Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

Usipanic umeanza mwenyewe kusema eti viongozi wa RC ni makatili, ukatili wao ni kumwambia Samia asiuze bandari.
 
Unapomsema Lisu Kwa sifa hizo usisahau ndio sifa za Magufuli.Magufuli ana hekima? Mtoa mada hajakosea na sie tunaojua kusoma tabia za watu tunasema wako sawa kabisa.

Mwingine wa msimamo mkali ni huyo DAB ila Sasa yeye ana tamaa ya kuishi Kifahari.

Kina Lisu na marehemu sio watu wa Maisha ya Kifahari ila ni watu wasiotaka wengine wafanikiwe,wapenda sifa,wanaojiona Wana akili kuliko wengine,Wataalamu wa propaganda and the likes.

Binafsi watu wa hivyo siwataki kabisa na Dunia hawataki historia imeonesha walikoishia maana Lugha zao ni za kufariji maskini.
 
Lissu na Magufuli hawafanani hata kidogo.
 
Unajadili nini sasa hapo? Tena kama hajauza basi amewapa
 
Usipanic umeanzisha mwenyewe kusema eti viongozi wa RC ni makatili, ukatili wao ni kumwambia Samia asiuze bandari.
Ni panic Kwa Ajili gani? Nakuekeza ubaya wa hao watu na bila shaka wanatokea kwenye Hilo Kanisa la matapeli.

Sio swala la Samia tuu kwani Mwendazake alipokuwa katili alikuwa anauza Bandari?

Nyerere alipokuwa katili Aliuza Bandari?

Mkapa wakati anafukia Watu kwenye migodi ana wafyeka wazanzibar na Wafuasi wa CUF nk Aliuza Bandari?

Mwisho Samia hajauza Bandari ila Kwa vile hamumtaki mnatunga uongo na propaganda za kuwadanganya punguani wenzenu wenye akili ndogo,Mimi siwezi danganywa na watu kama Kitima ,Lisu ,Magu na watu wengine wa hivyo.

Nimekuuliza matokeo ya baada ya kuuza Bandari na kabla mbona hujadili?
 
Kupona kwa Lisu kwa risasi zile, Kiroho Mungu ana makusudi yake na huyu Lisu, mkikosea nyie wafanya maamzi, Karma itawachapa!
 
Huwezi elewa maana una wingu na ujinga kichwani.

Tufanye amewapa,ehee Baada kuwapa ndio Mapato yakaongezeka au siyo? 🚮🚮
Waarabu sio wajinga wanajua kula na kipofu, unawapa bandari wanakupa tende za kula mwezi mmoja.

Vote for Lissu.
 
Waarabu sio wajinga wanajua kula na kipofu, unawapa bandari wanakupa tende za kula mwezi mmoja.

Vote for Lissu.
Sasa wajinga ni kina nani ambao hawali na kipofu? Wazungu wa Italy ya Roma au?

Ndio maana nasema hajawahi kuwa na akili nyie punguani.
 
Naona bado unatembelea nyota ya Kalamagamba.

Lissu aliwaambia kwa mikataba mibovu mliyoingia mkiivunja hakika mtashitakiwa, mliposhitakiwa MIGA mkataka kumuua aliyewaambia ukweli.

Kabudi si yupo muulize makinikia yalienda wapi.
Mpaka leo makinikia hayaendi nje. Tulichotaka sisi ni uthubutu wa kusema sasa kunyonywa basi. Lisu ni lijinga sana halina akili. Na aliyetaka kumuua ni mbowe na inajulikana mbowe ni gaidi na chinja chinja lililoonewa huruma na Dkt Samia lasivyo mpaka sasa lingekuwa limeshahukumiwa kunyongwa hadi kufa kabisa. Hata sasa umeona lisu mwenyewe kaibuka li mbowe lilitaka kumuua hahaha akajiwahi ila linaweza kumuua tu kwa sababu mbowe hataki kabisa kuachia uenyekiti
 
Eti mpaka sasa makinikia hayaendi nje, basi endelea kuota hivyo.
 
Sasa wajinga ni kina nani ambao hawali na kipofu? Wazungu wa Italy ya Roma au?

Ndio maana nasema hajawahi kuwa na akili nyie punguani.
 
Eti mpaka sasa makinikia hayaendi nje, basi endelea kuota hivyo.
Aliyeruhusu lazima aje afungwe maana ni uhujumu uchumi. Yaani inauma sana sisi watanzania kuibiwa mali halafu kuna watu wanashangilia
 
Hesabu zake ndio hesabu za serikali? 😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DDJZVp7qK_i/?igsh=MXFlNzdqYjRxY3dkZg==
View: https://www.instagram.com/reel/DDK2APqt3ag/?igsh=Z3F3emJqdjN1Y21s
Kwa taarifa Yako tuu,with DP World impacts at the port,Kwa Sasa Serikali inakusanya Mapato zaidi ya target yaani imezidi 100% haijawahi tokea kabla Toka kuumbwa Kwa TRA 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDyldT6KEmd/?igsh=cjdsZzNoczY3cGNq
 
U
jUzi kati nilikua naongea na jamaa yangu kama ulivyosema mkuu Lissu ni type ya meko sio wanasiasa hawa hawanaga unafiki wamenyooka kama ruler
 
The only difference waliyonayo ni ile sense of reasonability. Magufuli was so unreasonable to the extent alipoteza focus ya kile alichokuwa anasimamia au alichokuwa anakiamini kwenye uongozi wake. Aligeuka kutoka kiongozi na kuwa mtawala ikawa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…