Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .