Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

Tujifunze nini kwa huyo mfu wako, umesahau watu walivyoshehekea kufa kwake? Mungu ni fundi anatupenda watanzania kutuondolea yule mhutu katili na fisadi aliyewapumbaza wajinga km wewe

9. Tatizo lililopo Tanzania lipo vyamani kote, lakini sisi nani kuwapa ushauri CCM, CUF, UDP au wa namna hiyo?
 
Ukwelj unaouzungumzia ni ramli tupu, hujui kitu; mifano gani nikupe badala wewe urudi kusoma comment zako, nyingine zipo uzi huu huu.

Nakushangaa unavyoniita CCM eti kwa sababu ya imani, hiyo imani yenyewe nilikuuliza maswali jana ukashindwa kunielewesha badala yake ukawa unanijibu kwa maswali tena!, unashindwa kuelewa vitu vidogo sana, hata sijui wapi nimewahi kukwambia mimi ni CCM, au unapiga ramli?

Ajabu zaidi, unajiita muumini wa haki wakati umeshindwa kukemea ule unyama wa Hamas kwa watanzania wenzetu, unashangilia tu kile alichosema Lissu, hii haki unayoipigania wewe ni ya sampuli gani?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Pumzika, unywe maji ujitafakari.

IMG_1567.jpg

Kudhani kina Mandela wanaweza kuwa ndiyo wajinga na eti wewe ndiye uko vizuri zaidi, ni jambo la kusikitisha!

Allen Kilewella si kwa ubaya ndugu yetu huyo tatizo ni uelewa msaidieni.

Hivi alishasema asipoelewa?
 
Pumzika, unywe maji ujitafakari.

View attachment 2846052

Kudhani kina Mandela wanaweza kuwa ndiyo wajinga na eti wewe ndiye uko vizuri zaidi, ni jambo la kusikitisha!

Allen Kilewella si kwa ubaya ndugu yetu huyo tatizo ni uelewa msaidieni.

Hivi alishasema asipoelewa?
Hata sielewi unachoandika, naona wewe ndie unayetakiwa upumzike na unywe maji ujitafakari.

Hata sijui wapi nilikwambia mimi najiona nipo vizuri, hujiamini; kumbe ndio maana umeamua kuwa mbishi bila sababu ilimradi tu utofautiane nami!

Gud day!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nimeanza nae tangu jana, akaja na hoja yake kuhusu imani na misimamo, akidai kina Lissu wanatakiwa kuwafunda wanachama, nenda katazame ule uzi wake utaelewa nachozungumzia.

Kuna vitu vingi vya msingi aliviacha pale, lakini kila nikijaribu kumuelewesha jamaa yako ni dikteta much know asiyetaka kuelewa chochote, bahati nzuri akaja Nowonmai kuongezea pale alipopungukiwa.

Ukitoka huko njoo hapa, nenda pale anapolazimisha kudai kauli ya Lissu ni kauli ya chama, comment #31, nikamjibu pale juu kwa kumuelekeza alivyopotoka..

Jamaa yako ukimbana kwenye hoja ukaenda kinyume na kile anachoamini yeye, anachofanya ni kukufukuza chamani na kukuita majina ya ajabu, hajioni alivyo dikteta, nashangaa hata nawe unaponiuliza tatizo lake kama vile huoni makosa yake mengi yaliyojaa humu!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Ipo hoja moja wapi umejibu?

Umesema wapi huelewi?
 
Nyie kwa kauli hizi za kumfanya Lissu zaidi ya M/Kiti, ni kumpambanisha Lissu na M/Kiti wake.

Tambua huyo ni wale wasiomtakia mema Lissu. Kivyetu vyetu wako kabatini ndiyo maana hatuoni waandikavyo wala hatuwajibu:

IMG_20231218_155117.jpg

Hao ndiyo wale wenye kuukaanga mbuyu ..
 
Aliyekuroga alishakufa na hata wazazi wako wanakusikitikia, nchi hii ina watu milion 60 nk bado akili yako anategemea lissu ,ni babaako, anakulisha?
 
Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.

View attachment 2845647

"The lord can't forget his people."

Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL:

1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili.

2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk wa zama zetu.

3. TAL ni wa aina za kina Shivji, Ulimwengu, Kingunge, Chachage, Mtikila, Maalim Seif na wa namna hiyo; akiwaongelea Nyerere kama vijana jeuri wa zama zake alioota mno watanzania tuwe nao siku zote.

4. TAL ni wa aina ya kina Mwabukusi, Slaa, Ismail Jussa, Nshalla, Madeleka na wa namna hiyo wa zama hizi.

5. TAL si mbinafsi, si mnafiki, hamung'unyi maneno, ameelimika na anajua namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake.

6. TAL ni hazina ya thamani mno, lulu au dhahabu safi kwa taifa hili.

7. Kina Mdude ni wa aina ya kina TAL wanaokosa elimu ya kutosha; elimu haina mwisho hawa ni hazina inayo hitaji nurturing ya akina Lissu, Slaa, Mwabukusi na wa namna hiyo; ukikaa na waridi nawe utanukia; kina Mdude watafika kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.

