Uchaguzi 2020 Lissu: Nikishindwa kwa haki nitakuwa wa kwanza kujitangaza

Amelifanyia nn Jimbo la kawe kwa miaka 10? Hiyo ndo hoja. Kama hakuna alichofanya ni sawa tu. Sasa Kwann unazunguka ndugu?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Kwanza Magu ambaye alikua amepewa resources zote nchini ametufanyia nini ?mbunge sio kazi yake yakuchukua resources toka serikalini nakwamua hapa tujenga flayover ,barabara au tuwapige raia kwakununua videnge bila kufwata procument process.Huyo unampigia debe muongo hafai.Alisema atanunua electric train hata bila aibu hana reli,atanunua videge 12 vya kubeba abiria,ameshindawa hata kujenga kanisa lake watu wanaolowa na mvua sasa leo anataka ubunge.NO abakie huko huko ili aendelee kutafuna kondoo zake.
 
Sijampigia mtu debe hapa. Nimeuliza tu mbunge wetu wa kawe katufanyia nini kwa miaka 10? Hili swali toka jana halijapata majibu bado. Na ninahisi mpaka tutaenda kupiga kura hili swali halitakua na majibu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Sijampigia mtu debe hapa. Nimeuliza tu mbunge wetu wa kawe katufanyia nini kwa miaka 10? Hili swali toka jana halijapata majibu bado. Na ninahisi mpaka tutaenda kupiga kura hili swali halitakua na majibu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Shida tayari unalo jibu lako wakati unauliza ili ufanye comapare ndiyo inakuwa shinda mtu wa poor reasoning ability ...ndiyo main challange ya vijana wakijani you dont think out of the box.Au niambie wewe perfomance measurement ya mbunge baada ya miaka mitano ni ipi ili ni reboot kichwaa chako vizuri???
 
Ha ha ha haaaaa. Kwahiyo mnadhani kila anayekuja kwenye mikutano ya Lissu hana akili?
Wanazo akili sana tuu ndiyo maana hawaendi kumuangali Mondi wakati anakata mauno wanakuja kwa Mh Lissu kusikiliza hoja tuu nakusepa
 
Mkuu sijauliza kazi za mbunge, nimetaka kujua tu alichotekeleza mbunge wetu wa kawe kwa kipindi cha miaka 10 Ili tumpe tena miaka 5. Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuelezea kitu ambacho sijauliza.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Tufunge maswali yako ya kipumbavu na ujinga na link hiyo.....kama unayo data tazama hiyo compilation.Mumezoea uongo kama Mugu weni.bullshit

https://www.jamiiforums.com/data/video/2595/2595093-06f76a99b7563e0d95a1b065f58fb823.mp4
 
Back
Top Bottom