Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

Atakuwa amejimaliza kama CDM ilivyojimaliza kwa kumpokea Eddo.
CHADEMA haikujimaliza kwa kumpokea Eddo. Umesema kinyume na hali halisi - na reality!

Linganisha CHADEMA ya 2015 na ile ya 2020. Ipi uliikubali, kivipi?
 
Lissu hawezi kuwa chawa wa CCM na nakuhakikishia kuwa endepo Chadema itapata mwenyekiti mpya aisha Lissu ama Heche basi watapata uungwaji mkubwa wa mkono kutokana na mazingira yaliyopo kisiasa ndani ya nchi kwa sasa. Hivi nyie team Mbowe mbona hamtaki kukubali kuwa kunahitajika nguvu mpya? Kama mnanufaika na mfumo ulipo sasa basi jiandaeni kubadilika. Mbowe astaafu abaki kama kiongozi mashuhuri ndani ya chama. Hayo mengine mnajiliza tu kwa sasa.
Hakuna anayejiliza bali huo ndiyo ukweli kuwa Lisu anamfuata Msigwa ccm
 
Ni. Maoni yako, lissu kwenda ccm haiwezekani kamwe.Lissu kuwa kirusi chadema tangu lini? Lisa kugombea uwenyekiti?
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Pamoja na mengine yote, kwa nini Mbowe nae asiache mtu mwingine akawa Mwenyekiti wa chama? Nadhani na yeye afike sehemu akubali kuwa kafanya mazuri lakini hebu atoe nafasi kwa watu walio na mawazo tofauti nao wajaribu kivyao.
 
Mkuu usiwe unakula ugali na njugumawe usiku.Unakuwa na hallucinations sana.
 
Naombea John Heche naye awe mmoja wa wanaogombea hiyo nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA.

Analeta matumaini makubwa sana katika siasa za upinzani Tanzania.
Heche ashauriwe atie Nia agombee umakamu mwenyekiti....
 
Mkuu tujipe muda kuna siku utayakumbukq maneno yangu haya
Hata akienda ni sawa tu kuliko kuwa na mwenyekiti kwa muda mrefu hivi. Kwa sasa Mbowe ni kiongozi asiyeaminika tena, miaka 20 aliyokaa kwenye nafasi hiyo inatosha, kwani ni lazima yeye tu aendelee kuwa mwenyekiti?
 
Pamoja na mengine yote, kwa nini Mbowe nae asiache mtu mwingine akawa Mwenyekiti wa chama? Nadhani na yeye afike sehemu akubali kuwa kafanya mazuri lakini hebu atoe nafasi kwa watu walio na mawazo tofauti nao wajaribu kivyao.
Haahaa huenda yeye Hana shida, tatizo machawa ndo wanampa kichwa
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Mbowe kaka sana kwenye hiyo nafasi lkn pia jiulize ni mangapi kayafanyia CDM ?
Hakuna anayekataa baadhi ya mazuri aliyofanya, ila hiyo sio kinga ya kufia kwenye nafasi hiyo.
 
Kwa comment hii unataka kusema kuwa Msigwa alikuwa Zezeta?
Mkuu acha kumkosea Lissu kwa kumfananisha na Msigwa, ni lavel 2 tofauti kabisa!.
Kwa miaka mingi imethibitika wazi ccm hawataki siasa za kistaarab...ni wahuni, inatakiwa ile wakiweka ugoko na wew unaweka ugoko!
Mbowe kweli kaitoa chadema mbali na aina ya siasa zake za kistaarab.
Ila Kwa sasa kiukweli siasa za Lissu ndio zinafaa dhidi ya ma ccm!!.
 
Hivi kwa nini maccm yamehamaki sana Lissu kugombea uenyekiti wa Chadema?
 
Back
Top Bottom