Uchaguzi 2020 Lissu: Nikishindwa kwa haki nitakuwa wa kwanza kujitangaza

Uchaguzi 2020 Lissu: Nikishindwa kwa haki nitakuwa wa kwanza kujitangaza

Lisu ni mgombea halisi toka zao la upinzani, sio pandikizi toka chama tawala. Hivyo anachokiongea yupo tayari kukitetea tofauti na ilivyokuwa kwa Lowasa au Membe kama alivyopandikizwa awamu hii ya uchaguzi.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC) anajukumu kubwa la kulinda amani ya nchi hii kwa kutenda haki kwa kumtangaza mshindi wa kweli.
Nyinyi vurugeni amani halafu mseme watu wengine. Nawaambia pakiharibika huyo Lisu au Mbowe hamtawaina hata siku moja. Vurugeni nyumba yenu ukitaraji jirani akusaidie.
 
Umeona Sasa.
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya. Chakushangaza baada ya matokeo watadai wameibiwa kura.
Hahahaa
 
Atawaingiza watu barabarani? Kwa maslahi ya nini?

Hao watu atakaowaingiza barabarani ni wakina nani?

Ngoja tuone...



Cc: mahondaw
 
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani📷📷📷📷, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
hahahaha dah Aisee nimecheka sana ivi iyo ya kumfufua Amina Chifupa imekaaje? kiukweli hafai
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mjomba mbona umepanic sana. Hivi kazi za mbunge zilizotajwa kwenye katiba zinaweza kweli kukufanya mtu ujue mbunge wako alichokitekeleza kwenye Jimbo lake? Hayo majukumu yaliyotokea kwenye katiba yapo general kwa kila mbunge, sisi wapiga kura tunataka kujua vitu specifically vinavyotugusa ambavyo amevifanya.

Lakini hii ndo inaonyesha uhalisia wa mbunge tuliekua naye. Mpaka nyinyi mnaompigia kampeni kwenye mitandao, mnapata shida kumjibia pale mnapoulizwa amefanya nni kwenye Jimbo letu la kawe kwa miaka 10. Matokeo yake ndo haya mnaishia kutukana.
Majibu yaliyojaa weledi na busara..👍

Mbona nyie ccm pamoja na kuonesha wazi mtashindwa, lakini hamna matusi na kejeli kama ilivyo upande wa 'ushindi'??
Why!
 
Lissu ameshasema mara kadhaa kwamba akishindwa kwa haki atakubali matokeo! Sasa wananchi tunataka kumsikia na mgombea wa CCM jr akishindwa atakubali matokeo???
 
Majibu yaliyojaa weledi na busara..👍

Mbona nyie ccm pamoja na kuonesha wazi mtashindwa, lakini hamna matusi na kejeli kama ilivyo upande wa 'ushindi'??
Why!
Mashoga poleni sana! CCM hawawezi kuhojiana na genge LA mashoga
 
Mwambieni asisahau kumeza vidonge vya kuzibua valve za moyo. Maana imefikia hatua Sasa Jakaya anamuombea kura "in absentia" utadhani ni mfungwa au mkimbizi wa kisiasa.
Mwambie Huyo shoga, ana bwana yake anaedanganya umma kuwa ni wakili wake, ikulu haendi, wazungu watamtumia sana, nchii ski ya kishoga
 
Mwambie Huyo shoga, ana bwana yake anaedanganya umma kuwa ni wakili wake, ikulu haendi, wazungu watamtumia sana, nchii ski ya kishoga
Hoja mfu. Sasa ndiye kawashika pabaya mpk jiwe sukari inashuka qnaamua kupumzika.
 
Mbona hayati alishawaambia nchi hawezi kupewa mtu kwamakaratasi?
Huyo hayati ni MUNGU? Kwanza umesha sema kwa sasa ni marehemu, ana uwezo gani kwa sasa kupangia walio hai?
 
Ashindwe mara ya ngapi?

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom