SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Tusiandikie mateUnadhani Magu mzima?unajidanganya ,ukiambiwa ugonjwa wake utakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusiandikie mateUnadhani Magu mzima?unajidanganya ,ukiambiwa ugonjwa wake utakimbia
Hivi huyo anaesingiziwa kutoa amri mbona hakanushi hilo au kumchukulia hatua za kisheria kwa kusingiziwa?Lisu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usinge rudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyo rudi ulivyo shuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapo lala unalindwa na Askari wa tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako walio kukosa?!?! Lisu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
Mwambie ajiunge kifurushi cha message itakua salio la msg hakuna
Wewe mpu.uzi tulia hapo ulipo ukipimwa unapewa kitanda. Idiot.Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Yote yanawezekana. Tusubiri vyombo vya usalama vimalize kazi yake na kuleta majibuMbowe ndiye aliamrisha lisu apigwe risasi
hizo ni siasa...kama kungekuwa na ukweli si angesema tangu mwanzo....iweje atamke wakati huu wa kampeni...., hizo ni kauli au propaganda za kisiasa haziaminikiHivi huyo anaesingiziwa kutoa amri mbona hakanushi hilo au kumchukulia hatua za kisheria kwa kusingiziwa?
Magufuli mbona anatembea na betri kwenye moyo wake?Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Lisu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usinge rudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyo rudi ulivyo shuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapo lala unalindwa na Askari wa tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako walio kukosa?!?! Lisu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
ulipo lazwa nairobi viongozi hao hao unao watuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuuwa uwaruhusu kuja kukona hospitali?!!inawezekanaje!! huo ni uongo mtupu!!
Jiwe ni mgonjwa zaidi.. ndo maana mara nyingi amekuwa akikatisha kampeni kwenda kukarabatiwa. Lissu alikatisha mara moja tu alipozuiliwa na tumeMgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.
Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.
Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.
Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais, na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Na huyo wa kwenu mbona anaongoza na ukimwi wakeKwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kwani ametuhumu viongozi gani? Amemtuhumu mmoja tu, jiwe, baasi.ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!!
Hamukosi sababu. Kwani JPM ni mzima? Wewe je, uko mzima 100%? Maradhi mmempa ninyi halafu mnamdhihaki? Ninyi siyo watu.Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Hamukosi sababu. Kwani JPM ni mzima? Wewe je, uko mzima 100%? Maradhi mmempa ninyi halafu mnamdhihaki? Ninyi siyo watu.Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Ugonjwa usiomzuia mtu kufanya kazi hauna shida.Jiwe ni mgonjwa zaidi.. ndo maana mara nyingi amekuwa akikatisha kampeni kwenda kukarabatiwa. Lissu alikatisha mara moja tu alipozuiliwa na tume