Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

Nadhani mleta mada kaelewa kuwa hii ni JF na si facebook!

JF inabidi ujipange na hoja zenye mashiko lasivyo unaambulia alichopata mleta mada!
 
CCM walishauza nchi miaka mingi sana sasa tundu Lisu awe dalali kwa kipi hasa wakati CCM mlishauza kila kitu wee ni kichaa kabisa.
Kabsa kabsaaa ges ya mtwara utajiri aliotupa Mungu nakumbuka wakati wanapitisha miswada waliowengi waliwafukuza upinzani bungeni ili mikataba jambawazi ipite ...Hawa wameuza nchi kwa mda mrefu!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Waliouza rasilimali za taifa ni kina MAGUFULI yye alienda mbali hata kuuza nyumba za umma kwa mahawala zake. Nakuhakikishia siku wanapitisha kwa dharura miswada ya dharura bungeni hapo 2015 kina TL walitoka bungeni mkashangilia kunengua na kukata mauno pale bungeni.bwege wewe
 
Meko ni dalali wa israeli mtoa roho na shetani mleta mateso kwa binadamu.

Bora Lissu dalali wa mabeberu wanaotuwesesha kupata scholarship na misaada kedekede kwa individuals na our country at large.
 
Tajiri Tanzanite,

Kuliko kutuletea utawala wa kikabila na kidini na kikatili ni bora tu waje hao Mabeberu waweke hiyo mikataba ya siri.
Kwani ni mkataba upi uliowahi kuganywa kwa wazi na hao CCM?
Hivi Huseni anatafuta nini kule Zanzibar?
Hivi mnatafuta nini kama watanzania wanamtaka Lisu?
Ina maana Mabeberu watakuja kumpigia Kura Lisu?
Ina maana wale watanzania wanampokea kwa maelfu ndio Mabeberu?

Hii nchi kama kweli kuna mtawala mzalendo basi ajae na sheria ya kuweka wazi mali za Makada wa Chama cha Mapinduzi na jinsi walivyozipata kuanzaia awamu ya kwanza waliofilisi Mashirika ya umma na vyama vya ushirika na baadae kujiuzia nyumba zote za umma na kila kitu cha umma kwa bei chee na wengine kujimilikisha mali za umma kwa mikopo ambayo haikulipika ipasavyo . Kila kitu maCCM walishakichukua na kukimiliki na familia zao. Usione mavyombo ya dola yakiongozwa na Makada wa CCM kinyume na katiba lakini ni kuwa ni watu walioshiriki kwenye kujimilikisha utajiri wa nchi hii.

Hawana lolote Makada wa CCM walioko kwenye mahakama ,Vyombo vya dola n.k, wote ni wanufaika wa rasilimali na kodi za nchi hii bila huruma.

Wapo tayari kutumia Dola kuua kila mtu wabaki peke yao kwa kisingizio kuwa wao ndio wanaolinda amani ya nchi huku wakijua wazi rohoni mwao kuwa wanalinda wizi wao.

Ogopa watu wanapata madaraka kwa dhulma , uchawi,rushwa ,uzinzi, ahadi za kupeana madaraka na vyeo vyenye maslahi. Watu wanaopeana madaraka wakiwa kwenye mabaa wakiwa wamelewa pombe kichwani. Hakuna Mtawala mwenye huruma na mtu zaidi ya nafsi yake na familia yake. Ndio maana wakishapata wanawapa vyeo watoto wa Dada,shangazi , wajomba ,mashemeji, n.k.

Ndio maana tunataka Lisu naye apate tu aweke sheria Kali na asimamie Katiba.

CCM wanakosa umakini ndio maana tunaibiwa na wazungu.

Kinge kinawapiga chenga matokeo yake hata mikataba inakua ni holela na hawaisomi mana imeandikwa kingereza.
Lisu ndiye jawaba ya hao wazungu mana anaijua sheria na sio mtu wa kudanganywa au kuandika mikataba ya kijinga.

