Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kabsa kabsaaa ges ya mtwara utajiri aliotupa Mungu nakumbuka wakati wanapitisha miswada waliowengi waliwafukuza upinzani bungeni ili mikataba jambawazi ipite ...Hawa wameuza nchi kwa mda mrefu!!CCM walishauza nchi miaka mingi sana sasa tundu Lisu awe dalali kwa kipi hasa wakati CCM mlishauza kila kitu wee ni kichaa kabisa.
Hiyo ni danganya toto ili kuwaaminisha watanzania wenye hofu yakumnyima kura baada yakumstukia kuwa ni mtu anayetaka kulipiza kisasi hafai.
Amina!!Mbona huyo MTU ashakujulikana longi sana. Hatafanikiwa mkuu no worries Mungu yupo
Hatashetani huja kwa sura ya malaika akiwaaminisha watu ni mwema...Lissu ni Sio hata kidogo.Na kama kuna mtu anayepaswa kulipizwa kisasa basi hawezi kukwepa kisasi mana kisasi ni juu ya Mungu. Na Mungu amemponya Lisu na kisaha kuondoa Korona ili Uchaguzi mwaka huu ufanyike kama ulivyopangwa na Lisu arudi siku salama ambayo hata yule Mla raha zote z duniani kwenye nchi maskini alikua ameshacha ukuu wa mkoa na ikawa ni siku ya msiba mkubwa .
Yote hayo ni wazi kuwa Kuna jambo Mungu amelipanga kupitia Lisu . Mabeberu mnawasingizia tuu. Lisu kama sio mwaka huu lakini kuna dalili ya kuja kuingia madarakani na kuweka sheria na katiba mpya yenye misingi ya haki na usawa. Itakua ni uamuzi wake kulipa kisasi au kusamehe japo hawezi kulipa kisasi mana kitendo alichofanyiwa sio cha kibinadam na ni kitendo kilicho kinyume cha sheria na haki za binadam. Lisu ni muumini wa haki
Hataweza na mabeberu wake tunasubiri tumnyooshe tarehe 28/10/2020!Hapo vipi!
Huyu mtu anayeitwa Tundu Lissu ni mtu wa kumkwepa sana na kumpuuzia.
Mtu huyu ni wazi ametumwa na Mabepari wa Ulaya na America ili atakapofanikiwa kuwa rais wa nchi hii awape rasilimali za nchi kwa mikataba ya kilagai.
Ipo hivi Tundu Lissu alipokuwa akitibiwa pale Nairobi..watu wengi sana waliguswa na kitendo kile na hali aliyokuwa nayo kiuchumi,Hivyo watu wakachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu lakini mwenyeki wao mbowe na wapigaji wenzake wakatumia hiyo kama fursa ya kujipatia pesa kwa maslahi yao binafsi, yaani ile michango ilipigwa na mbowe na wenzake.
Kitendo hichi ilisababisha mgogoro kati familia ya Lissu na Mbowe. Kilichotokea baada ya Lissu kukosa pesa kutoka na upigaji huu.
Aliweza kufadhiliwa na wamiliki ya yale makampuni ya kibeparia aliyokuwa akiyatetea kipindi cha makinikia na baadhi serikali za nchi za Ulaya hususani Ubelgiji katika swala zima la matibau hapo Ubelgiji.
Tundu Lissu akiwa Ulaya ameweza kutembelea nchi za ulaya na America kwa lengo la kuingia nao makubaliano ya siri.
Tundu Lissu aliomba hizi nchi ziingilie kati uchaguzi endapo ataanzisha varangati akiwa ameshindwa uchaguzi ili wamkingie kifua kuwa rais wa nchi.
Na akifanikiwa kwa hili amewaahidi kuwapa rasilimali ya nchi kwa mikataba haramu.
Tundu Lissu huyu, ni kibaraka mwenye lengo la kumwaga damu ya watanzania wenzaka kwa lengo la kutaka kulipiza kisasi dhidi ya kitendo cha kupigwa risasi.
Tundu Lissu hyu yupo mstari wa mbele kuigawa Tanzania vipande viwili, kwa Lengo la Zanzibar kuwa Taifa huru na Tanganyika kuwa Taifa uhuru. Mtu huyu ni wakumpinga kwa nguvu zote pasipo kumuogopa wala kuwaogopa hao mabepari uchwara walio nyuma yake.
