Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
mkuu kama raia tukihitaji ututajie hayo mabeberu ambayo yanashirikiana na lisu kumyumbisha raisi ktk jitihada zake za maendeleo, unaweza kututajia..?!!
me si mwana siasa, ila naitaji watu tuishi kila mtu kwa nafasi yake yaani mimi mwananchi ww kiongozi wa ccm, lisu nae abaki kuwa kiongozi wa chadema,
nchi inayoongozwa kwa kila mtu kuvutia kwake sizani kama itafka, maana kama angekuwa mwana ccm mwenzako wala usingeweza kutaja kama ulivyotaja jina la lisu japo sina uhakika kama unachokisema kina ukweli ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app