Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa Mbowe leo mtalala na viatu kudadeki.Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Lissu atafanya Siasa za ghasia ndizo zitaeleweka kwa Watawala waCCM, lakini Mbowe amekuwa BARIDI mno.Mkuu kabla ya kuyadharau maamuzi ya mh Mbowe dhidi ya mama Samia angalia pia katiba yetu inaturuhusu kufanya kama kina Kenya?
Mkuu una miaka mingapi? 😀Shida ninini??? Tundu lissu ndiye mpinzani wa kweli! Nyie machawa wa mbowe naona mnaanza kuleta chokochoko ni wakati sasa tundu lissu kuwa mwenyekiti wa chama tupate upinzani wa kweli! Mbowe toka nasoma primary school yeye ni mwenyekiti wa chama! Nimesoma mpaka chuokikuu mpaka nimeajiriwa na nimeoa sasa ni watoto wawili bado mbowe ni mwenyekiti! Hapana imetosha sasa! Huko juu kuna nini hataki kuachia wengine??? Tundu lissu wengi tupo upande wake maana yeye amejitanabisha kama mpinzani wa kweli kwa maneno na kwa vitendo
Kunguni wa Mwenyekiti washaingia kazini.Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Kwamba asipishe mwingine sababu ya aliyoyafanya? Wengine si watafanya pia? Au hawawezi ni Mbowe tu ndo anayeweza kukitumikia chama kama mwenyekiti?Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Mbowe kaka sana kwenye hiyo nafasi lkn pia jiulize ni mangapi kayafanyia CDM ?
Lissu ndiye mpinzani pekee wengine ni wafanyabiashara za siasaLissu kwenda CCM ni sawa na Simba na Yanga kuacha uchawi. HAIWEZEKANI.
Msije mkatuulia Tundu Lissu wetu.Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.