- Thread starter
- #121
Bora misisiemu,mbowe ataiba sana wakishika madaraka,pia sionii safu ya kutuvusha upande wa ✌️wengi matapeli Sanaa. TL hawezi simama yeye kama yeye nchi ikaenda! Fikilia Mbowe ndo PM wizi mtupuuu.
Pana mambo umeandika hapa ukiambiwa uthibitisho utakuwa huna.
Kusema ukweli sasahivi Tz inauhaba wa viongozi makini na wenye Nia njema na Taifa,wengi wahuni na wezi.Kimsingi Kila mtu apambane na maisha yake binafsi..........kikubwa nchi Ina Amani.
Habari ndiyo hiyo.