Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.
Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.
Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.
Amewaambia Wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.

Na huyu kila mikutano mitatu anakwenda gereji kumwaga oili na kusafisha kabureta! Ahadi za mgombea Urais zinatolewa na mtu ambaye Urais wake ulipita! Na jinsi alivyo akifanikiwa atakuja kusema ahadi zile ni za yule anayewashwawashwa siyo zake nendeni mkamuulize yeye.
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kwa afya yake na jinsi alivyoumia na mifupa kusagika, bado atakuwa chini ya uangalizi mrefu. Ninaami hapo alipo ana maumivu fulani ila anajikaza kwa sapoti ya dawa.