dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Poa poa mkuu. Hatutaki mgonjwa aliyeliwa na mchwa kila "engo"Hakika hatuwezi kuchagua Rais mgonjwa tukampeleka Ikulu ......tutapata hasara bure kama taifa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa mkuu. Hatutaki mgonjwa aliyeliwa na mchwa kila "engo"Hakika hatuwezi kuchagua Rais mgonjwa tukampeleka Ikulu ......tutapata hasara bure kama taifa....
Na sisi watanzania hatuwezi kumpigia kura anatembea na feni hadi chini ya mitiKwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Ni kweli..Ugonjwa usiomzuia mtu kufanya kazi hauna shida.
Kikubwa hospital zetu ziendelee kuboreshwa kila mtanzania apate huduma zote ndani ya nchi
Mchwa ni nani?Poa poa mkuu. Hatutaki mgonjwa aliyeliwa na mchwa kila "engo"
View attachment 1610210
Naona msukumo wa kuandika ni hilo neno "snitch".Huyo snitch abakizwe hapa hapa
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani Magu mzima?unajidanganya, ukiambiwa ugonjwa wake utakimbia
Hivi nyie mnaounadi uzalendo mnaujua uzalendo?Mshenzi huyo amekuja kuvuruga taifa
Abakizwe hapa hapa apewe fundisho la uzalendo
Daaah afu mnaangaika si mumkamate mpate ata 43% ya kura za wananchi.Mbowe ndiye aliamrisha Lissu apigwe risasi
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/
Daaaah Ayo maneno ya wanaume aisee sio maneno ya mwanamke Kama wewe unayejua uchungu wa kuzaa.Labda Rais wa TPBO Yassin Ustadhi au yule Rais wa vijana Bwana Nyosh El Sadat.
Amri jeshi Mkuu hawezi kuamrisha mtu apigwe shaba halafu akaishia kupapaswa nyonga na hips tu,amuuze J.Khashoggi anaujua mziki wake au mahasimu wa PK.
Of all hitmen waende unprofessional wa kutumia risasi 38 huku mtu mwenyewe kaning'iniza gololi tu hana hata manati?[emoji16]!
Kichwa Chako cha kufugia nywele tuu. Unachangia halafu huelewi uko kwenye mada gani?Nimesikia katika moja ya mikutano ya siasa, eti kuna mgombea ana Return ticket ya kurudi ughaibuni baada ya uchaguzi. Je ni kweli?
Ni mkweliTUndu lissu hapo ndipo napo muamini huwa hamumunyi maneno
Ukweli humuweka mtu huru
Poa poa mkuu. Hatutaki mgonjwa aliyeliwa na mchwa kila "engo"
View attachment 1610210
Anatoroka mapeeeeeema. Andamaneni wenyeweMgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.
Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.
Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.
Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Kadhi mkuu karibu Tumpe kura za ndio Tundu Lisu 28/10/2020Kichwa Chako cha kufugia nywele tuu. Unachangia halafu huelewi uko kwenye mada gani?