Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Hakuna mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwingine ila Mungu pekee!Mm na ww hatuna mamlaka ya kuua. Basi tuziachie mamlaka husika zihusike kwa wale wanaohatarisha maisha ya watu wengine.
Kama ulikua hujanielewa, nilikuuliza hivi, mtu akitaka kukutoa roho je utamuangalia tu umuite polisi aje kumchukua??
Inawezekana Assange yuko gerezani,sifikirii Kama Polisi wa Uingereza waliingia ubalozi wa Ecuador na kukamata kwa nguvu bila ridhaa ya ubalozi wa Ecuador..Wewe ndio hujui kuwa Julian Assange yuko gerezani nchini Uingereza karibia mwaka mzima sasa.
Polisi wa Uingereza waliingia kwenye ubalozi wa Equador na kumkamata na hivi sasa yuko gerezani Belmarsh.
Kama umezimiwa mtandao mbona bado unapost hayo uliyonijibu??Hakuna mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwingine ila Mungu pekee!
Kwahiyo wananchi walitaka kuwatoa roho askari wenye silaha ndio maana wakaamua kuwaua!!!!Shame!
Mmezima mitandao ili watu wasione mauaji ili mseme uchaguzi umeisha kwa amani!Kwa amani wakati watu wameuwawa!!??
Ndio maana bado mitandao mmeendelea kuzima kuficha dhambi zenu!Kwaheri!
Waeleze wale wasioelewa taratibu.Inawezekana Assange yuko gerezani,sifikirii Kama Polisi wa Uingereza waliingia ubalozi wa Ecuador na kukamata kwa nguvu bila ridhaa ya ubalozi wa Ecuador..
Kwa ufupi ubalozi wa Ecuador waliamua kumfukuza Assange ubalozini, ndio Polisi wanapata nafasi ya kumkamata
Kwa sasa Lisu ni adui mkubwa zaidi wa CCM kuliko wakati wowote.Ametafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
This is convincingKwa sasa Lisu ni adui mkubwa zaidi wa CCM kuliko wakati wowote.
Kwanza Hawakutegemea kuwa watanzania wanampenda Lisu kuliko mtu yeyote katika Dunia hii.
Pili kwa Sasa Lisu ni mpinzani mkubwa sana wa Waroho wa URAIS 2020.
WALE wote ndani ya CCM wanaotegemea kugombea Urais ndani ya CCM na nje ya CCM hawana namna yoyote ya kupenya kwa kura halali mbele ya Lisu. Hata yule anayetegemewa kupewa Urais wa maisha hawezi kuupata Lisu akiwa Hai.
Hivyo suala la kumlinda Lisu ni la watanzania wote wapenda haki na utu. Uongozi wa nchi huu umegeuka kuwa ni wa kutumia ukatili na kila aina ya udhalimu kuupata. CCM wana hofu kubwa kuliko wakati wowote.
Kwa hiyo tusimdanganye Lisu kuwa usalama wake upo chini ya utawala wa CCM wakati hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyewahi kutamka kuwa Wapinzani sio maadui. Bahati mbaya kabisa hata mkuu wa nchi alisema wazi wakati wa kampeni kuwa atakasirika sana wakimchagua hata diwani wa Upinzani na hata wapa maendeleo.
Sasa kama wananchi kwa malaki wataadhibiwa kwa kumchagua mpinzani itakuaje kwa huyo kiongozi wa upinzani anayeonekana kama MTU jeuri asiyemuogopa mtu yeyote kwenye siasa.
Siasa za Tanzania tangu awamu hii siasa zimekua ni uadui mkubwa sana hata kuwaza kuuana badala ya kupingana kwa hoja.
Kama huyu anasema maendeleo ni ya vitu na huyu anasema maendeleo ni ya watu ,sasa hapo mnauana ili nini !? Hata shetani anawashangaa watu wanaowindana ili kuuana wakijifanya ni uzalendo kumbe wanahofisa nafasi zao za madaraka yanayowapa mapesa na mali.
