Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

Nakubaliana na wewe. Ila sidhani kama hali itarudi kama zamani baada ya uchaguzi. Kama Mbowe atashindwa, busara zinasema kuwa itakuwa vyema akichukua likizo na kuacha uongozi mpya utekeleze wajibu wake bila kuona kama anataka kuwaingilia.

Amandla...
Hawezi kuwaingilia maana watakuwa maadui. Sema chadema will be dead ...kama CUF, tlp, demokrasia makini etc
 
Hawezi kuwaingilia maana watakuwa maadui. Sema chadema will be dead ...kama CUF, tlp, demokrasia makini etc
Hii move CCM wameicalculate vizuri mno kwanza wamemback up Mbowe akishinda ni kibaraka na akishindwa watagawana Mbao.
 
Nyani haoni..
.
Na wewe inatosha toka waingie wengine.

Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha.

Na wewe toka
Kwanza kwa misukosuko aliyopata ni kweli ni muda muafaka kwake kupumzisha mwili, kuwa karibu na familia & matibabu. Haya mambo ya majukwaani awaachie kina Pambalu na kina Twaha bado wana nguvu & vijana.

Kwa hiyo asijione yeye hayumo katika list ya watu wanaotakiwa kupumzika katika CDM.
 
Hadi sasa sioni hoja yenye uzito Kwa wanaomshambulia Mbowe: mara Kaguta, mara Nkuruzinza, mara king'ang'anizi! Mwenye hoja, hebu alete tuone kama inasimama yenyewe!
..weka kwanza sera za mbowe hapa Ili tuelewe, maana sioni sera zake zaidi ya kutaka kustaafu akiwa na 68
 
Hadi sasa sioni hoja yenye uzito Kwa wanaomshambulia Mbowe: mara Kaguta, mara Nkuruzinza, mara king'ang'anizi! Mwenye hoja, hebu alete tuone kama inasimama yenyewe!
Hamna hoja yeyote walionayo.Ni kufuata mkumbo.Mbowe ana haki kikatiba kugombea.Wao wanachotaka ni Lisu aachiwe Uenyekiti kama his birth right.
Hawamuamini kwamba anaweza kushinda kwenye Uchaguzi.
Hivyo wanataka apachikwe kuwa Mwenyekiti bila kupambana na Mbowe.Ni mtazamo muflis na hayo matusi ni frustration zao wanachokitaka hakijafanyika.
 
Hawezi kuwaingilia maana watakuwa maadui. Sema chadema will be dead ...kama CUF, tlp, demokrasia makini etc
CDM itakuwa ICU, haitakufa. Mbowe ataendelea kuwa mjumbe wa Kamati Kuu na bila shaka kuna watu watamwambia aache bygones be bygones na aendelee kuchangia CDM kwa mawazo na resources. Asiingie kwenye huo mtego.

Hawezi kufanya hivyo. Ili iweje? Atakuwa cc lakini dormant member ... Atapata.muda wa kufanya biashara zake
 
Back
Top Bottom