Mungu ndiye nayejua kuwa nani atashinda uchaguzi wa mwaka huu.

Mungu amechoka kuwa chini ya binadamu na kuona mtu anatukuza kuliko yeye.

Lisu angekua anatamaa ya Fedha kama hao wazalendo waliokuwapo miaka yote na wakashiriki kutuibia na kujilimbikizia mali zote za nchi hii na hata Mungu anaona wanavyodanganya midomoni mwao huku mioyoni mwao wakiwa wameficha mali walizochuma kupitia SERIKALI ya CCM iliyotawala tangu Uhuru basi angejipendekeza kwao na kupata nafasi za kujilimbikizia mali kama walivyofanya wengine.

Ogopa mtu anayepigwa risasi 16 halafu bado anasema Yale Yale bila kubadilika.

Hao wengine hawapendi hata kujibiwa tofauti na wanavyotaka sembuse kupigwa risasa hata iwakose wangejenga Chuki isiyoisha.

Lisu ni mvumilivu sana na Mungu anamwona na anpango naye. Hakuna namna kama Mungu amepanga hakuna wa kumzuia na atakayezuia mpango wa Mungu ataaibika milele.

Adamu alipoumbwa na Mungu alipewa amri au Katiba ya kuifuata na sio Madaraja wala mareli na mabwawa.
Adamu Alihesabiwa kuwa amemwasi Mungu pale aliposhindwa kufuata amri au Sheria au Katiba aliyopewa na Mungu .
Tunataka Kiongozi atakayetuongoza kwa haki na mwenye kufuata sheria au katiba ya nchi . Mwenye kutenda haki na asiyembaguzi wala makabila na akijaribu kuwa mkabila basi atakutana na katiba na sheria inayomkataza na kuweza hata kumvua uongozi.

Katiba tuliyo nayo inampa mamlaka Rais kuweza kuweka hata serikali nzima ndugu zake wa familia yake tuu. Na hakuna wa kusema na ukijaribu unapewa kibano cha uhakika. Hii ni zaidi ya Ubeberu. Tumwache Lisu mana hata ujio wake umebadili watu ndani ya CCM walioanza kujawa na kiburi na kumdharau mpaka mungu na ukuu wale kwa kusema kuwa kuna mtu ameikimbiza korona .

Kuhusu rasilimali kuwapa wazungu ni uzushi mana mpaka sasa nchi hii haina kilichobaki .Mpaka Ardhi ya nchi yetu ilyouzwa kwa Mwarabu Kule Loliondo hatujasikia Mzalendo feki yeyote akiizungumzia . Tafakari utagundua kuwa CCM ni kama alivyosema Prof. Lipumba. liyeamua kutumia viongozi wa Dini matapeli na wabinafsi wanaotumia shida za watu kujitajirisha na kujilimbikizia mabilioni ya pesa na Mali za kila aina bila kuwa na uchungu na maisha ya watu maskini na wengine waliwatukana mpaka makadinali enzi za JK kwa sababu tu ya kuuchukia uislama wa JK, leo wanagombea Ubunge kupitia Chama kile kile walichotumia kumtukana JK na kadinali Pengo.
 
Kwa upana wa fikra zetu tunatambua sahihi lengo la huyu LIssu , hatutokaa kufanya makosa ya kumkabidhi nchi kwa maslahi ya wabepari. Tuna imani na magufuli na tutamchagua tena. #magufulimitanotena #kazizaidi
 
Hiyo ni danganya toto ili kuwaaminisha watanzania wenye hofu yakumnyima kura baada yakumstukia kuwa ni mtu anayetaka kulipiza kisasi hafai.

Na kama kuna mtu anayepaswa kulipizwa kisasa basi hawezi kukwepa kisasi mana kisasi ni juu ya Mungu.