Wewe ndio hujui kuwa Julian Assange yuko gerezani nchini Uingereza karibia mwaka mzima sasa.
Polisi wa Uingereza waliingia kwenye ubalozi wa Equador na kumkamata na hivi sasa yuko gerezani Belmarsh.
Sawa, nakubaliana na ww...Ule ni utamaduni wa Waingereza.
..Ni sawa na Wachaga wanavyomheshimu Mangi pamoja na kwamba wanachagua Raisi, Mbunge, na Madiwani.
Ni bora afungwe kama ana kosa kuliko kumuua mtu asiya na hatia yoyote.Ili iwe fundushisho kwa wavurugaji wote wa nyakati za sasa na zijao, moja: wahakikishe nchini hachomoki, mbili: anashitakiwa na kutiwa hatiani, na tatu: hukumu atakayopata iwe ni ya kifungo cha jela tena cha muda mrefu miaka 30.
Sawa, nakubaliana na ww.
Sasa naomba unifafanulie tofauti kati utawala wa kiditekta na utawala wa kifalme.
Nenda ubelgijiNchi imekuwa ya hovyo kabisa hii!!
Kumbuka hakunakiongozi yoyote duniani anayepigana vita yeye mwenyewe kama uana silaha.Alikuwa ana maana kuwa tujihadhari naye asije akakuingiza mkenge ukaingia kwenye jinai wakati yeye ameshaingia mitini anakuachia msala. Inajulikana yeye tayari ana uraia wa Ubelgiji kwa hadhi ya ukimbizi sasa anataka kuhalalisha kiaina!
Ili dunia ijue sasa ndiyo amepata uraia wa ukimbizi huko Ubelgiji wakati siyo kweli tangu aliporudi hapa TZ alikuwa tayari ana uraia wa Ubelgiji alikuja kuhamasisha vurugu tu ndiyo maana alikuwa anavunja sheria za uchaguzi kila mara na kwa makusudi. Yeye aende tu atuachie nchi yetu.
Kama kweli CCM ilikua inataka kumuua Lisu, kwann haikumuua wakati wa kampeini za uchaguzi??Kwa sasa Lisu ni adui mkubwa zaidi wa CCM kuliko wakati wowote.
Kwanza Hawakutegemea kuwa watanzania wanampenda Lisu kuliko mtu yeyote katika Dunia hii.
Pili kwa Sasa Lisu ni mpinzani mkubwa sana wa Waroho wa URAIS 2020.
WALE wote ndani ya CCM wanaotegemea kugombea Urais ndani ya CCM na nje ya CCM hawana namna yoyote ya kupenya kwa kura halali mbele ya Lisu. Hata yule anayetegemewa kupewa Urais wa maisha hawezi kuupata Lisu akiwa Hai.
Hivyo suala la kumlinda Lisu ni la watanzania wote wapenda haki na utu. Uongozi wa nchi huu umegeuka kuwa ni wa kutumia ukatili na kila aina ya udhalimu kuupata. CCM wana hofu kubwa kuliko wakati wowote.
Kwa hiyo tusimdanganye Lisu kuwa usalama wake upo chini ya utawala wa CCM wakati hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyewahi kutamka kuwa Wapinzani sio maadui. Bahati mbaya kabisa hata mkuu wa nchi alisema wazi wakati wa kampeni kuwa atakasirika sana wakimchagua hata diwani wa Upinzani na hata wapa maendeleo.
Sasa kama wananchi kwa malaki wataadhibiwa kwa kumchagua mpinzani itakuaje kwa huyo kiongozi wa upinzani anayeonekana kama MTU jeuri asiyemuogopa mtu yeyote kwenye siasa.
Siasa za Tanzania tangu awamu hii siasa zimekua ni uadui mkubwa sana hata kuwaza kuuana badala ya kupingana kwa hoja.
Kama huyu anasema maendeleo ni ya vitu na huyu anasema maendeleo ni ya watu ,sasa hapo mnauana ili nini !? Hata shetani anawashangaa watu wanaowindana ili kuuana wakijifanya ni uzalendo kumbe wanahofisa nafasi zao za madaraka yanayowapa mapesa na mali.
