Tuna akili sana kuliko wewe na huna haja ya kitufundisha chochote kuhusu Tundu Lissu maana tunamjua na kumwekewa vizuri...
Kutaka kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, nafasi iliyoko kikatiba na muda wa uchaguzi ukiwa umefika ndiyo na yeye kujiona anafaa kujaza nafasi iweje awe kirusi..?
Siri gani hizo za chama anazozitoa?
Hivi imekuaje wana CHADEMA wa siku hizi kama wewe
Mmawia mnakuwa kama ma CCM kwa kutaka na kupenda kufanyia mambo yenu gizani..?
Chama kinatuhumiwa kwa baadhi ya viongozi wake kupokea rushwa za ma CCM Ili wapate uongozi, hili lisisemwe hadharani? Siri gani hapo..?
Baadhi ya viongozi wanatuhumiwa kutumia madaraka yao vibaya kwa kutumia rasrimali fedha na mali kibinafsi, hiyo ni siri isisemwe hadharani..?
Yaani nyie mnaolea ujinga na uchafu kama huu ndio hasa virusi mnaopaswa kuondolewa chamani maana hamfai...!!