Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Nyie mlioingia nao mikataba ya madini na gesi asimia tatu na hao mabeberu hamtumiki .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Lisu hana serikali,hana polisi, hana jeshi hana yeye hana maamuzi yoyote kwenye wizara yoyote hapa tanzania....sasa wazungu wataibaje rasrimali zetu kuptia lisu??? Hyo miaka yote tuliyoibiwa kwenye madini na mariasili lisu alihusika???
Sent using Jamii Forums mobile app
Anavizia nafasi ya ded wa itigi
Magogoni pumzi inakata. Karibu tutaanza kuwatembelea ICU
Mtoa mada umechelewa
**punguza tabia za kujipendekeza utal$$&&waaaaa
Augustino Chiwinga

Wewe mpumbav umetokea wapi tena?Hizi ngonjera hazina mashiko tena kwa watu makini!Augustino Chiwinga

Akili kibamia hizi na namba ya simu umeweka kabisa,huteuliwi ng'o,
Sent using Jamii Forums mobile app
Beberu jana lilikuwa ikulu,hiyo shughuli pevu iliyoendelea humo mjengoni itakuwa ni balaa!Yule jamaa wa jana pale magogoni ni beberu pia? Au akiongea na uncle ni mdau wa maendeleo; akiongea na Lissu ni beberu.
ccm mnamalizwa na unafiki uliopitiliza. Shame!
Aina yake ya uandishi unapata jibu tu kuwa ni dizaini ya kina msukuma, zero brain kabisa.Hiyo jamaa anatia huruma sana yaani tangu aanze kuweka namba yake naona sasa ni zaidi ya 2yrs lkn mheshimiwa kamuona ni zero
In God we Trust
Aina yake ya uandishi unapata jibu tu kuwa ni dizaini ya kina msukuma, zero brain kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kibaraka ni kibaraka mpumbavu na lofa. Nasema hivyo kwa kuwa kama Wakili msomi, mbunge wa muda mrefu, na anayetaka atambulike kama mwanasiasa maarufu, angetambua kuwa anaokena juha katika jumuiya ya wastaarabu. Km matokeo ya majadiliano ya Serikali na Barrick, ambayo amekuwa akibeza katika safari zake hizo, yamekuwa tofauti na vile anavyotaka jamii iaminiAugustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa kiuchumi anayopigana Rais Magufuli imeacha majeruhi wengi kwa wanufaika wa mtandao wa wizi uliokua umekithiri Tanzania.
Majeruhi wa vita hiyo ndani na nje ya nchi hawajaridhika za hatua za kizalendo anazochukua Mh.Rais Magufuli, wamejipanga kumyumbisha na kumrudisha nyuma katika vita yake hiyo.
Wanatumia mbinu na mikakati mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, na kuwapandikiza ama kuwanunua watu katika sehemu mbalimbali na ndio hao wanaoitwa vibaraka.
Tundu Lissu ni miongoni mwa watu hao wanaopokea malipo ya kutumika na Mabeberu yaliyokua yananyonya raslimali ze nchi.Ziara zote na maneno anayoongea ni malipo ya fedha alizolipwa na mabwana zake ili kuichafua taswira ya nchi yetu lakini haswa.
Majizi yaliyokua yanaiba kwenye madini, nishati, na raslimali nyingine yameungana kumpiga vita Rais Magufuli kupitia vinywa vya Watanzania wenzetu vilivyokubali kununulika na kuuza utu wao.
Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Nakuunga mkono 100% Hatumtaki kibaraka hapa kwetu ila tatizo ni kwamba; Vibaraka halisi wamejaa kule mjengoni. Ni hao hao waliowafurumusha wabunge wenzao wa upinzani halafu haraka haraka wakapitisha kwa mbwembwe mikataba ya kifisadi na kinyonyaji inayotuyumbisha hadi leo. Vibaraka hao wa mabeberu wakaungana pamoja na kuwaruhusu hao mabeberu kujichotea rasilimali zetu na kwenda jilambia utamu wake huko ughaibuni.Kibaraka ni mtu mbaya na hatari anayeweza kutamka au kufanya jambo lolote ili kuwafurahisha mabwana zake.Kibaraka ni adui wa Taifa lolote.
Tundu Lissu anatumika na mabeberu majizi,wanataka Rais Magufuli apunguze makali ili yaendelee kunufaika na wizi waliokua wanaufanya.
Tumkate Kibaraka wa Mabeberu Tundu Lissu na matendo yake yote.
Na ww pia ni kibaraka wa maguuAugustino Chiwinga