane?
Kama kweli Lisu amewahi kutoa hiyo kauli basi na yeye alikuwa Chawa wa Mwamba.Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea
Siyo kwamba alikuwa mkweli wa hali halisi? Uchawa si una sifa yake mahsusi? Lissu alifanya nini kinachomfanya aonekane kama aliwahi kuwa CHAWA wa Mbowe?Kama kweli Lisu amewahi kutoa hiyo kauli basi na yeye alikuwa Chawa wa Mwamba.
Cheki boga hili daaah yaani ww ni taka taka sijawahi onaLissu mwenyewe ni mwakilishi wa ******* wa Ulaya, ndiyo maana wanapigania kupitia Bunge la Ulaya, IDU na Congress ya Marekani
Inwezekana Mbowe na Lissu Wana ukaribu na Mawasiliano mazuri, inaweza kuwa Mbowe anamtembelea Lissu ukonga.Jibu sahihi ni mahasimu kwa sababu baada ya uchaguzi kuisha mmoja yuko gelezani mwingine anaonekana kwenye hafra mbalimbali za kiselekali lakini ukonga inatakiwa awe passport kufika huko
HALI HALISI IPI ?Siyo kwamba alikuwa mkweli wa hali halisi
"Siku hiyo ndio nilijua kumbe Mwenyekiti Mbowe ana mbio, alichoomoka spidi na hakukamatwa na Polisi" by Lissu utetezi leoMpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu.
Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Mbowe mwaka 2023 alisema hatogombea tena nafasi ya uenyekiti Taifa ndani ya CHADEMA. Wengi wetu tukaamini ni zamu ya Lissu kushika hatamu ya uongozi ndani ya CHADEMA.
Ilikuwaje tena Mbowe akatengua kauli yake ya kutogombea aliyoitoa mwaka 2023 na kuamua kugombea uenyekiti na aliyekuwa makamu wake wakati huo?
Lissu anasema kwa zaidi ya miaka 20 amekuwa anafanya siasa pamoja na Mbowe. Jee kwa miaka yote hiyo walikuwa washirika ama mahasimu?
Wote wawili ilipofika kwenye kugombea uenyekiti walichukua njia moja ya kushutumiana lakini walipishana kwenye kutafsiri kama hali hiyo ilikuwa ni demokraisa au lah. Kilitokea nini?
Lissu alikuwa na John Heche na Mbowe akaja na Ezekia Wenje. Jee kabla ya ule uchaguzi Wenje na Heche mitizamo yao kuhusu Lissu na Mbowe ilikuwa inatofautiana ama ni mambo ya uchaguzi tu yaliwafanya watofautiane?
Swali zuri bahati mbaya Mimi na wewe siyo Lissu Kwa ivo hatuwezi kulijibu.HALI HALISI IPI ?
MBOWEALISHAKAA MADARAKANI MIAKA MINGI NA ALISHAFIKA KIKOMO CHA KUSHAWISHI DAMU MPYA KUJIUNGA NA CHADEMA. LISU ALIKUWA NA SABABU ZIPI ZA MSINGI ZILIZOMFANYA AONE MBOWE ANAFAA KUENDELEA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA ?
Duh! Akutukanae hakuchagulii tusi.Lissu mwenyewe ni mwakilishi wa ******* wa Ulaya, ndiyo maana wanapigania kupitia Bunge la Ulaya, IDU na Congress ya Marekani
Huwezi amini hii sentensi ndiyo imenitakafarisha nikaandika hili bandiko."Siku hiyo ndio nilijua kumbe Mwenyekiti Mbowe ana mbio, alichoomoka spidi na hakukamatwa na Polisi" by Lissu utetezi leo
Sidhani kama Bado Wana urafikiInwezekana Mbowe na Lissu Wana ukaribu na Mawasiliano mazuri, inaweza kuwa Mbowe anamtembelea Lissu ukonga.
haaaaaaa haaaaaaa! Nimecheka sana Leo mkuuHuwezi amini hii sentensi ndiyo imenitakafarisha nikaandika hili bandiko.
ππππ
Nikawaza jinsi Lissu alivyokuwa anamcheki mshikaji wake anavyotimua mbioππππhaaaaaaa haaaaaaa! Nimecheka sana Leo mkuu
KUTHAMINI MCHANGO SIO KITU KIBAYA NI AINAFULANI YA USTAARABU.Lissu alikuwa anaonesha kuthamini mchango wa Mbowe CHADEMA.