Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Ama kweli Uenyekiti ni sumu haionjwi.
Cecil Mwambe, Sumaye, Zitto, Mkumbo, Wangwe.......
 
Kama ana haki ya kugombea mapovu ya nini sasa?
Cheo çha Mbowe ni balaa. Leo Lissu kawa kirusi kisa uenyekiti!
Mzee Mbowe mwenyewe alishathibitisha kuwa cheo chake ni zaidi ya sumu kwa yoyote yule mwenye kutaka nafasi yake.
 
Hii inakumbushia enzi za Dr. Slaa. Hapa inaonyesha kabisa mwelekea wa kifuatacho TBC/ITV!
 
Ni. Maoni yako, lissu kwenda ccm haiwezekani kamwe.Lissu kuwa kirusi chadema tangu lini? Lisa kugombea uwenyekiti?
Nashukuru sana kwa kutambua kuwa haya ni maoni yangu.

Siku 5 kabla ya Msigwa kutangaza kuwa amehamia ccm niliandika hapa nikasakamwa kama leo
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Usimlinganishe Lissu na yule darasa la saba Peter Msigwa
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Hatimaye umeamua kuonesha upumbavu wako. Live live...
 
Huu ndo wakati wakumpinga shetani sasa ndugu zangu chadema.

Ile Democracy, Uchaguzi huru, katiba mpya tunayo iimba kila siku. Ndo hyo imempa haki TL kugombea uenyekuti chadema, Tunataka na Mbowe Nae atumie haki yake kugombea halafu wajumbe tupuge kura 😀

Atakae kua mshindi, Basi ndo mwenyebkiti wetu, mbona hili swala ni dogo mno
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
MBOWE amepoteza imani pia mvuto. Kwanini pesa za ruzuku zinaingia kwenye account yake binafsi?
 
Utayaamini maneno yangu siku ukimuona Lissu msomi akiwa ametinga kwenye kijani
Una mu underate sana Lissu, bora hata ungesema ACT au arudi NCCR. Ila ukae ukijua Lissu ndiye Mwenyekiti wa Chadema ajaye, John Heche Katibu Mkuu, na anayo tayari kura ya Freeman Mbowe.
 
Aisee chadema yeny Lissu na Heche itakua hatari sana. Itarudisha morale ya upinzani ile ya pre-2015.
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Acha kupotosha watu WATU WAMECHOKA MAUWAJI WAMECHOKA WIZI WAMECHOKA KUONEWA NGOJENI MUDA NI SHAIDI HAPA DUNIANI MAVI MAVI TU
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Tumemchangia anunue gari mpaka leo kimya hatuletei report ya michango yetu na mpaka sasa hasemi chochote kuhusu kesi yake na tigo hadi wamebadili jina na kujiita yasinta!! To me lisu its a big NO!
 
Hakika, amewahi kuhojiwa mara nyingi kuhusu hilo amekuwa akikataa japo anasema Kaka yake wa damu ni CCM ila hajawahi kushawishika kwenda huko
Lissu anapigania maswala sio vitu kama pesa, anaamini katika demokrasia chini ya tume huru ya uchaguzi, msigwa anadandiadandia tu
 
Back
Top Bottom