Na Mungu amemponya Lisu na kisaha kuondoa Korona ili Uchaguzi mwaka huu ufanyike kama ulivyopangwa na Lisu arudi siku salama ambayo hata yule Mla raha zote z duniani kwenye nchi maskini alikua ameshacha ukuu wa mkoa na ikawa ni siku ya msiba mkubwa .

Yote hayo ni wazi kuwa Kuna jambo Mungu amelipanga kupitia Lisu . Mabeberu mnawasingizia tuu. Lisu kama sio mwaka huu lakini kuna dalili ya kuja kuingia madarakani na kuweka sheria na katiba mpya yenye misingi ya haki na usawa. Itakua ni uamuzi wake kulipa kisasi au kusamehe japo hawezi kulipa kisasi mana kitendo alichofanyiwa sio cha kibinadam na ni kitendo kilicho kinyume cha sheria na haki za binadam. Lisu ni muumini wa haki
 
Na kama kuna mtu anayepaswa kulipizwa kisasa basi hawezi kukwepa kisasi mana kisasi ni juu ya Mungu. Na Mungu amemponya Lisu na kisaha kuondoa Korona ili Uchaguzi mwaka huu ufanyike kama ulivyopangwa na Lisu arudi siku salama ambayo hata yule Mla raha zote z duniani kwenye nchi maskini alikua ameshacha ukuu wa mkoa na ikawa ni siku ya msiba mkubwa .
Yote hayo ni wazi kuwa Kuna jambo Mungu amelipanga kupitia Lisu . Mabeberu mnawasingizia tuu. Lisu kama sio mwaka huu lakini kuna dalili ya kuja kuingia madarakani na kuweka sheria na katiba mpya yenye misingi ya haki na usawa. Itakua ni uamuzi wake kulipa kisasi au kusamehe japo hawezi kulipa kisasi mana kitendo alichofanyiwa sio cha kibinadam na ni kitendo kilicho kinyume cha sheria na haki za binadam. Lisu ni muumini wa haki
Hatashetani huja kwa sura ya malaika akiwaaminisha watu ni mwema...Lissu ni Sio hata kidogo.
 
Hapo vipi!

Huyu mtu anayeitwa Tundu Lissu ni mtu wa kumkwepa sana na kumpuuzia.

Mtu huyu ni wazi ametumwa na Mabepari wa Ulaya na America ili atakapofanikiwa kuwa rais wa nchi hii awape rasilimali za nchi kwa mikataba ya kilagai.

Ipo hivi Tundu Lissu alipokuwa akitibiwa pale Nairobi..watu wengi sana waliguswa na kitendo kile na hali aliyokuwa nayo kiuchumi,Hivyo watu wakachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu lakini mwenyeki wao mbowe na wapigaji wenzake wakatumia hiyo kama fursa ya kujipatia pesa kwa maslahi yao binafsi, yaani ile michango ilipigwa na mbowe na wenzake.

Kitendo hichi ilisababisha mgogoro kati familia ya Lissu na Mbowe. Kilichotokea baada ya Lissu kukosa pesa kutoka na upigaji huu.

Aliweza kufadhiliwa na wamiliki ya yale makampuni ya kibeparia aliyokuwa akiyatetea kipindi cha makinikia na baadhi serikali za nchi za Ulaya hususani Ubelgiji katika swala zima la matibau hapo Ubelgiji.

Tundu Lissu akiwa Ulaya ameweza kutembelea nchi za ulaya na America kwa lengo la kuingia nao makubaliano ya siri.

Tundu Lissu aliomba hizi nchi ziingilie kati uchaguzi endapo ataanzisha varangati akiwa ameshindwa uchaguzi ili wamkingie kifua kuwa rais wa nchi.

Na akifanikiwa kwa hili amewaahidi kuwapa rasilimali ya nchi kwa mikataba haramu.