Hatujatoka nje ya mada hapa, kuna baadhi ya post zako ulizotuma hapa umezungumzia kuwa JPM ni dikteta. Ndio maana nikakuuliza nn tofauti ya utawala wa kidikteta na ufalme...Nakushauri uanzishe uzi mahsusi kwa ajili ya mada hiyo.
..Nitafurahi sana kutoa maoni na mchango wangu.
..kwenye uzi huu naomba tusitoke nje ya mada iliyoko mbele yetu.
Kama kweli CCM ilikua inataka kumuua Lisu, kwann haikumuua wakati wa kampeini za uchaguzi??
Na ni kwann kila anachosema Lisu wafuasi wake wote ná mataifa mnaamini??
Mtazamo wangu ni kwamba huyu anatumia taaluma yake kujihami na kesi yake na kuonyesha dunia anaonewa.
Hivi wewe una uhakika gani huyo Lisu anayoyasema ni ya ukweli au ni firigisu ili kuleta mkangany’iko kwenye jamii yetu??Kumbuka hakunakiongozi yoyote duniani anayepigana vita yeye mwenyewe kama uana silaha.
Hata watawala wanawatanguliza watoto wa maskini walioajiriwa kwenye majeshi. Wakubwa wao na watoto wao wanajikalia kwanye majumba ya serikali na kuzungukwa na majeshi mbayo sio watoto wao wala ndugu zao.
Hata Lisu wanaompenda hawawezi kumwacha akauawa wakati wanaona ndiye kiongozi wao. Bahati nzuri Tanzania hatuati madaraka kwa vita ndio tungejua nani ni mpiganaji na nani ni mwoga.
Hata Osama hakuwa anakwenda kujilipua lakini alikamilisha misheni zake kwa ubaya wake na Leo waarabu wanaheshimika Ulaya na amerika na kuuziwa mpaka majumba ya ibada . Kwa waarabu Leo wanaokaa ulaya kama binadam kwao Osama ni shujaa .
Ubaya wa mtu unatokana na ubaya wa mtu mwingine na tafsiri yake.
Jambo la msingi ni kuwatendea Binadamu wengine kile ambacho wewe mwenyewe hungependa kutendewa .
Yesu aliwafundisha wanadam kuwa umpende jirani yako kama nafsi yako utakua Umetimiza amri zote na sheria zote.
Hatujatoka nje ya mada hapa, kuna baadhi ya post zako ulizotuma hapa umezungumzia kuwa JPM ni dikteta. Ndio maana nikakuuliza nn tofauti ya utawala wa kidikteta na ufalme.
Kwa hiyo kila anachosema Lisu ni sahihi??..hawakumuua wakati wa kampeni kwasababu alikuwa akilindwa na jeshi la Polisi.
..Lissu anaaminika kwasababu mengi anayoyaeleza ni mambo yanayoeleweka yasiyohitaji ushawishi mkubwa kuyaelewa.
..kwa mfano, Lissu anadai siku aliyoshambuliwa walinzi wanaolinda eneo la area D waliondolewa.
..sasa katika mazingira hayo unajiuliza kwanini walinzi waliondolewa ikiwa lengo halikuwa kuwapisha magaidi wamshambulie Tundu Lissu?
..na wanaohusika na walinzi wa area D, kwa zaidi ya miaka 3 sasa hawajajitokeza kueleza kwanini waliondoa ulinzi. maana yake ni kwamba wamekubali tuhuma hizo, ila kinachoendelea sasa ni kuzuia kwa namna yoyote walifikishwe mbele ya vyombo vya sheria.
Rejea kwenye post yangu ya mwisho niliyokujibu, kisha unijibu nilichokuuliza, na mm nitakujibu ulichoniuliza...ili tuitendee haki hoja yako nakushauri uanzishe uzi ili tuchangie.
..mbona unauliza mambo ya UFALME, kwani Jpm anataka kuwa Mfalme wa Tanzania?