Lissu na Mbowe ni washirika ama ni mahasimu wa kisiasa?

Huna Akili Kila siku nakuambia , huyo Lissu Leo kathibitisha kuwa aliwapi ga hao Wazungu kuhusu kupewa maeneo ambayo yangeathiri maisha ya watu kuanzia Madini hadi Baharini

Tumieni vichwa kufikiri mnachosha sana
Lakini hao hao LGBT ndiyo wanamlea akiwa Belgium na wanataka awe Rais ili wapenyeze mambo ya ushoga nchini
 
Ulitaka Lissu akubali 4R ambazo ni utapeli kisa eti Mbowe alimtendea wema?

R moja wapo ni reforms na Lissu yumo ndani kwa kudai reforms sasa hicho ni nini kama sio utapeli?
Kila kitu kwenye 4R ni mchakato, na hakuna mshindi wa vyote. No winner takes all in reconciliation, you win somenand you lose some.

Tatizo Tundu anataka kila analotaka yeye likubakiwe, it doesn't works like that in modern world
 
Anafanya kwa masilahi yake tu
 
Kama ni uhasimu basi Mbowe ndiye hasimu wa Lissu. Lissu amejipambanua kwamba yeye ni hasimu wa uhuni wala sio hasimu wa mtu.
 
Mnyampaa kumnyang'anya mmachame chama chake alichorithishwa na mkwewe haikubaliki. Lissu ajiuzulu na kumrudishia Mbowe mali yake ya urithi.
 
Kwenye lengo moja hapo umetupiga🤣
 
Anafanya kwa masilahi yake tu
Mliowafukia kwenye mashimo yao ya madini, na mliowapora vitalu vyao na kuwapa wazungu na mliowafukuza Ngorongoro na kuwapa Waarabu, mlifanya yote hayo kwa maslahi ya nani ?
 
Mliowafukia kwenye mashimo yao ya madini, na mliowapora vitalu vyao na kuwapa wazungu na mliowafukuza Ngorongoro na kuwapa Waarabu, mlifanya yote hayo kwa maslahi ya nani ?
Tanzania
 
Kila kitu kwenye 4R ni mchakato, na hakuna mshindi wa vyote. No winner takes all in reconciliation, you win somenand you lose some.

Tatizo Tundu anataka kila analotaka yeye likubakiwe, it doesn't works like that in modern world


4R ni utapeli , March 2021 hadi October 2025 ni 4 solid years ingekuwepo dhamira ya dhati katika 4R ingeepusha nchi kutumbukia kwenye machafuko ila kwakua haikuwepo nia ya dhati zaidi ya maneno mepesi ya mdomoni ndio yakatokea yale .

4R ni utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…