Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

Mungu ni mwema. Amemrejesha Tundu Lissu mahali pa Magufuli.
 
Huyu wa sasa ana tofauti kidogo
 
Kila mtu kila kiongozi na madhaifu yake.
ukiachilia utimamu wa kimwili,
Lisu ana matatizo makubwa mno, mathalani hekima na busara vimepita pembeni,

tamaa, makelele na mdomo ndio vimemzonga sana kiasi kwamba, kwenye siasa za kistaarabu za Tanzania hafai hata kidogo,

na ndiyo maana wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema zaidi ya 1000 wanamkataa🐒
 
Tofauti yao mmoja anataka sheria zifuatwe wakati mwingine anakanyaga sheria
 


Ninachompendea Lisu suala la kuua watu atalipinga kwa nguvu zote .

Yaani huwezi kuja kumsema mtu kwa Mh.Rais Tundu Antipas Lisu eti fulani ni tishio inabidi tumuue ,atakujibu ni tishio la nini?Amemtishia nani ? Kama amekosa mpelekeni mahakamani na sio kumuua kwa sababu nyie shamtoi hukumu ya kifo😂😂😂🤣
 
warioba J,tundu LISU akiwa kiongozi wa mwisho kwenye maamuzi tujiandae kufata sheria- jiandaeni CHADEMA kufata Sheria
 
Lisu alimtukana magufuli , msitusahaulishe
 
Lissu sio dikteta nakataa mkuu
Udikiteta wa mtu, huonekana toka mwanzo, kwa dalili na viashiria, ila hudhihirika wakati huyo would be dikiteta is in power,

Sina uhakika kama kuna mtu humu ameandika kuhusu udikiteta kama mimi,
Pitia mabandiko haya, nimesema nini kuhusu udikiteta
P
 
Unaweza kuwa sahihi, miaka kadhaa kabla ya Magufuli kuwa rais alisikika akisema siku nikiwa rais watu watalimia meno na ikawa kweli.
 
Lissu ni radical thats why anaogopeka na waovu ndani ya CHADEMA na huko CCM pia! Tofauti yake ni JPM ni kwamba Lissu ni mpenda haki na ni mbobevu wa sheria na ana clean sheet
 
Lissu ni radical thats why anaogopeka na waovu ndani ya CHADEMA na huko CCM pia! Tofauti yake ni JPM ni kwamba Lissu ni mpenda haki na ni mbobevu wa sheria na ana clean sheet
Upo sahihi udikteta wa Lissu ni kutaka sheria isomwe kama ilivyo yaani kama msumeno ikate mbele na nyuma, JPM yeye alikuwa na sheria zake kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…