Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

"LISSU: Tuombe Mungu atupe uzima tujue miaka inayokuja itatuweka vipi lakini nachoweza kusema waziwazi ni kwamba harakati ni maisha yangu."
Hii ina maana ni kusema ni mwanaharakati na siyo mwanasiasa?
Usituchanyie mafaili hapo.
Kuna mwanaharakati ambaye sio mwasiasa??
 
Kama kawaida yake,kuipaka Tz matope worldwide,hakujawai kutokea political asylum TZ mda mrefu sana toka enzi ya kina Kambona.
Huyu alishaondoka,hamna anayemjali,karudi hamna anayemjali,katukana Rais na taasisi zote ye ndo anajua kaishi (kutibiwa),hamna anayemjali[emoji847].
Mara kabwagwa kura urais,anaandika uchochezi mitandaoni watu waandamane then yy huyo anaenda ubalozi kuomba asylum.
 

Uliniuliza kama Wazungu wamewahi kusaidia nchi za Kiafrika kutatua matatizo ya ndani.

Jibu langu ni kwamba zipo nchi za Ulaya zilitoa misaada ya kibinadamu kwa vyama vya ukombozi vya kusini mwa Afrika.

Zipo nchi za Ulaya na Marekani, hao unaowaita Wazungu, ambazo ziliweka mashinikizo ya kidiplomasia kama sehemu ya harakati za ukombozi wa Afrika.

Pia siyo kweli kwamba ili nchi moja iisaidie nchi nyingine ni lazima nchi hiyo iwe imemaliza matatizo yote ya wananchi wake. Tulipokuwa tukisaidia harakati za ukombozi, je tulikuwa hatuna changamoto mbalimbali nchini kwetu?

Mwisho, Wazungu wanaonyonya Rasilimali za Afrika hufanya hivyo kwa kushirikiana na viongozi Madikteta na Mafisadi wa Kiafrika. Katika nchi ambayo kuna demokrasia, kuna uwazi, na utawala bora, Wazungu hawawezi kuingia na kuiba kama inavyofanyika ktk nchi zinazoongozwa na Madikteta waliowafunga midomo wananchi wao.
 
Ukisema JPM ni ditekta, vipi zile nchi zinazotawaliwa na wafalme na malkia?? Je watawala wa kifalme pia ni maditekta au sio madikteta?? Nasubiri jibu lako tafadhari
 
 
Hili halijakaaa vizuri inabidi mamlaka lizitolee ufafanuzi watu waelewe, wakikaa kimya itachafua taswira ya nchi hatujafikia hatua ya kuanza kuzalisha wakimbizi wa kisiasa!

Chochonde tusianze awamu hii ya 6 vibaya kwa kuchafua diplomasia yetu.
Hii ni awamu ya tano sio ya sita
 
Mwizi akija nyumbani kwako akataka au akahatarisha usalama wa maisha yako na watu wengine utamuangalia tu na kumchekea??
Wewe utafanyaje?Utamwua?
Halafu usifananishe nchi ya watanzania wote na familia yako,shwain kabisa!
Eti mtu akiandamana basi ni kuua!Washenzi wakubwa!
 
Kwenye hicho kipengele cha mwisho ninafurahi kuona una ule uelewa kuwa uongozi mbovu hupelekea wakoloni kuiba madini yetu. Sasa huoni Rais mteule amepigania unyonyaji wa rasilimali zetu??
 
Ukisema JPM ni ditekta, vipi zile nchi zinazotawaliwa na wafalme na malkia?? Je watawala wa kifalme pia ni maditekta au sio madikteta?? Nasubiri jibu lako tafadhari

Unapozungumzia Ufalme unatakiwa ubainishe ni Ufalme wa aina gani.

Na unapozungumzia Demokrasia na Uchaguzi unatakiwa ueleze wananchi wana uhuru na haki kiasi gani ktk nchi husika.
 