8. TAL apewe nafasi aionyooshe CHADEMA; tunahitaji mageuzi ya msingi ndani ya chama hiki pendwa, sasa!

9. Tatizo lililopo Tanzania lipo vyamani kote, lakini sisi nani kuwapa ushauri CCM, CUF, UDP au wa namna hiyo?

10. Ni upuuzi watanzania kukosa heshima au shukurani; kwani wapuuzi hata hawajui heshima wala inatokea wapi:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

11. Ni upuuzi watanzania kukosa nidhamu kwani wasiokuwa na nidhamu hawajui hata umuhimu wake:

Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

12. Ni ujinga uliopitiliza watanzania kutojua tofauti za vyama; kwanini vinatofautiana au hata vinasimamia nini:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

13. Combination hii ni ya kutafuta kwa udi na uvumba panapo majaliwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

14. #13 ni combination ya ushindi.

Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.

Mungu umbariki TAL.
LISSU kwangu namheshimu sana kisiasa, lakini Kwa hili la Wapalestina amechemka. Hili kilishasemwa na Mwenyezi Mungu kupitia manabii wake, kuwa Waisraeli walipewa nchi hiyo, walipomkaidi Mungu akasema atawatawanya, ikatokea wakapigwa na na. Alisema atawarejesha,alawarenesha baada ya kusota kwa makumi ya miaka wakifukuzwa kila mahali na kuuawa. Alisema wakirudi kwenye nchi yao,hakuna wa kuwatoa (Amos 9:15). Huu utabiri wa kwamba hakuna wa kuwatoa Tena kwenye nchi yao utatimia tu, hizi habari za kisiasa Wacha zikae kisiasa hazitabadili chochote kilichosemwa na Mwenyezi Mungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
|||\\\\\\Malizia kabisa kuwa TAL ni Rais Mungu aliyetuahidi kwa ukombozi na kwamba atakayekiuka mpango wa Mungu atakufa tu! siyo utani
 
1. Hayo ni maudhui tofauti; yaandikie uzi wako tutachangia.

2. Maudhui ya uzi huu Yako wazi; ni wajinga tu ndiyo wanaoonekana kukereka (mno) nayo.

3. Makasiriko ya nini ndugu?

4. Si nanyi mkafanye vyema tu, Ili tukapate kuwasifia?

5. Ukiona vyaelea, vimeundwa!

6. Roho mbaya za ki Cain hizi (mangi) hazitawasaidia kwa lolote!
 
LISSU kwangu namheshimu sana kisiasa, lakini Kwa hili la Wapalestina amechemka. Hili kilishasemwa na Mwenyezi Mungu kupitia manabii wake, kuwa Waisraeli walipewa nchi hiyo, walipomkaidi Mungu akasema atawatawanya, ikatokea wakapigwa na na. Alisema atawarejesha,alawarenesha baada ya kusota kwa makumi ya miaka wakifukuzwa kila mahali na kuuawa. Alisema wakirudi kwenye nchi yao,hakuna wa kuwatoa (Amos 9:15). Huu utabiri wa kwamba hakuna wa kuwatoa Tena kwenye nchi yao utatimia tu, hizi habari za kisiasa Wacha zikae kisiasa hazitabadili chochote kilichosemwa na Mwenyezi Mungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

1. Serikali na vyama vya siasa Tanzania havina dini.

2. Kwanini tusiache ya dini misikitini, makanisani, majamatini, mahekaluni, masinagogini, nk, huko?

3. Kulikoni msimamo wake kukuudhi wewe bila kudhani labda na wako unamwudhi yeye au wengine?

4. Kwani wewe una umuhimu gani wapi kuudhika kwako hata kukawe issue wapi?

5. Si walisema kila mtu na apambane na hali yake?

IMG_20231219_124846.jpg

6. Kumbuka wewe si Mungu, Shetani, Malaika au jini; wewe ni binadamu tu kama mwingine!
 
Aliyekuroga alishakufa na hata wazazi wako wanakusikitikia, nchi hii ina watu milion 60 nk bado akili yako anategemea lissu ,ni babaako, anakulisha?

Nchi hii ina watu 60m+. Kwa hakika
yeyote kukutegemea wewe kwa lolote, ni heri kumtegemea ngedere.

Bure kabisa!
 
Bora misisiemu,mbowe ataiba sana wakishika madaraka,pia sionii safu ya kutuvusha upande wa ✌️wengi matapeli Sanaa. TL hawezi simama yeye kama yeye nchi ikaenda! Fikilia Mbowe ndo PM wizi mtupuuu.

Kusema ukweli sasahivi Tz inauhaba wa viongozi makini na wenye Nia njema na Taifa,wengi wahuni na wezi.Kimsingi Kila mtu apambane na maisha yake binafsi..........kikubwa nchi Ina Amani.
 
Fulu Uenyekiti.

1. Unaona pana maudhui ya cheo au (u boss) popote kwenye title hii?

"Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa"

2. Unaona pana maudhui ya cheo au (u boss) popote kwenye mada?

3. Unaona pana maudhui ya cheo (au u boss) popote kwenye chochote kilicho ambatanishwa?

4. Kulikoni kushindwa kujikita kwenye mada na kuanzisha mengine yasiyokuwa kuwamo?

5. Kama mwadhani mko na mawazo mazuri zaidi nje kabisa ya mada, ustaarabu si kuanzisha (zenu) nyingine? Au?

6. Mambo ya kushangaza sana!
 
Back
Top Bottom