Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Kaa tu hata miezi kadhaa pumzika
 
Mwanzoni mliongea hup upumbavu lakini mwishowe ukaenda Dodoma na Bashite na akina cyprian Musiba mkaenda kumpiga risasi na sasa katoa tahadhari lazima watu wawe makini na yeye binafsi ajihami

Hakuna kitu kibaya kama kuongea vitu usivyokua na uhakika navyo.

Siku utakapokuja kuujua ukweli unaweza kujikimbia kwa aibu na kujiona ulivyo mtu wa ajabuajabu sana hapa duniani
 
Ametafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
Kwani kurudi Ubelgiji ni jinai? hana sababu za kujustify kwenda ubelgiji, anaenda kwa ajili ya check up ya afya,lakini pia kama alivyo sema anakwenda kwa ajili ya usalama wake.

Kabla ya kupigwa risasi alilalamika na kutoa taarifa Polisi kuhusu hali ya usalama wake, hakuna aliye jali, mwisho wake ikawa nini? akapigwa risasi 16.
Jukumu la kwanza la kuhakikisha usalama wako ni lako mwenyewe kabla ya serikali kukuhakikishia usalama
 
Huruma ipi? Wananchi wa wapi unawasemea? Hukuna mwananchi mpumbavu kama wewe
Ww nshakuzoea kuona post zako ukimtetea huyo mume wako, cha msingi mngefanya kuandamana tuu kama mlivosema
 
Ww nshakuzoea kuona post zako ukimtetea huyo mume wako, cha msingi mngefanya kuandamana tuu kama mlivosema
Mme wako cyprian Musiba bado anakuvutisha Bangi? Maandamano tarehe 2 lakini wewe tarehe 1 siku moja kabla ukawakamata viongozi wa ACT na chadema huku ukitembeza vitisho kibao, maandamano yapi pasipo viongozi wala uhamasishaji? Huoni kuwa wewe na Polisiccm ndiyo waoga?
 
unajaza upumbavu humu lazima ukimewe ukizingatia na wewe ni mjamzito unaandika chochote kutokana na hali yako
Huo ujauzito umenipa wewe au baba yako mzazi?? Sindano yenye dawa imekuingia nywiii sasa tulia upone.
Kama unaona mm ni mpumbavu usijibu post zangu nilizozijaza humu. Ukizijibu basi nitaamini na ww pia dishi limeyumba.
By the way, maneno yako hayatanikatisha tamaa mm kupost hoja zangu humu.
 
Hujui mambo mengi kwa upeo wa juu. Uongo unathibitishwa, haukataliwi tu. Ungesema basi hakupigiwa hizo simu!
Nadhani hata wewe upo Kwenye group la kinder' thinkers.Inaingia akilini mwako eti wauaji wametumwa kukuua halafu wanakuambia eti wametumwa kumalizana na wewe safari hi kwa hiyo kimbia tusikuue.
 
Sasa kwann hukuandamana kisa viongoz wako kukamatwa.? Au ndio mpaka mume wako awepo ndio upate nguvu za kuandamana
 
Mara ya kwanza aliposema anataka kushambuliwa mlikuja na maneno ya kibwege kama haya matokeo yake akina cyprian Musiba wakatekeleza shambulio
Kwa hiyo hata kama akishambuliwa na majambazi pia bado mtasema ni njama za CCM. Hivi wote walioshambuliwa na risasi hapa duniani ni njama za CCM??
Naamini wangekua ni askari wa Tanzania ndio wamehusika basi asingepona, risasi moja tu ingemtosha kuondoa uhai wake.
 
Vina uhusiano gani na ushetani wenu wa kutaka kumuua?
Hahaha aliyetaka kumuua labda dereva wake aliyemficha asije akatoa Siri polisi ya kilichoendelea siku ya tukio..wangeumbuka wengi mno... nahisi..na yeye anajua..kwanini anakimbia kimbia hataki kwenda polisi kuhojiwa na dereva wake Kama kweli haya Mambo hawajayafanya wait wenyewe ndani ya chama chao
 
Hahaha eti askari shupavu wa jeshi au polisi wa Tanzania kapiga risasi 16 hazijammaliza...hayo Ni mazingaombwe basi si bure
 
Chadema walipata kura ngapi jomba...kulingana na mahesabu yenu...hahahahah ujinga wa kiwango Cha matope
 
Unakumbuka baada ya alitekua mjumbe wa Tume ya Katiba Mpya Dr. Sengondo Mvungi kuua kinyama na watu walioitwa majambazi zoezi zima lilivurugika na wajumbe wote waliokua wamebaki hai walijawa na hofu mpaka Leo ndio wamejisalimisha na kuungana na wapinga katiba mpya.
Wajumbe waliokua wametumia mbilioni ya fedha za watanzania leo wanasema kwa wazi kabisa kuwa hawako tayari kuona katiba mpya inapatikana Tanzania mana itakwamisha maendeleo.

Jiulize kitu gani kimewatia hofu wajumbe waliobaki hai? Je, huoni kuwa mauaji ya kinyama ya Dr. Sengondo ndiyo yaliyowatia hofu ? Huoni kuwa waliofanya njama za kijambazi kumuua Dr.Sengondo bado wapo na ndio waliojenga mazingira ya kuwatia hofu akina Kabudi ,Polepole, na Wengineo ?

Ni MTU mwenye Roho ya kimungu Pekee asiyeogopa kifo lakini wengine wote wanaogopa kifo!!

Shetani kwa muda Mrefu ameutawala ulimwengu kwa sababu alikua ameshikilia funguo za Mauti . Mauti ndiyo tishio kwa watu.
Wakristo na waislam wanaamnini katika ufufuo siku ya kiyama. Imani hiyo ndiyo raraja kuu ya kuondoa hofu ya kifo mana wanaoua hawana mamlaka ya kuwapeleka marehemu popote baada ya kifo.
Yaani akisha muua binadam mwenzake kazi inakua imeishia hapo hana la kufanya tena kwenye nafsi ya marehemu.

Mpaka sasa jambo baya kabisa kumtendea binadamu ni kuua mana kila mmoja anatamani kuishi !!
Wanaoshabikia kuuawa kwa wengine bila hatia ni wale wanaofanya kazi za kumwakilisha shetani duniani japo kila siku tunasafiri kuelekea siku ya kufa. Kila mnapofurahiya siku kuongezeka lakini mfurahiye pia siku kupungua kwenye zile siku zilizopangwa na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…