Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Wenye 'Maono' yetu 'makubwa' tena 'yaliyobarikiwa' kabisa 'tulionya' hapa hapa JF kuwa TL asirejee 'Mkatudharau' na 'Kutupuuza' acha yamtokee.
 
...man become what he thinks about most of time....if you think about death most of time,you are attracting a death..
 
Ili iwe fundushisho kwa wavurugaji wote wa nyakati za sasa na zijao, moja: wahakikishe nchini hachomoki, mbili: anashitakiwa na kutiwa hatiani, na tatu: hukumu atakayopata iwe ni ya kifungo cha jela tena cha muda mrefu miaka 30.
Ili iwe fundushisho kwa wavurugaji wote wa nyakati za sasa na zijao, moja: wahakikishe nchini hachomoki, mbili: anashitakiwa na kutiwa hatiani, na tatu: hukumu atakayopata iwe ni ya kifungo cha jela tena cha muda mrefu miaka 30.
Ya nini kuhangaika naye? bora aachwe aende zake kwa amani. Kasema mengi hakuna madhara yaliyotokea
 
Hapa ndipo tulipofika. Sijui mwanangu atapata future gani kwa vile mimi nimeshachelewa kupata Tanzania ya viwanda.
 
Lissu hana kitu kabisa siku hizi, nadhani ameathirika sana kiakili kutokana na kuumizwa kwa risasi za majambazi waliotaka kutoa uhai wake. Ninajua hakufanyiwa haki na hao waliotaka kumuua, ila sasa anatafuta justification ya kurudi Ulaya ambako amepewa makazi kama mkimbizi ila akakiuka masharti hayo kwa kurudi Tanzania na kufanya kampeini za kisiasa. Ukimbizi hutolewa iwapo mtu hawezi kurudi kwao kuhofia usalama wake; yeye amekaa Tanzania na kupiga kampeini muda wote halafu sasa anaona ili arudi tena inabidi aonyeshe anatishiwa maisha yake tena.
 
Hivi Lisu ni wa kwanza kushambuliwa na risasi hapa duniani??

Kama anaona waliohusika kummiminia risasi hawakamatwi kwann asingeita FBI wa marekani wamsaidie kwenye hilo, badala yake alikua akipita nchi tofauti akiiongelea vibaya Tanzania??

..Lissu siyo mwanasiasa muandamizi wa kwanza kushambulia hapa duniani.

..lakini sina kumbukumbu ya mwanasiasa aliyeshambuliwa halafu vyombo vya uchunguzi vikaonyesha dharau na kutokujali kama ilivyotokea kwa Tundu Lissu.

..sina kumbukumbu ya mbunge[mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani] kunusurika kuuwawa halafu wabunge wa chama kinzani na chake, na uongozi wa bunge, kuanza kumbeza na kumdhalilisha.

..Nimeona hapa Tanzania kwa mara ya kwanza na nilisikitika na kufedheheshwa sana.

..Kuhusu Tundu Lissu kuwaita FBI wa Marekani hilo haliwezekani kwa sheria za Tz, na ninaamini haliwezekani kwa mataifa mengine mengi.

..Niliwahi kusoma mahali kwamba familia ya Tundu Lissu ilionana na Waziri wa Sheria na kumuomba asaidie kuleta wachunguzi toka nje watakaosaidiana na wachunguzi wa ndani kutafuta ukweli kuhusu jaribio dhidi ya ndugu yao.

Kwasababu mpaka leo hatujaona wachunguzi hao kufika nchini maana yake ni kwamba serikali ilikataa maombi ya kuleta wachunguzi toka nje. Sasa unajiuliza wanaficha nini?
 
Tatizo la Tundu Lissu ni kuwa ametumia sehemu kubwa ya ujana wake kufanya uanaharakati usiokuwa na pension. Sasa umri wa kustaafu unakaribia anatafuta pension kwa njia ya ukimbizi.

Tanzania imekuwa na wapinzani tangu enzi za Chama kimoja. Serikali haina lengo la kumdhuru Tundu Lissu wala mpinzani yeyote.
 
well put; lakini si alikuwa akilipwa na makampuni ya madini ambayo sasa Magufuli kayabana?
 
Wananchi wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM, acha ubwege wako, wazungu wapi wamemfahamu? Kama wazungu wangekuwa wapumbavu kama wewe mda huu asingekuwa hapo ubalozini, Lisu anapendwa na kura alipata nyingi mno lakini CCM na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm wakaulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani, CCM ndiyo ilidhani inapendwa kumbe haipendwi ndiyo maana ilitumia wasanii wa muziki kupata watu mikutanoni, kipindi cha kampeni huwezi kumtishia mgombea Urais kwani hupewa Ulinzi mkubwa na sasa hana Ulinzi ndiyo maana vitisho vimeanza mno, wewe ni mnufaika wa udhalimu ufedhuri wa CCM endelea kufanya ushetani wako ipo siku utajutia mabaya yako kwani hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Wewe ni mnufaika wa uonevu unyanyasaji uovu mateso ya CCM kwa wapinzani ndiyo maana huoni ushetani dhidi ya Lisu
 
Hizo propaganda za kishamba ndizo zimeikosesha CCM kura kwani watanzania wameamka hawataki propaganda za kijinga jinga siku hizi
 
Yaani serikali makini ya awamu ya 5 ilikubali vipi raia wa kigeni kugombea nafasi nyeti kama ya Urais?

Kama ni kweli basi nchi ipo hatarini na zile rumors kwamba mkuu wa kaya ni raia wa Burundi inaweza ikawa kweli.
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium?
 
Wasanii wa kiwango Cha kimataifa. Lissu tulikuwa tunamwambia bado kinda, haelewi nchi inaendeshwaje anatua na beberu wake eti mwanasheria Amsterdam.
Vina uhusiano gani na ushetani wenu wa kutaka kumuua?
 
Dili la kutaka kumuua ni tenda ya cyprian Musiba na wenzake wao wanapata pesa hawajali Athari zozote zile
 
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium?
 
Wewe ni mnufaika wa uonevu unyanyasaji uovu mateso ya CCM kwa wapinzani ndiyo maana huoni ushetani dhidi ya Lisu
Lissu kama kaamua kurudi Tanzania, aendelee na maisha kama watu wengine. Kama anaona Tanzania ina ushetani, hakuwa na sababu ya kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…