Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

Lissu na wewe toka miaka 20 inatosha waachie Vijana

Aikaeli Kaguta Mu7.

GgZdpxUWMAAT6EU.jpeg
 
Lissu angechukua fomu ya makam, wala hizi ngonjera tusingezisikia kabisa.

Kwani mwamba angepumzika japo miaka 5 angepata hasara gani?

Tunataka mawazo mpya na hasa yenye mlengo wa kuyafurusha machawa!
 
Lisu ni mwanaseheria mzuri asiyefuata sheria za chama chake,mambo yote analeta hadharani.Hapa ndipo penye shida tu.Hiki ndicho kinatisha watu wengi kama hajajua
 
Si ndio katoka kwenye Umakamu sasa?

Bwashee ulisoma Shule kweli au uliishia kulisha nguruwe hapo Machame? 😂😂😂
Atoke kwenye uongozi kabisa, 20nyrs inatosha. Nguruwe nalisha Cuba
 
Hawezi kufanya hivyo. Ili iweje? Atakuwa cc lakini dormant member ... Atapata.muda wa kufanya biashara zake
Kuna watu ambao wanajua umuhimu wake kwa CDM lazima watamsihi asikae pembeni. Kwangu mimi huu uchaguzi ni win win kwa Mbowe. Akishinda ataonyesha kuwa bado anakubalika na atapata fursa ya kukisuka upya chama chake kabla ya kuondoka kwa term zake. Akishindwa, atadhihirisha ukomavu wake na wa chama chake kwa kukubali matokeo na kupisha uongozi mpya.

Sidhani kama itakuwa hivyo kwa Lissu. Akishinda atakuwa na kazi kubwa ya kuongoza chama na kuziba majeraha aliyosababisha. Hiyo haitakuwa kazi rahisi hasa wakati anajipanga kugombea nafasi ya urais wa JMT.

Akishindwa, nafasi yake na ya wafuasi wake ndani ya CDM itakuwa ya mashaka. Aidha, wapambe wake watamshauri akatae matokeo na ampeleke Mbowe mahakamani. Akifanya hivyo atazidi kujichimbia kaburi ndani ya CDM.

Mbowe maisha yake hayatabadilika kwa namna yeyote. Na wale ambao wanadhani kuwa anaishi kwa kuiibia CDM ndio watajua kama ni kweli au sio.

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nyani haoni..
.
Na wewe inatosha toka waingie wengine.

Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha.

Na wewe toka
Lissu Hana political adviser na Kama anao wengi watakuwa mamluki.

Uchaguzi wa 2020 alitakiwa kupata average ya Kura 60000 kwa kila Jimbo probably Uchaguzi ujao atahitaji anagalu wastani wa Kura 65000 kwa kila Jimbo kushinda urais.

Badala ya kupambana kuongeza kura anapambana kusambaratisha wanachama wenzake hivi Mbowe au Wenje wakigombea ataenda kuwanadi vipi huko Rorya au Mwanza na Hai wakati anwatuhumu kuchukua pesa za Mama Abdul ?

Kuna kila dalili Lissu amepoteza mwelekeo kisiasa na ameamua kufa na wenzake au urafiki wake na Msigwa umempumbaza.
 
Lisu ni mwanaseheria mzuri asiyefuata sheria za chama chake,mambo yote analeta hadharani.Hapa ndipo penye shida tu.Hiki ndicho kinatisha watu wengi kama hajajua

Sheria za kijanja kijanja si ndiyo zilivyo za kuhusu vyama vya siasa na chaguzi za tizedi?

Ulitaka nani afuate sheria za mkoloni kumfrusha mkoloni ndugu?
 
Lissu Hana political adviser na Kama anao wengi watakuwa mamluki.

Uchaguzi wa 2020 alitakiwa kupata average ya Kura 60000 kwa kila Jimbo probably Uchaguzi ujao atahitaji anagalu wastani wa Kura 65000 kwa kila Jimbo kushinda urais.

Badala ya kupambana kuongeza kura anapambana kusambaratisha wanachama wenzake hivi Mbowe au Wenje wakigombea ataenda kuwanadi vipi huko Rorya au Mwanza na Hai wakati anwatuhumu kuchukua pesa za Mama Abdul ?

Kuna kila dalili Lissu amepoteza mwelekeo kisiasa na ameamua kufa na wenzake au urafiki wake na Msigwa umempumbaza.

Ila mwenye nao ni huyu Lipumba wa zama hizi?

IMG_20250104_144245.jpg
 
Nyani haoni..
.
Na wewe inatosha toka waingie wengine.

Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha.

Na wewe toka
ila wapambe wakukodisha wa CCM mumekauka kibush .....anyway Lets wait & see
 
Nyani haoni..
.
Na wewe inatosha toka waingie wengine.

Isiwe kwa mwenyekiti tu hata kuwa kwenye Kamati hizi, 5 yrs inatosha.

Na wewe toka
Lissu ni kijana mdogo sio sawa na Mbowe!
 
Back
Top Bottom