Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

Lissu anamzidi Magu kitu kimoja tu.... Ni mwanasheria, msomi wa kweli na so fake lakini Ni mpenda haki. Magu hakuwa na sifa hizo.

So Lissu is far better.
 
Lisu alimtukana magufuli , msitusahaulishe

Ukimwambia Tundu Lisu kuwa Tunataka kumuua Fulani kwa sababu ni tishio kwa usalama wa 'chi ; Tundu Lisu atakufukuza kazi na kutoa amri ukalatwa kwa sababu wewe ndio tishio la uhai wa watu na mtuhumiwa namba moja wa uhalifu dhidi ya binadamu.

Warioba alisema Tundu Lisu akiwa Rais tujiandae kufuata sheria .

Hata Mungu alitoa amri na sheria ili zifuatwe kwa haki na haki itendeke kwa usawa.

Lisu ametufikia wote Chadema na CCM na nchi imezizima .

Lisu ndiye Kiongozi sahihi aliyebakia Tanzania .
Watu wengi tusio na vyama tunamuunga mkono . Na akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA tutajiunga na CHADEMA kwa wingi kabisa .
 
Lissu anamzidi Magu kitu kimoja tu.... Ni mwanasheria, msomi wa kweli na so fake lakini Ni mpenda haki. Magu hakuwa na sifa hizo.

So Lissu is far better.

Eti umfuate Lisu kuwa tumkamate Zuzu tumbambikie kesi ya Ugaidi au tumuue 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza atakufukuza kazi siku hiyo hiyo na atatangaza wazi.
Atasema kama mtu ana makosa akamatwe apelekwe mahakamani .

Ni kazi ya uchunguzi kufanyika na kumkamata mtuhumiwa bila kumbambikia kesi .
Hapo Lisu ataleta mabadiliko ya kweli na sheria itakua ya haki kweli kweli .

Haki huinua Taifa .
 
Sawa mkuu kila mtu na mtazamo wake
 
Na kyra tutampigia ila sasa mafisi wataziiba
 
Usifananishe uchafu na hii taka taka na Mzalendo Dkt Magufuli. Lisu ni mjinga fulani, ni kichaa fulani ambaye kichwani mwake akili zimefyatuka fyatu. Haiwezekani miaka ile enzi za Dkt Kikwete apiganie haki za madini kuibiwa then aje Dkt Magufuli aseme tunataka haki yetu ya kufaidika na madini then Lisu anageuka na kuungana na wamiliki wa migodi anachukua mpaka hela toka kwa wazungu ili amyumbishe Dkt Magufuli. Yaani alikuwa yupo mbele sana kuwatetea wezi wa madini kuliko nchi. Hivyo huyu ni kichaa kabisa hafai hata kwa uongozi.
 
tujiandae watanzania kuletewa katiba majumbani mwetu au tununue wenyewe na kusoma tuielewe pasipo kukupesa macho na kama huo utaitwa udictator acha uitwe ,pia tujiandae kubadilishiwa mitaala...kila mwanafunzi lazima asome Sheria kwaniaba ya civics
 
Naona bado unatembelea nyota ya Kalamagamba.

Lissu aliwaambia kwa mikataba mibovu mliyoingia mkiivunja hakika mtashitakiwa, mliposhitakiwa MIGA mkataka kumuua aliyewaambia ukweli.

Kabudi si yupo muulize makinikia yalienda wapi.
 
Naipendaje nchi yako wakati huwapendi watu wa nchi hiyo,taahira ni yule mtu asiyejitambua yeye ni nani na haki yake ni ipi. Ukiwa mkweli kwa kila jambo utaitwa kila jina,ila itabaki kuwa mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi pia
 
Huyo ni Dikteta kama wengine tuu na lazima atakuja Kuharibu Uchumi na maisha ya watu ikitokea bahati mbaya akawa Rais maana si unajua wale watu wa Lile Kanisa?

Mwisho natoa tahadhari msipotafuta maisha ambapo yupo Samia watakuja wale wa kanisa.lile jingine Kuharibu na kuanza kujisifu Kwa propaganda.
 
Kanisa lipi weka hoja yako wazi ujibiwe.
 
Wewe punguani hao wanafanana Kwa vitu vyote kuanzia uwezo wa kukariri vitu Hadi uropokaji.

On top of that ni watu wenye misimamo mikali ambao hawataki wengine wapate.

Binafsi watu wa dizaini hiyo nilishawajataa miaka yote ,usimuone Lisu anajifanya kutetea Haki sijui za nani hizo njia ya madikteta kujitafutia uhalali wa kuua wengine.
 
RC,, viongozi wote wa Kanisa Hilo ni makatili tuu na waharibifu wa Maisha ya watu.
Katoliki ndio waliouza bandari, ndio waliouza Loliondo, ndio wanaosomba twiga kuwapeleka Vatican.

Kwahiyo unataka kutuambia BAKWATA wamefanikiwa kupandisha maisha ya watanzania kwamba akiingia Lissu ambaye ni mkatoliki maisha yao yataharibika.
 
Katoliki ndio waliouza bandari, ndio waliouza Loliondo, ndio wanaosomba twiga kuwapeleka Vatican.
Hizo ni Lugha za wapumbavu na wasio na maana,kinachoitwa kuuza ni upotoshaji wenye lengo la Kukamatwa wajinga Ili wao wahalalishe kushika madaraka.

Tangu lini uwekezaji ukawa uuzaji? Mbona hamjadiki matokeo ya hicho mnachoita kuuza yalivyo Sasa na kabla havijauzwa?

Kawaambie punguani wenzio wajamaa na makatili na sio Mimi.

Ukiona mtu anahusudu siasa/madaraka kuliko ustawi wa Umma ni mpumbavu na Dikteta.

Si ajabu lile Kanisa lenu linamhangaikia huyo mtu wenu aje kuwa katili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…