Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

Lisu ni kiongozi mzuri na mwenye maono na anaeipenda nchi yake, lakini apunguze mdomo na ujuiaji mwingi, binaadamu hutakiwi kuropokaropoka kila unachokiwaza.
1. Utakuwa mshamba na hauna exposure yoyote.
2. Ukiwa mshama kuuficha ukweli ndio busara/hekima
3. Mtu mjanja, muwazi, mkweli husema ukweli regardless watu watamuonaje
 
Nina sikiliza audio ya Slaa, anamchana Mbowe hadi inakatisha tamaa.
Anaeleza wazi kuwa:
1. Mbowe anatumiwa na dola kwa ahadi ya kupewa wabunge na madiwani.
2. Mbowe siku zote yuko juu ya katiba ya cdm hujifanyia mambo kama saccos yake tangu mwanzo.
3. Anadai dola imejipanga kuipasua cdm siku ya uchaguzi kama ilivyofanya kwa NCCR pale Tanga.
 
Yeye mwenyewe ana matusi kama mtoto wa tandale
 
Ushahidi wa haya unayobwabwaja dhidi ya Lisu uko wapi?!
 
Mbowe akiendelea tu na uenyekiti chadema sitakaa niipende chadema maisha yangu yote.
 
Lissu chama kinamuhitaji, Mbowe bado pia chama kinamuhitaji, ila kubwa kuliko yote kila mmoja anahitajika ndani ya chama ili chama kufikia malengo yake ,aya ya kusema mtu flani ni taasis inayotembea ,we umeona wapi taasis inayotembea ikawa taasis, kumpamba mtu sana ndo kunazalisha uchawa.

Chadema ina watu ,wenda hata uyo lissu ,Mbowe wasione ndani, kuna watu ndani ya chadema wana moto bora ya lissu na Mbowe nawambieni.
 
Mimi nimeshaapa katu kwa kipindi hiki sitakuwa sehemu ya Chadema iliyo chini ya Mbowe. Nitastaafu rasmi haya mambo ya siasa japo bado sana ila ni bora kuendelea na mambo mengine kuliko kupoteza muda bila matokeo ya msingi.
mkuu, umeni-pre-empty!

uko sahihi sana
 
Mimi nimeshaapa katu kwa kipindi hiki sitakuwa sehemu ya Chadema iliyo chini ya Mbowe. Nitastaafu rasmi haya mambo ya siasa japo bado sana ila ni bora kuendelea na mambo mengine kuliko kupoteza muda bila matokeo ya msingi.
Ni bora kuendelea na mambo mengine bila kupoteza muda kwa mambo yasiyo na msingi
 
Hakika
 

..kwa kilichotokea ktk serikali za mitaa Samia sio mtu wa kumuamini katika lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…