Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Lisu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usinge rudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyo rudi ulivyo shuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapo lala unalindwa na Askari wa tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako walio kukosa?!?! Lisu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
Hivi huyo anaesingiziwa kutoa amri mbona hakanushi hilo au kumchukulia hatua za kisheria kwa kusingiziwa?
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Wewe mpu.uzi tulia hapo ulipo ukipimwa unapewa kitanda. Idiot.
 
Lissu hakupaswa kugombea urais mwaka huu hadi afya yake itengamae. Inaonekana wazi kabisa afya ya Lissu bado sio nzuri na inawezekana akalazwa muda mrefu zaidi kuliko mwanzo......sasa inawezekenaje kumchagua mgonjwa ktk hali hiyo!!!
namshauri apumzike hadi 2025 huenda atakuwa amepona vizuri
 
Hivi huyo anaesingiziwa kutoa amri mbona hakanushi hilo au kumchukulia hatua za kisheria kwa kusingiziwa?
hizo ni siasa...kama kungekuwa na ukweli si angesema tangu mwanzo....iweje atamke wakati huu wa kampeni...., hizo ni kauli au propaganda za kisiasa haziaminiki
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Magufuli mbona anatembea na betri kwenye moyo wake?
 
Lisu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usinge rudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyo rudi ulivyo shuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapo lala unalindwa na Askari wa tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako walio kukosa?!?! Lisu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
ulipo lazwa nairobi viongozi hao hao unao watuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuuwa uwaruhusu kuja kukona hospitali?!!inawezekanaje!! huo ni uongo mtupu!!

Hapo kwenye kusema alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli hata yeye anajua sio kweli ila imekua kitu cha kisiasa zaidi. Uchaguzi upite kesi uendelee tutasikia mengi na yenye ushahidi
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.

Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.

Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.

Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais, na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Jiwe ni mgonjwa zaidi.. ndo maana mara nyingi amekuwa akikatisha kampeni kwenda kukarabatiwa. Lissu alikatisha mara moja tu alipozuiliwa na tume
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Na huyo wa kwenu mbona anaongoza na ukimwi wake
 
ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!!
Kwani ametuhumu viongozi gani? Amemtuhumu mmoja tu, jiwe, baasi.
Kwani jiwe alienda kumuona?

Ww unafikiri ni kwa nini jiwe alimnyima HAKI ya kulipiwa matibabu?!
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Hamukosi sababu. Kwani JPM ni mzima? Wewe je, uko mzima 100%? Maradhi mmempa ninyi halafu mnamdhihaki? Ninyi siyo watu.
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Hamukosi sababu. Kwani JPM ni mzima? Wewe je, uko mzima 100%? Maradhi mmempa ninyi halafu mnamdhihaki? Ninyi siyo watu.
 
Jiwe ni mgonjwa zaidi.. ndo maana mara nyingi amekuwa akikatisha kampeni kwenda kukarabatiwa. Lissu alikatisha mara moja tu alipozuiliwa na tume
Ugonjwa usiomzuia mtu kufanya kazi hauna shida.
Kikubwa hospital zetu ziendelee kuboreshwa kila mtanzania apate huduma zote ndani ya nchi
 
sasa akiondoka anarudii lini ...au ataondoka akishindwa uchaguzi ?
 
Back
Top Bottom