Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Kirusi kizuri ni nani
 
Mkuu tujipe muda kuna siku utayakumbukq maneno yangu haya
Kila anayetaka kugombea uenyekiti basi wanachadema vijana humgeuka na kuanza kumwita msaliti. Ila kweli muda ni somo zuri. Alianza zitto, wakamsema kuanzia akina halima na lissu kuwa ni msaliti. Sasa zamu ya lissu nayo imefika baada ya kutamani wenyekiti.
Yani nafasi ya mwenyekiti ni kama ufalme enzi ottoman empire, yani kutamani kiti au hata kimada cha mfalme ni kosa ambalo linakuua kwa sababu anadai ukianza tamani hata kimada wake kesho utataka kiti chake.
 
Naombea John Heche naye awe mmoja wa wanaogombea hiyo nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA.

Analeta matumaini matumaini makubwa sana katika siasa za upinzani Tanzania.
Heche anaenda kuwa Katibu Mkuu chini ya Uenyekiti wa Lissu.
 
Mmeacha kupiga kampeni Mbowe aachie uenyekiti mmehamia kwa Lisu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Sasa tufuate lipi?
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
 
Leo kuna Viongozi wa CHADEMA wametekwa na kuuwawa na Serikali ya CCM lakini Mbowe hana zaidi ya kuto Speech tu wakati WanaCHADEMA wanauwawa na kupotezwa.
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
CCM mnaogopa nini
 
Press conference yake ya kutangaza kugombea nafasi MKiti leo tarehe 12.12.2024 itanatafakarisha kutokana na mashambulizi aliyotoa baada ya kutangaza nia. Inaonekana ni wampe nafasi ya MKiti au aondoke. Sasa swali ni je ana nia njema kubadili gia angani kutaka nafasi hiyo? Ipi bora apewe au aachwe aondoke?
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Duh...!
P
 
Lissu akitoka CHADEMA basi ndio mwisho wake kwenye siasa za vyama. Hawezi kuishi CCM wala hakuna atakayemhitaji huko labda kama mkakati wa kummaliza kabisa - literally!

Hana compromise; hana simile katika suala lolote.
Atakuwa amejimaliza kama CDM ilivyojimaliza kwa kumpokea Eddo.
 
Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.
The fear of unknown.
Mmawia tatizo nini? Nadhani una hofu tu.

Kutokana na mapito ambayo chadema imeyapitia watu wamekata tamaa. Ili kuwmsha Imani ya watu kwa chadema ni lazima mabadiliko ya uongozi yafanyike.

Na kiongozi anayechukua nafasi ni lazima ajipambanue kuwa ana jambo jipya atakalolifanya ktk chama ili kuondoa madhaifu ndani ya chama.

Hayo madhaifu ni lazima ayapigie kelele, kama alivyokuwa akifanya Lisu na kama alivyokuwa akifanya Magufuli wakati wa kampeni 2015. Hata Kinana aliawasema mawaziri wa Kikwete kuwa ni mizigo ili tu kurudisha Imani ya watanzania kwa ccm..

Kwahiyo alichokuwa anakifanya Lisu ni njia mojawapo ya kuwmsha Ari ya mapenzi ya watu kwa chadema.
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .

Hivi unamjua Lissu au! Huyu jamaa yuko hivyo toka Olevel ndugu haiendi CCM labda CCM ilete demokrasia na katiba mpya bila hivyo ni bora asiwe na chama
 
Yani mtu kuomba ridhaa ya kuwa mwenyekiti iwe ni kosa ?

Ni haki kikatiba yeye kugombea uenyekiti sioni kosa la kumuita Lissu kirusi.

Mbowe kafanya kwa nafasi yake apumzike aachie wengine.

Kwa vuguvugu la kisiasa na aina ya siasa za Mbowe ukweli ni kuwa kafika ukomo ,majambazi ya CCM siasa za mtindo wa Mbowe wamezishinda ni wakati wa kuja na mikakati mipya.

Chama kimepoteza viti vya ubunge vyote 2020 na hata sasa kashindwa kugomea uchafuzi wa Mchengerwa mwezi uliopita unaona kuna jipya kwake?

A good dancer knows when to leave the stage.
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Mbowe kaka sana kwenye hiyo nafasi lkn pia jiulize ni mangapi kayafanyia CDM ?
Ina maana kaifadhili cdm ili aendelee kuwa mwenyekiti? Hatukatai mbowe ni mzuri kiuongozi lakini hiki ni chama cha kidemokrasia kinachotakiwa na mchakamchaka wa sasa.
 
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo.

LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani.

Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu.

Wana CHADEMA tujiandae kabisa kisaikolojia maana hapa kuna mpasuko mkubwa utatokea NDANI ya chama kwa ateam LISU na team Mbowe.

Naamini wana CHADEMA tutakuwa na mwenyekiti wetu aliyetutoa mbali .

Najua kuna wana CDM mtanitukana sana na kunikejeri sana ila ukweli utabakiqa pale pale .
Acha mambo yako wewe Mbowe, tunahitaji mabadiliko!
 
Back
Top Bottom