Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

Basi ka
Lisu kama ni magufuli mwingine basi hafai kabisa. Hatutaki kirudisha chinja chinja mwingine madarakanj. We are fed up!!
 
Lissu kasoma sheria anajua mantiki, haki za binadamu, fairness.

Juzi watu (washabiki wake) walikuwa wanamuuliza kwa nini viongozi wa CHADEMA ambao wake zao ni wabunge waliofukuzwa wasiadhibiwe, akawa anawafundisha watu sheria na logic kwamba mtu hawezi kuhukumiwa kwa kosa la mkewe, wale ni wanachama in their own rights, kila mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe.

Magufuli asingejibu hivyo, angefanya summary execution tu. Angesema adui au msaliti vitani anauliwa tu.

Hiyo ndiyo tofauti ya Magufuli na Lissu.
 
vyotevyote utavyoona ila magu na lisu ni caliber moja na ndoo maana walishindwa ishi pamoja sio watu wakupindisha wamenyooka
 
Magufuli asingejibu hivyo, angefanya summary execution tu. Angesema adui au msaliti vitani anauliwa tu.

Hiyo ndiyo tofauti ya Magufuli na Lissu.
Una uhakika gani kama magufuli qngefanya execution tu. Wewe ulikuwa kwenye roho yake?
 
Tuishi nao hivyo hivyo, by the way Magufuli alikuwa na mapungufu yake lkn kwa uzalendo wa kulinda rasilimali za nchi kama madini, bandari,
mbuga na wanyama pori alikuwa sahihi kabisa.
Wanasema "the road to hell is paved with good intention".

Uzalendo bila kuijua dunia ni maangamizi tu.

Hata Adolf Hitler alikuwa na uzalendo wa hali ya juu wa kuiweka nchi yake mbele.

Tazama kafanya nini.

Albert Einstein alisema "Nationalism is an infantile disease. It is the measles of mankind".
 
Acha fix, Jiwe alipoteza watu ma hakutaka kukosolewaga.
 
Yote sawa lkn kwenye tamaa napingana na wewe Lissu hana tamaa angekuwa na tamaa zile 3B za Abdul asingeziacha.
wewe thubutu!

nani ampe B, mtu mwenye mdomo kama yule wewe? ana umuhimu upi kwanza?

tangu lini ombaomba akakataa chochote?

By the way,
ana uchu wa vyeo kupindukia, na ana pupa na tamaa ya madaraka mno,

na ndiyo maana anaukosa umakamu, anaukosa na uenyekiti pia vyeo ambavyo vyote alitamani awe navyo yeye pekeeyake πŸ’
 
Ngoja tuone maana yajayo yanafurahisha
 
Mkuu Tlaatlaah Lissu hana tamaa unazozisema....labda tu mmeingia upepo hapo mitaa ya Lumumba
hana tamaa vpi wakati mtu huyo huyo anatamani kua makamu mwenyekiti, wakati huo huo anatamani kua mwenyekiti wa chama?

sio tamaa hiyo gentleman, au hiyo ni uchu?

mtaka yote kwa pupa hukosa yote inamuandama vizuri sana πŸ’
 
WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ’ͺ🏿
Nimesoma comment hii nikakumbuka msimamo wa mwandishi wa kipindi kile kisha nikawaza hivi: "muda ni mwalimu nzuri"
 
hana tamaa vpi wakati mtu huyo huyo anatamani kua makamu mwenyekiti, wakati huo huo anatamani kua mwenyekiti wa chama?

sio tamaa hiyo gentleman, au hiyo ni uchu?

mtaka yote kwa pupa hukosa yote inamuandama vizuri sana πŸ’
Ila hana tamaa ya kujilimbikizia mali kama wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…