Tundu Lissu huyu, ni kibaraka mwenye lengo la kumwaga damu ya watanzania wenzaka kwa lengo la kutaka kulipiza kisasi dhidi ya kitendo cha kupigwa risasi.

Tundu Lissu hyu yupo mstari wa mbele kuigawa Tanzania vipande viwili, kwa Lengo la Zanzibar kuwa Taifa huru na Tanganyika kuwa Taifa uhuru. Mtu huyu ni wakumpinga kwa nguvu zote pasipo kumuogopa wala kuwaogopa hao mabepari uchwara walio nyuma yake.

Huyu Tundu Lissu,ana uraia pacha wa Tanzania na Ubelgiji, akishanukisha hapa anatumiwa ndege chap na hao mabepari anaendakujificha Ubelgiji. Hana hasara huyo. Lengo ni kwamba anataka kupata nafasi ya kulipiza kisasi.

KIBARAKA HUYU AMESHAFUNULIWA
Hataweza na mabeberu wake tunasubiri tumnyooshe tarehe 28/10/2020!
 
Tajiri Tanzanite,

Daaah kweli mataga mnatia huruma 😂😂😂😂

Kwa iyo unajiona umeandikaaaaaaa weweeee 😂😂😂😂

Na lazima mrukwe na akili sababu ya Lissu mwaka huu
Tunamnyoosha 28/10/2020 bado siku 50 tu!
 
Hapo vipi!

Huyu mtu anayeitwa Tundu Lissu ni mtu wa kumkwepa sana na kumpuuzia.

Mtu huyu ni wazi ametumwa na Mabepari wa Ulaya na America ili atakapofanikiwa kuwa rais wa nchi hii awape rasilimali za nchi kwa mikataba ya kilagai.

Ipo hivi Tundu Lissu alipokuwa akitibiwa pale Nairobi..watu wengi sana waliguswa na kitendo kile na hali aliyokuwa nayo kiuchumi,Hivyo watu wakachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu lakini mwenyeki wao mbowe na wapigaji wenzake wakatumia hiyo kama fursa ya kujipatia pesa kwa maslahi yao binafsi, yaani ile michango ilipigwa na mbowe na wenzake.

Kitendo hichi ilisababisha mgogoro kati familia ya Lissu na Mbowe. Kilichotokea baada ya Lissu kukosa pesa kutoka na upigaji huu.

Aliweza kufadhiliwa na wamiliki ya yale makampuni ya kibeparia aliyokuwa akiyatetea kipindi cha makinikia na baadhi serikali za nchi za Ulaya hususani Ubelgiji katika swala zima la matibau hapo Ubelgiji.

Tundu Lissu akiwa Ulaya ameweza kutembelea nchi za ulaya na America kwa lengo la kuingia nao makubaliano ya siri.

Tundu Lissu aliomba hizi nchi ziingilie kati uchaguzi endapo ataanzisha varangati akiwa ameshindwa uchaguzi ili wamkingie kifua kuwa rais wa nchi.

Na akifanikiwa kwa hili amewaahidi kuwapa rasilimali ya nchi kwa mikataba haramu.

Tundu Lissu huyu, ni kibaraka mwenye lengo la kumwaga damu ya watanzania wenzaka kwa lengo la kutaka kulipiza kisasi dhidi ya kitendo cha kupigwa risasi.

Tundu Lissu hyu yupo mstari wa mbele kuigawa Tanzania vipande viwili, kwa Lengo la Zanzibar kuwa Taifa huru na Tanganyika kuwa Taifa uhuru. Mtu huyu ni wakumpinga kwa nguvu zote pasipo kumuogopa wala kuwaogopa hao mabepari uchwara walio nyuma yake.

Huyu Tundu Lissu,ana uraia pacha wa Tanzania na Ubelgiji, akishanukisha hapa anatumiwa ndege chap na hao mabepari anaendakujificha Ubelgiji. Hana hasara huyo. Lengo ni kwamba anataka kupata nafasi ya kulipiza kisasi.