..Unapozungumzia Ufalme unatakiwa ubainishe ni Ufalme wa aina gani.

..Na unapozungumzia demokrasia na uchaguzi unatakiwa ueleze wananchi wana uhuru na haki kiasi gani ktk nchi husika.
Basi nikupe mfano wa utawala wa UK
 
Kwenye hicho kipengere cha mwisho ninafurahi kuona una ule uelewa kuwa uongozi m bovu hupelekea wakoloni kuiba madini yetu. Sasa huoni raisi mteule amepigania unyonyaji wa rasilimali zetu??

..hajapigania bali amefanya maigizo.

..kwa mfano, ripoti zilisema Barrick wameiba usd 191 billion, halafu bwana mkubwa amekubali tulipwe usd 300 million.

..hiyo ni sawa na udai usd 600+ halafu ukubali kulipwa usd 1, tena kidogo kidogo. mimi naona hapo kuna UFISADI.

..pia ametumia matrilioni ya shilingi kununua midege toka kwa haohao Wazungu tunaosema ni watu wabaya. Kwanini hakuwekeza nchi hizo kwenye miradi inayochochea ajira hapa nchini? Ukiona kiongozi ananunua madubwasha yasiyokuwa na ulazima, au yasiyo kipaumbele, ujue hapo kuna ufisadi.
 
Wewe utafanyaje?Utamwua?
Halafu usifananishe nchi ya watanzania wote na familia yako,shwain kabisa!
Eti mtu akiandamana basi ni kuua!Washenzi wakubwa!
Jibu kwanza nilichokuuliza, ukimaliza kunijibu ndio uniulize swali unalotaka kuniuliza.
 
Nchi imekuwa ya hovyo kabisa hii!!
Mpumbavu huamini kila kitu,watu mnalipuka kwa habari za kupikwa. Hivi serikali ya Magufuli ilivyo busy hivi inaweza kujihangaisha na huyo Mbeligiji kweli?.Chadema kuna genge la maharamia kwelikweli ndio hao wanao mtaishia Mbeligiji. Genge lilelile lililomtoa chacha wangwe bado linarandaranda Ufipa kuona nani anataka kumchallenge mwenyekiti mpendwa.
 
Jibu kwanza nilichokuuliza, ukimaliza kunijibu ndio uniulize swali unalotaka kuniuliza.
Mimi siwezi kuua,sijawahi na haitakuja kutokea nifanye hivyo! Hata nikikuta watu wanapiga mwizi,siwezi kushiriki dhakbi hiyo!Sana sana nitamsaidia kwa kutoa taarifa sehemu husika ili wawahi kabla hajafa!

Uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu,mimi ni nani mpaka nijione nina haki ya kuondoa uhai wa mtu! Siwezi kushiriki dhambi ya kuua!
 
 
Lengo la Lissu lilikuwa ni kuanzisha vurugu nchini ili mataifa ya nje (mabeberu) waingilie kati na kumwondoa JPM kwa nguvu ili wamweke yeye. Ccm na serikali walilijua hilo mapema sana ndo maana wakati wa kampeni walimwacha afanye anavyotaka bila kuchukua hatua yoyote (Polepole alisema hawatamshitaki ng'oo)

Sasa plan imebuma, watanzania wamemshitukia, kwa anatafuta njia ya 'nitoke vipi'!
Aende zake huko Belgium, tena haraka tu!
 
Mm na ww hatuna mamlaka ya kuua. Basi tuziachie mamlaka husika zihusike kwa wale wanaohatarisha maisha ya watu wengine.
Kama ulikua hujanielewa, nilikuuliza hivi, mtu akitaka kukutoa roho je utamuangalia tu umuite polisi aje kumchukua??
 
Wewe ndio hujui kuwa Julian Assange yuko gerezani nchini Uingereza karibia mwaka mzima sasa.

Polisi wa Uingereza waliingia kwenye ubalozi wa Equador na kumkamata na hivi sasa yuko gerezani Belmarsh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…