Bora misisiemu,mbowe ataiba sana wakishika madaraka,pia sionii safu ya kutuvusha upande wa ✌️wengi matapeli Sanaa. TL hawezi simama yeye kama yeye nchi ikaenda! Fikilia Mbowe ndo PM wizi mtupuuu.
Kusema ukweli sasahivi Tz inauhaba wa viongozi makini na wenye Nia njema na Taifa,wengi wahuni na wezi.Kimsingi Kila mtu apambane na maisha yake binafsi..........kikubwa nchi Ina Amani.
Chadema ni mbumbumbuNguzo kuu ya masikini ni matusi na Uchawi
Malofa yanaongozwa na samia ukiwemo wewe bwabwa linalotegemea buku saba kwa kila thread, kwa taarifa 2025 mabwabwa kama wewe mtafute kaz za kufanya tofauti na hapo mtaendelea kukalia mishedede hapo kwenye makorido ya lumumba mpaka muwe sugu wajinga nyinyi.Chadema ni mbumbumbu
Lizu akaongoze wavaa pampas wenzake
Malofa nyie
Ccm ni mapumbavu yaliyobaki na matumbo makubwa kama matambara ya kukingia unga mashineni.Chadema ni mbumbumbu
Chadema ni mbumbumbu, malofa na wavaa pampasCcm ni mapumbavu yaliyobaki na matumbo makubwa kama matambara ya kukingia unga mashineni.
Mjifunze kila binadamu ni mfu mtarajiwa.Tujifunze nini kwa huyo mfu wako, umesahau watu walivyoshehekea kufa kwake? Mungu ni fundi anatupenda watanzania kutuondolea yule mhutu katili na fisadi aliyewapumbaza wajinga km wewe
Mjifunze kila binadamu ni mfu mtarajiwa.
Wanafanya makosa makubwa sana.Wengine hujishasha kuwa wema hawafi
Nimeanza nae tangu jana, akaja na hoja yake kuhusu imani na misimamo, akidai kina Lissu wanatakiwa kuwafunda wanachama, nenda katazame ule uzi wake utaelewa nachozungumzia.
Kuna vitu vingi vya msingi aliviacha pale, lakini kila nikijaribu kumuelewesha jamaa yako ni dikteta much know asiyetaka kuelewa chochote, bahati nzuri akaja Nowonmai kuongezea pale alipopungukiwa.
Ukitoka huko njoo hapa, nenda pale anapolazimisha kudai kauli ya Lissu ni kauli ya chama, comment #31, nikamjibu pale juu kwa kumuelekeza alivyopotoka..
Jamaa yako ukimbana kwenye hoja ukaenda kinyume na kile anachoamini yeye, anachofanya ni kukufukuza chamani na kukuita majina ya ajabu, hajioni alivyo dikteta, nashangaa hata nawe unaponiuliza tatizo lake kama vile huoni makosa yake mengi yaliyojaa humu!.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app