Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

Nyani haoni..
.
Na wewe inatosha toka waingie wengine
Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha.
Na wewe tolaaaaaaaaaaaa

Mkuu jaribu muda kutumia hekima Mbowe na Lissu wote wamefanya Kazi kubwa hapo chadema.

Na hata baada ya uchaguzi wanaweza kuwa kitu kilekile so tutumie lugha nzuri
 
download (2).jpeg
 
chadema kuna watu wana knowledge ya uongozi na point za mashiko ila tamaa zinawaponza

Ccm wana mipangilio na mikakati mizuri kama chama lakini watu wa kuongoza hawapo
 
Mkuu jaribu muda kutumia hekima Mbowe na Lissu wote wamefanya Kazi kubwa hapo chadema.

Na hata baada ya uchaguzi wanaweza kuwa kitu kilekile so tutumie lugha nzuri
Nakubaliana na wewe. Ila sidhani kama hali itarudi kama zamani baada ya uchaguzi. Kama Mbowe atashindwa, busara zinasema kuwa itakuwa vyema akichukua likizo na kuacha uongozi mpya utekeleze wajibu wake bila kuona kama anataka kuwaingilia.

Amandla...
 
Lissu angechukua fomu ya makam, wala hizi ngonjera tusingezisikia kabisa.
UKO SAHIHI..WHY? let me put it that way: chadema inatafutwa ifutwe na serikali/ccm as per magufuli and his successor, sasa wewe unaleta malumbano ya kuwagawa, mpasuke muwe kama CUF .....THAT IS MY CONCERN.
 
Nyani haoni..
.
Na wewe inatosha toka waingie wengine
Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha.
Na wewe tolaaaaaaaaaaaa
Wakina mbowe na matapeli wenzake ndani ya chadema walitaka kuget rid ya ile timu yote cream ya wakina Lema, Msigwa, na Heche wote wasipate uenyekiti wa Kanda. Hilo likafanikiwa. Mission ikawa tunamtoaje Lissu. Wakaona ingiza Wenje ambae muda wote ni "Yes Sir". Lissu nae akachapa "ambush" ya maana. Nakufuata hukohuko juu 😅😅😅
 
Back
Top Bottom