Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Huyu ni mjinga huyu, ashindwe mara ya ngapi? Kwa nini hajitangazi kushindwa ana subiri nini? Maana dalili zote ziko wazi kashashindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko barabarani ataingiza familia yake, najua hata mwenye chama hayupo tayari kupeleka familia yake barabarani. Watu wajue tu, Lissu ni mtu aliyejikatia tamaa ndio maana kauli zake ni Shari tu. Kibano kipo palepale Oct 28.Huyu jamaa hii kauli yake huwa inanichekesha Sana! Eti 'ntaingiza watu barabarani" 🤣🤣🤣 aysee... Ni mtu gani anaeweza kukubali kuingizwa barabarani?
Hata km ni manyumbu ila sizani km watamuelewa.
Chuma cha pua hiki...spana zake zinawanyima usingizi mpaka wanawewesekaMgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.
Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.
Amesema CHADEMA wakishinda ni lazima Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itangaze kwa heri au kwa shari.
Amesisitiza wanataka Uchaguzi wa Amani, lakini hawatakuwa tayari kugeuza shavu la pili ili waumie zaidi. Ameyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Tabora.
Kwa taaluma yako ya ulozi umeshindwa ata kumpigia ramli lissu kuona anafeli wapi?Chuma cha pua hiki...spana zake zinawanyima usingizi mpaka wanawewesekaView attachment 1602880
Hizi ahadi zilikua kwa wapiga kura wa kawe? au kwa waumini wake? Mimi nadhani ulitakiwa kuweka ahadi za mbunge wetu wa kawe alizotoa 2015 ili tujue kama zilitimizwa badala ya kumuonea mtu ambae hajawahi kuwa mbunge wala kupewa dhamana yoyote na wanakawe.SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani[emoji328][emoji328][emoji328][emoji328], Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Safari hii watashangaaKwahiyo mtapora ushindi maana hakuna wa kuingia barabarani?
Vipi wewe hapa unatokea nyuma ya makalio ...acha upumbavu na ujunga si nyie muna bunduki na vifaru wasubilieni hayo manyumbu kuliko kuwatishatisha....kama hujuwi hata semu wanatengeneza hizo bunduki na risasi watu wanafanya maandamano sambusa sisi hata na mishale nishida kutengeneza ......wasitende haki tuone this guy is well exposed kila mda anajuwa next move sio mshamba kama mzee wenu.Hakuna mtanzania mpumbavu wakuingia barabarabini zaidi ya manyumbu ya kutokea jf yaandamane nyuma ya keyboard
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani[emoji328][emoji328][emoji328][emoji328], Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Acheni unyumbu! Hakuna mtanzania anaeweza kuingia barabarani! Sio Somali hi!. Mikakati yenyewe ya ushindi hamna!Vipi wewe hapa unatokea nyuma ya makalio ...acha upumbavu na ujunga si nyie muna bunduki na vifaru wasubilieni hayo manyumbu kuliko kuwatishatisha....kama hujuwi hata semu wanatengeneza hizo bunduki na risasi watu wanafanya maandamano sambusa sisi hata na mishale nishida kutengeneza ......wasitende haki tuone this guy is well exposed kila mda anajuwa next move sio mshamba kama mzee wenu.
Acha kutetea ushetani wewe kama mtu anaweza kuwadanganya waumini au watoto wa mungu jee wewe fisi tu si anaweza hata kukukata kolodani??Hizi ahadi zilikua kwa wapiga kura wa kawe? au kwa waumini wake? Mimi nadhani ulitakiwa kuweka ahadi za mbunge wetu wa kawe alizotoa 2015 ili tujue kama zilitimizwa badala ya kumuonea mtu ambae hajawahi kuwa mbunge wala kupewa dhamana yoyote na wanakawe.
Acha kukariri kama huna Tv nenda kachunglie kwajirani yako ...nchi ngapi kwasasa maandamano yanaendelea?tendeni haki musiwape wanajeshi wetu tough time kwasababu ya kulazimiswa kupendwaAcheni unyumbu! Hakuna mtanzania anaeweza kuingia barabarani! Sio Somali hi!. Mikakati yenyewe ya ushindi hamna!
Kwanza kwa kifupi iko hivi iwe ameshinda iwe kashindwa tunaandamana either kwa furaha,ama kwa hasira!. Mnasema keyboards warriors! Bado siku 12 subirini!Acheni unyumbu! Hakuna mtanzania anaeweza kuingia barabarani! Sio Somali hi!. Mikakati yenyewe ya ushindi hamna!
Hizo kelele tumeshazikia sana zinaishia humu Jf tu!Kwanza kwa kifupi iko hivi iwe ameshinda iwe kashindwa tunaandamana either kwa furaha,ama kwa hasira!. Mnasema keyboards warriors! Bado siku 12 subirini!
Safari hii hizo kelele utazisikia barabarani kwenye miji mikubwa!Hizo kelele tumeshazikia sana zinaishia humu Jf tu!
Miji mikubwa ya Jf!Safari hii hizo kelele utazisikia barabarani kwenye miji mikubwa!
Wakati ukifika utajua kama ni miji mikubwa ya wapi!Miji mikubwa ya Jf!