Huyu Tundu Lissu,ana uraia pacha wa Tanzania na Ubelgiji, akishanukisha hapa anatumiwa ndege chap na hao mabepari anaendakujificha Ubelgiji. Hana hasara huyo. Lengo ni kwamba anataka kupata nafasi ya kulipiza kisasi.
KIBARAKA HUYU AMESHAFUNULIWA
Ila anayemwaga damu za watanzania yeye ni malaika ?Hatashetani huja kwa sura ya malaika akiwaaminisha watu ni mwema...Lissu ni Sio hata kidogo.
Tunamnyoosha 28/10/2020 bado siku 50 tu!Tajiri Tanzanite,
Daaah kweli mataga mnatia huruma ππππ
Kwa iyo unajiona umeandikaaaaaaa weweeee ππππ
Na lazima mrukwe na akili sababu ya Lissu mwaka huu
Nani alimshambulia?Kwa nini alinyimwa matibabu?Kwa nini mlimvua ubunge?Wapo wapi waliomshambulia?Hapo vipi!
Huyu mtu anayeitwa Tundu Lissu ni mtu wa kumkwepa sana na kumpuuzia.
Mtu huyu ni wazi ametumwa na Mabepari wa Ulaya na America ili atakapofanikiwa kuwa rais wa nchi hii awape rasilimali za nchi kwa mikataba ya kilagai.
Ipo hivi Tundu Lissu alipokuwa akitibiwa pale Nairobi..watu wengi sana waliguswa na kitendo kile na hali aliyokuwa nayo kiuchumi,Hivyo watu wakachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu lakini mwenyeki wao mbowe na wapigaji wenzake wakatumia hiyo kama fursa ya kujipatia pesa kwa maslahi yao binafsi, yaani ile michango ilipigwa na mbowe na wenzake.
Kitendo hichi ilisababisha mgogoro kati familia ya Lissu na Mbowe. Kilichotokea baada ya Lissu kukosa pesa kutoka na upigaji huu.
Aliweza kufadhiliwa na wamiliki ya yale makampuni ya kibeparia aliyokuwa akiyatetea kipindi cha makinikia na baadhi serikali za nchi za Ulaya hususani Ubelgiji katika swala zima la matibau hapo Ubelgiji.
Tundu Lissu akiwa Ulaya ameweza kutembelea nchi za ulaya na America kwa lengo la kuingia nao makubaliano ya siri.
Tundu Lissu aliomba hizi nchi ziingilie kati uchaguzi endapo ataanzisha varangati akiwa ameshindwa uchaguzi ili wamkingie kifua kuwa rais wa nchi.
Na akifanikiwa kwa hili amewaahidi kuwapa rasilimali ya nchi kwa mikataba haramu.
Tundu Lissu huyu, ni kibaraka mwenye lengo la kumwaga damu ya watanzania wenzaka kwa lengo la kutaka kulipiza kisasi dhidi ya kitendo cha kupigwa risasi.
Tundu Lissu hyu yupo mstari wa mbele kuigawa Tanzania vipande viwili, kwa Lengo la Zanzibar kuwa Taifa huru na Tanganyika kuwa Taifa uhuru. Mtu huyu ni wakumpinga kwa nguvu zote pasipo kumuogopa wala kuwaogopa hao mabepari uchwara walio nyuma yake.
Huyu Tundu Lissu,ana uraia pacha wa Tanzania na Ubelgiji, akishanukisha hapa anatumiwa ndege chap na hao mabepari anaendakujificha Ubelgiji. Hana hasara huyo. Lengo ni kwamba anataka kupata nafasi ya kulipiza kisasi.
KIBARAKA HUYU AMESHAFUNULIWA
Safi Tundu Lisu, ondoa ulaghai wa maccm ili Tuwe huruHapo vipi!

mkuu, kwani tanzania tunaruhusu uraia pacha, acha kutudanganya.Hapo vipi!

Sifa ya kwanza kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu.Mara akiwa Rais atauza rasilimali! Mara ataenda Ubelgiji!
Kwani ukiwa CCM lazima uwe mjinga? Eti jamani nauliza tu!
Kwa iyo Magufuli wa Mayanga construction ndo Malaika sio????ππππHatashetani huja kwa sura ya malaika akiwaaminisha watu ni mwema...Lissu ni Sio hata kidogo.
Nchi sio salama..migambo 20 wamelala unono..wamepiga kimyaAtateleza yeye atuachue nchi yetu salama.