The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 242
- 486
Nashukuru umenielewaMmawia ndiyo CHADEMA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru umenielewaMmawia ndiyo CHADEMA?
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Sasa lile basi alilozawadiwa ubelgiji ndio itakuweje tena?😁Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Lissu akienda CCM me naacha kufatilia siasa ya TanzaniaWana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Kwani wee chadema nimamaako?Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Tatizo Lissu hana utulivu...Mbowe amekitoa chama mbali.
..lakini huenda naye amechoka na hizi harakati.
..umri na uchovu ndio sababu zinazonifanya niamini ni vizuri Chadema wakapata Mwenyekiti mpya.
M.kiti sioni akituvusha salama enzi hizi za chafuzi,tupate nguvu mpya,ni bora hata kujaribukuliko uhuni unaokosa dawa.Shida ninini??? Tundu lissu ndiye mpinzani wa kweli! Nyie machawa wa mbowe naona mnaanza kuleta chokochoko ni wakati sasa tundu lissu kuwa mwenyekiti wa chama tupate upinzani wa kweli! Mbowe toka nasoma primary school yeye ni mwenyekiti wa chama! Nimesoma mpaka chuokikuu mpaka nimeajiriwa na nimeoa sasa ni watoto wawili bado mbowe ni mwenyekiti! Hapana imetosha sasa! Huko juu kuna nini hataki kuachia wengine??? Tundu lissu wengi tupo upande wake maana yeye amejitanabisha kama mpinzani wa kweli kwa maneno na kwa vitendo
Tatizo Lissu hana utulivu.
Utuluvu kwa wastaarabu gani?Tatizo Lissu hana utulivu.
Tuna akili sana kuliko wewe na huna haja ya kitufundisha chochote kuhusu Tundu Lissu maana tunamjua na kumwelewa vizuri kuliko mnavyomwelewa Chawa....Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Shida nyingine ya M.kiti naona vipo vifungo huenda vinamfunga mikono katika kinachoitwa maridhiano ambayo siamini kama yalikuwa shirikishikiasi gani kwa chama na wanachama.Hivyo kupokezana kijiti kitavunja kifungo alichofungwa hata kuwa na upole usio wa kawaida.Tuna akili sana kuliko wewe na huna haja ya kitufundisha chochote kuhusu Tundu Lissu maana tunamjua na kumwekewa vizuri...
Kutaka kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, nafasi iliyoko kikatiba na muda wa uchaguzi ukiwa umefika ndiyo na yeye kujiona anafaa kujaza nafasi iweje awe kirusi..?
Siri gani hizo za chama anazozitoa?
Hivi imekuaje wana CHADEMA wa siku hizi kama wewe Mmawia mnakuwa kama ma CCM kwa kutaka na kupenda kufanyia mambo yenu gizani..?
Chama kinatuhumiwa kwa baadhi ya viongozi wake kupokea rushwa za ma CCM Ili wapate uongozi, hili lisisemwe hadharani? Siri gani hapo..?
Baadhi ya viongozi wanatuhumiwa kutumia madaraka yao vibaya kwa kutumia rasrimali fedha na mali kibinafsi, hiyo ni siri isisemwe hadharani..?
Yaani nyie mnaolea ujinga na uchafu kama huu ndio hasa virusi mnaopaswa kuondolewa chamani maana hamfai...!!
Acha uchawa pumbavuMkuu kabla ya kuyadharau maamuzi ya mh Mbowe dhidi ya mama Samia angalia pia katiba yetu inaturuhusu kufanya kama kina Kenya?
Hapana mmawia ,mbona una hofu ambayo haina sababu??Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.
LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.
Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .
Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Nafikiri asikilizwe huonda kuna siri kubwa yuko nayo.Huenda anayonia yakutufumbua macho kwa mambo yandaanii kabisa.Tusimkatae mazima.Acha uchawa pumbavu