KIBARAKA HUYU AMESHAFUNULIWA
Nani alimshambulia?Kwa nini alinyimwa matibabu?Kwa nini mlimvua ubunge?Wapo wapi waliomshambulia?
Tunashangaa jinsi mnavyopotosha ukweli mnaoufahamu,hayo makanikia yapo wapi sasa hivi?Tumelipwa $190 million zetu?Hapo nani ameuza raslimali za nchi hii?Gas yetu mlisema imechukuliwa na nani vile?
Kama huna majibu ya hayo,acha Sisi tusiokuwa wanyonge Twende na Lissu tuikomboe nchi hii toka mikononi mwa wanyonge.Ni Yeye Lissu 2020.
 
Hapo vipi!

Huyu mtu anayeitwa Tundu Lissu ni mtu wa kumkwepa sana na kumpuuzia.

Mtu huyu ni wazi ametumwa na Mabepari wa Ulaya na America ili atakapofanikiwa kuwa rais wa nchi hii awape rasilimali za nchi kwa mikataba ya kilagai.

Ipo hivi Tundu Lissu alipokuwa akitibiwa pale Nairobi..watu wengi sana waliguswa na kitendo kile na hali aliyokuwa nayo kiuchumi,Hivyo watu wakachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu lakini mwenyeki wao mbowe na wapigaji wenzake wakatumia hiyo kama fursa ya kujipatia pesa kwa maslahi yao binafsi, yaani ile michango ilipigwa na mbowe na wenzake.

Kitendo hichi ilisababisha mgogoro kati familia ya Lissu na Mbowe. Kilichotokea baada ya Lissu kukosa pesa kutoka na upigaji huu.

Aliweza kufadhiliwa na wamiliki ya yale makampuni ya kibeparia aliyokuwa akiyatetea kipindi cha makinikia na baadhi serikali za nchi za Ulaya hususani Ubelgiji katika swala zima la matibau hapo Ubelgiji.

Tundu Lissu akiwa Ulaya ameweza kutembelea nchi za ulaya na America kwa lengo la kuingia nao makubaliano ya siri.

Tundu Lissu aliomba hizi nchi ziingilie kati uchaguzi endapo ataanzisha varangati akiwa ameshindwa uchaguzi ili wamkingie kifua kuwa rais wa nchi.

Na akifanikiwa kwa hili amewaahidi kuwapa rasilimali ya nchi kwa mikataba haramu.

Tundu Lissu huyu, ni kibaraka mwenye lengo la kumwaga damu ya watanzania wenzaka kwa lengo la kutaka kulipiza kisasi dhidi ya kitendo cha kupigwa risasi.

Tundu Lissu hyu yupo mstari wa mbele kuigawa Tanzania vipande viwili, kwa Lengo la Zanzibar kuwa Taifa huru na Tanganyika kuwa Taifa uhuru. Mtu huyu ni wakumpinga kwa nguvu zote pasipo kumuogopa wala kuwaogopa hao mabepari uchwara walio nyuma yake.

Huyu Tundu Lissu,ana uraia pacha wa Tanzania na Ubelgiji, akishanukisha hapa anatumiwa ndege chap na hao mabepari anaendakujificha Ubelgiji. Hana hasara huyo. Lengo ni kwamba anataka kupata nafasi ya kulipiza kisasi.

KIBARAKA HUYU AMESHAFUNULIWA
Safi Tundu Lisu, ondoa ulaghai wa maccm ili Tuwe huru
 
mkuu, kwani tanzania tunaruhusu uraia pacha, acha kutudanganya.
 
Mara akiwa Rais atauza rasilimali! Mara ataenda Ubelgiji!

Kwani ukiwa CCM lazima uwe mjinga? Eti jamani nauliza tu!
Sifa ya kwanza kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu.
FB_IMG_1589682992908.jpg
 
Back
Top Bottom