mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ungejua mikataba anayeingia ni nani na hao unaowaita wezi wa Mali Zenu.
usingekuja kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
usingekuja kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Mtoa mada haelewi hata anachokimaanishaLisu hana serikali,hana polisi, hana jeshi hana yeye hana maamuzi yoyote kwenye wizara yoyote hapa tanzania....sasa wazungu wataibaje rasrimali zetu kuptia lisu??? Hyo miaka yote tuliyoibiwa kwenye madini na mariasili lisu alihusika???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashikwa mkono na beberu.View attachment 1028556
Aina hii ya kushikana mikono si sahihi kwa kiongozi wa nchi na mtu ambaye ni mfanyabiashara tu. Lazima Rais wetu Aheshimiwe. Anaweza kweli kumshika Trump mkono kwa staili hiyo kweli?
Kiukweli imenichukiza sana!!Kashikwa mkono na beberu.
Naomba msaada wa maswali haya ili niamini unachokisema. Waliokuja ikulu waliletwa na Lissu? Wanaochimba madini waliletwa na Lissu? Wanaomiliki mbuga za wanyama kama Loliondo na vitalu vya uwindaji waliletwa na Lissu? Wanaomiliki gas yetu tuliyopigana, kuumizana, kuuana hadi kuchomeana nyumba waliletwa na Lissu? Mikataba mibovu inayosainiwa na serikali Lissu anashirikishwa kama mwanasheria?Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
wakati mwingine tuache kuwa wapumbavu ...unasaka uteuzi kwa kuweka majina na namba ya simu......kwani lissu tuibiwe ambacho hakijaibiwa....au mnajifanya hamumsikii mh raisi anavyolalamika tumeibiwa sana....je lissu yupo kwenye kundi la hao wezi....wezi wakubwa mnawajua na hata rangi ya sare wanazovaa mnazijua...lkn mmeamua kujitoa ufahamu tu kisa uroho wa vyeo.....lets start here hiyo nafasi unayoitaka ndo beberu wa kwanza sababu imekufanya umekuwa mjinga......wakati mwingine usiandike vitu vitakavyosadifu wewe ni mtu wa aina gani...be a gentlemanAugustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Acha kunitisha kitotoEndelea kujikanyaga, ukimaliza anza kukanyagana, angalia mwisho usije ukakanyagwa.
Hiyo ni danganya toto ili kuwaaminisha watanzania wenye hofu yakumnyima kura baada yakumstukia kuwa ni mtu anayetaka kulipiza kisasi hafai.Anguko lenu litakuwa kubwa Sana na Lissu ameshawaambia msiweweseke ataleta maridhiano ya kitaifa ndani ya miezi 3 ya Kwanza.
Hiyo ni danganya toto ili kuwaaminisha watanzania wenye hofu yakumnyima kura baada yakumstukia kuwa ni mtu anayetaka kulipiza kisasi.
Atateleza yeye atuachue nchi yetu salama.Siku ya kufa nyani miti yote huteleza 🤣🤣🤣