Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Hakika hatuwezi kuchagua Rais mgonjwa tukampeleka Ikulu ......tutapata hasara bure kama taifa....
Poa poa mkuu. Hatutaki mgonjwa aliyeliwa na mchwa kila "engo"
20201024_074416.jpg
 
baada ya kusema hadharani, Lisu amewathibitishia watanzania kuwa hali yake bado ni tete na hivyo anapaswa kurudi hospitali mara baada ya uchaguzi mkuu,
hii inatia shaka kuwa huenda akalazwa kwa muda mrefu zaidi kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa kwa baadhi ya wapiga kura wake kutokupoteza kura zao kwake na badala yake huenda kura za lisu zikarudi kwa Mgombea wa act.
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Na sisi watanzania hatuwezi kumpigia kura anatembea na feni hadi chini ya miti
 
Ugonjwa usiomzuia mtu kufanya kazi hauna shida.
Kikubwa hospital zetu ziendelee kuboreshwa kila mtanzania apate huduma zote ndani ya nchi
Ni kweli..
Nimemjibu tu huyo aliyesema kuwa huyu hafai kwa kigezo kuwa aliumizwa
 
Labda Rais wa TPBO Yassin Ustadhi au yule Rais wa vijana Bwana Nyosh El Sadat.

Amri jeshi Mkuu hawezi kuamrisha mtu apigwe shaba halafu akaishia kupapaswa nyonga na hips tu,amuulize J.Khashoggi anaujua mziki wake au mahasimu wa PK.

Of all hitmen waende unprofessional wa kutumia risasi 38 huku mtu mwenyewe kaning'iniza gololi tu hana hata manati?😁!
 
usiwe na upeo huo. Usichanganye siasa na afya ya mtu, tambua kuna maisha baada ya uchaguzi. Tambua kuna MUNGU hujui kesho yako!
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/
 
Labda Rais wa TPBO Yassin Ustadhi au yule Rais wa vijana Bwana Nyosh El Sadat.

Amri jeshi Mkuu hawezi kuamrisha mtu apigwe shaba halafu akaishia kupapaswa nyonga na hips tu,amuuze J.Khashoggi anaujua mziki wake au mahasimu wa PK.

Of all hitmen waende unprofessional wa kutumia risasi 38 huku mtu mwenyewe kaning'iniza gololi tu hana hata manati?[emoji16]!
Daaaah Ayo maneno ya wanaume aisee sio maneno ya mwanamke Kama wewe unayejua uchungu wa kuzaa.

Pole sana mamaa

Karibu tumpe kura za ndio Tundu Lisu 28/10/2020
Screenshot_20201023-075055.jpg
Screenshot_20201023-075118.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
TUndu lissu hapo ndipo napo muamini huwa hamumunyi maneno
Ukweli humuweka mtu huru
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.

Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.

Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.

Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Anatoroka mapeeeeeema. Andamaneni wenyewe
IMG-20201024-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom