Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sisiem is full of idiots including you!
Watanzania wa leo sio wa enzi za mwalimu wakuambiwa maadui wao wa ndani na nje. Wanawajua na wewe unavigezo vya kuwa aduiAugustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Hiyo namba ya simu utaweka sana hakuna atakaekupigia kwa ajili ya kupata post za uongozi.Augustino Chiwinga

Kama ni kibaraka ni kibaraka mpumbavu na lofa. Nasema hivyo kwa kuwa kama Wakili msomi, mbunge wa muda mrefu, na anayetaka atambulike kama mwanasiasa maarufu, angetambua kuwa anaokena juha katika jumuiya ya wastaarabu. Km matokeo ya majadiliano ya Serikali na Barrick, ambayo amekuwa akibeza katika safari zake hizo, yamekuwa tofauti na vile anavyotaka jamii iamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono 100% Hatumtaki kibaraka hapa kwetu ila tatizo ni kwamba; Vibaraka halisi wamejaa kule mjengoni. Ni hao hao waliowafurumusha wabunge wenzao wa upinzani halafu haraka haraka wakapitisha kwa mbwembwe mikataba ya kifisadi na kinyonyaji inayotuyumbisha hadi leo. Vibaraka hao wa mabeberu wakaungana pamoja na kuwaruhusu hao mabeberu kujichotea rasilimali zetu na kwenda jilambia utamu wake huko ughaibuni.
Huwezi kutuambia kuwa Lissu anasema nini cha uongo huko anakozurura. Tumempa wenyewe nafasi hiyo kwani hakuna hata kimoja tumeweza kumpinga kwa point katika hayo anayoyanena. Mtanzania wa leo sio yule wa "Zidumu fikra sahihi". Mtanzania wa leo, japo hasemi lakini anaona wala hana haja kuwekewa maneno tena.
Kama mtu atasimama na kuandika maneno ya kumfurahisha mtu mwingine tu kuwa yupo kwenye raiti tiraki, huku anaona anapotea njia huoni huyo ndiye kibaraka?? Tusimpinge Lissu kwa maneno ya hadithi za kizee tu bali tumpinge kwa point zake.
Kamateni hata kichaa mseme ndiye anashukiwa kumpiga risasi. Mlipeni gharama zake za kujitibu, mpeni mishahara yake na uthibitisho wa ulinzi wake tuone kama ataendelea kuzurura.
Not that, pls tuachane naye ajizururishe hadi achoke bila sisi kumjibu
Pia, nashauri tuachane na maneno haya kuwa anatumika na mabeberu kwani yeye ndiye aliyesimama kidete kupinga mikataba hiyo ya kifisadi. Sasa leo, useme ati yeye ndiye anatumwa na mabeberu! Pathetic! Hao mabeberu mnawaona hawana akili au?? Kwa nini wamtumie mtu wa gharama wakati wanao waliowapigia chapuo??? Labda ungelituaminisha kuwa hao mabeberu ndio waliolambisha zile risasi lakini sio kwamba wao leo ndio wanamtuma. Tafuteni gea nyingine
Jiwe amekusikia. Atakukumbuka hata kwa nafasi ya Mtendaji was Kijiji. Kilangila.Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Birds of the same feathers.... Kilangila.Umenena mkuu vizuri
Kajipendekeza live. This is too much. Ni kujidharaulisha hata kama njaa inauma. Kilangila.Foolish fool!!!!Kwa ujinga huu hata jiwe hawezi kukuelewa
Wonders shall never end!!!! Kuna post nyingine unasoma hadi unajisikia aibu!!! Tanzania nchi yangu[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]Lisu hana serikali,hana polisi, hana jeshi hana yeye hana maamuzi yoyote kwenye wizara yoyote hapa tanzania....sasa wazungu wataibaje rasrimali zetu kuptia lisu??? Hyo miaka yote tuliyoibiwa kwenye madini na mariasili lisu alihusika???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mkeo ataona aibu kusoma utumbo huu. kilangila.Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Cc. Mlinga, Silinde et la. Kilangila.Aina yake ya uandishi unapata jibu tu kuwa ni dizaini ya kina msukuma, zero brain kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lenyewe chimwinga tayari ni tatizoAugustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Augustino Chiwinga

Mpaka kesho tumepata nini kwa Barrick wakati acacia wanapiga center half ?!Kama ni kibaraka ni kibaraka mpumbavu na lofa. Nasema hivyo kwa kuwa kama Wakili msomi, mbunge wa muda mrefu, na anayetaka atambulike kama mwanasiasa maarufu, angetambua kuwa anaokena juha katika jumuiya ya wastaarabu. Km matokeo ya majadiliano ya Serikali na Barrick, ambayo amekuwa akibeza katika safari zake hizo, yamekuwa tofauti na vile anavyotaka jamii iamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukujibu [emoji107]. Ni watu fulani hivi wanaojikomba bila hata kuangalia atharimkuu kama raia tukihitaji ututajie hayo mabeberu ambayo yanashirikiana na lisu kumyumbisha raisi ktk jitihada zake za maendeleo, unaweza kututajia..?!!
me si mwana siasa, ila naitaji watu tuishi kila mtu kwa nafasi yake yaani mimi mwananchi ww kiongozi wa ccm, lisu nae abaki kuwa kiongozi wa chadema,
nchi inayoongozwa kwa kila mtu kuvutia kwake sizani kama itafka, maana kama angekuwa mwana ccm mwenzako wala usingeweza kutaja kama ulivyotaja jina la lisu japo sina uhakika kama unachokisema kina ukweli ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app