Uchaguzi 2020 Lissu: Nikishindwa kwa haki nitakuwa wa kwanza kujitangaza

Hii sio Mara ya kwanza kwa Lisu kutamka hivyo,,tunachotaka sasa aje na kauli ya kumtaka mgombea wa ccm aji commit kukubali matokeo ya kushindwa pindi akishindwa uchaguzi na akabidhi madaraka kwa amani Kama ilivyo desturi ya Watanzania,la sivyo akikaidi awe tayari kulazimishwa kuondoka kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano na aje ku face the quencequences,huwezi msamehe mtu mkaidi
Lissu ni Nani Ampangie Magufuli cha kuongea au Kufanya EBU KUWENI NA ADABU KWA RAIS WA NCHI ivi ni lazima ujinga wenu muutangaze mitandaona.Magufuli sio size ya LISSU size ni Yule mzeee Wa ubwabwa Hashim Rungwe. Tena MKOME PUMBAVU KUMAFANISHA RAIS NA WATU WASIO NA ADABU KWA NCHI YETU
Lissu ni Muhuni Kama Wahuni wengine.

HATUWEZI KABIDH NCHI KWA WAHUNI NA MASHOGA
 
Ujitangaze umekuwa tume? Hata usipojitangaza kushindwa kwako kutangazwa tu.
 
Lissu ni Nani Ampangie Magufuli cha kuongea au Kufanya EBU KUWENI NA ADABU KWA RAIS WA NCHI ivi ni lazima ujinga wenu muutangaze mitandaona.Magufuli sio size ya LISSU size ni Yule mzeee Wa ubwabwa Hashim Rungwe. Tena MKOME PUMBAVU KUMAFANISHA RAIS NA WATU WASIO NA ADABU KWA NCHI YETU
Lissu ni Muhuni Kama Wahuni wengine.

HATUWEZI KABIDH NCHI KWA WAHUNI NA MASHOGA
Wewe ni mpuuzi mmja hivi,anaeongelewa hapa ni Magufuli mgombea ni lazima atoke kuji commit na si vinginevyo.Wapambe Kama nyie wenye hofu ya kupoteza ulaji ndio mlimwambia anakubalika Sana sasa maji shingoni.
Ndugu pata glass moja ya maji baridi upunguze hasira watakufukia kwa pressure,nyie ndo mliomfikisha hapa yule jamaa anaeshinda gereji Kama gari ya mkaa mlimpamba sasa mnadhani mnavyomuona Mungu mtu huko ccm Basi wote tuone hivyo,haipo hiyo
 
Mlishikishwa ukuta na mange ndo mtaweza kuingia barabarani nyi?
Mange anagombea kupitia chama gani? Kwani ni mgombea uraisi anayeishi hapa nchini we mpuuzi? Vijana wa Lumumba hamjielewi kabisa.
 
Mkuu sijauliza kazi za mbunge, nimetaka kujua tu alichotekeleza mbunge wetu wa kawe kwa kipindi cha miaka 10 Ili tumpe tena miaka 5. Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuelezea kitu ambacho sijauliza.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Sawa wewe ni mjinga na puuzi ...l thought after have brought duties of Member of Parliament you could single out from the list ametekeleza au laa ? au umekariri tuu maswali hujuwi kama yamejiwa au laa? sawa nimekuana mpumbavu and garbage husaidiki tafuta mtu mwingine.Foolish young boy
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mjomba mbona umepanic sana. Hivi kazi za mbunge zilizotajwa kwenye katiba zinaweza kweli kukufanya mtu ujue mbunge wako alichokitekeleza kwenye Jimbo lake? Hayo majukumu yaliyotokea kwenye katiba yapo general kwa kila mbunge, sisi wapiga kura tunataka kujua vitu specifically vinavyotugusa ambavyo amevifanya.

Lakini hii ndo inaonyesha uhalisia wa mbunge tuliekua naye. Mpaka nyinyi mnaompigia kampeni kwenye mitandao, mnapata shida kumjibia pale mnapoulizwa amefanya nni kwenye Jimbo letu la kawe kwa miaka 10. Matokeo yake ndo haya mnaishia kutukana.
 
Mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA, ameonya vikali kuwa kamwe yeye hatokubali michezo ya udanganyifu katika uchaguzi mkuu huu.

Akiongea na wananchi wa Dodoma hapo jana, Ndugu Lissu ametoa taarifa kwa wananchi wa mkoa huo kuwa kwa kadri alivyotembea nchi nzima, amejionea kwa macho yake namna CCM ilivyochokwa na wananchi.

Lissu akasema kuwa kutokana na hali hiiyo anaona kuwa mbinu pekee ya CCM wanayotegemea kushinda uchaguzi huu ni kutegemea wakurugenzi na NEC viwape favor hata pale wasipostahili. Lissu ameonya kuwa hilo likitokea halitakubalika.

Lissu ameonyesha kushangazwa na kauli ya makamu wa raisi Samia Suluhu, anayepita njiani na kuwaambia wananchi kuwa hata wasipoichagua CCM, Chama hicho kitashinda tu, Lissu amekemea vikali sana kauli hiyo.

Lissu amekuwa akipita njiani na kuhimiza wananchi watumie haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi wawatakao, amekuwa akisisitiza kuwa aliyeingia kwa kura basi aondoke kwa kura na si vinginevyo, Ila wale watakaochezea chaguo halali la wananchi hao wanatafuta shari na wananchi kamwe hawatokubali.

Msikilize Lissu hapa anavyosema:

[emoji23][emoji23][emoji23] mjomba mbona umepanic sana. Hivi kazi za mbunge zilizotajwa kwenye katiba zinaweza kweli kukufanya mtu ujue mbunge wako alichokitekeleza kwenye Jimbo lake? Hayo majukumu yaliyotokea kwenye katiba yapo general kwa kila mbunge, sisi wapiga kura tunataka kujua vitu specifically vinavyotugusa ambavyo amevifanya.

Lakini hii ndo inaonyesha uhalisia wa mbunge tuliekua naye. Mpaka nyinyi mnaompigia kampeni kwenye mitandao, mnapata shida kumjibia pale mnapoulizwa amefanya nni kwenye Jimbo letu la kawe kwa miaka 10. Matokeo yake ndo haya mnaishia kutukana.
so kama hakuna performance measurement tangible wakati nimekupa kazi ambazo umesama ni general kwa wabunge wote siona shida yaku hoji.hive utajuwaje anahojo serikali bungeni wakati mumezima bungeni live?? nyuma sana hukumuona Mh Mdee Bungeni wakati wabunge weni wanagonga meza tuu nakusema Ndiyooooooooooo.Au unatalajia niseme kazi za mbunge nikujenga maflyover,barabara n.k?for your information nipe majimbo kumi tuu ambayo yapo chini ya CCM kwa miaka zaidi 50 kuna maendelewo zaidi ya Kawe kwasababu wabunge wawo ni wachapakazi hodari.Ni afadhali wewe mjinga na mpumbavu uwe mbunge wa Kawe kuliko huyo Gwajboy munayempigia mapimbio.
 
Good
 
Hata gadafi na saadam watu waliokuwa ni maGIANT na MINGUVU sio km uyu uchwara wenu waliokuwa na mawazo mgando kama haya yako, lkn leo wewe unajua wako wapi
Huyu jamaa hii kauli yake huwa inanichekesha Sana! Eti 'ntaingiza watu barabarani" [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aysee... Ni mtu gani anaeweza kukubali kuingizwa barabarani?
Hata km ni manyumbu ila sizani km watamuelewa.
 
so kama hakuna performance measurement tangible wakati nimekupa kazi ambazo umesama ni general kwa wabunge wote siona shida yaku hoji.hive utajuwaje anahojo serikali bungeni wakati mumezima bungeni live?? nyuma sana hukumuona Mh Mdee Bungeni wakati wabunge weni wanagonga meza tuu nakusema Ndiyooooooooooo.Au unatalajia niseme kazi za mbunge nikujenga maflyover,barabara n.k?for your information nipe majimbo kumi tuu ambayo yapo chini ya CCM kwa miaka zaidi 50 kuna maendelewo zaidi ya Kawe kwasababu wabunge wawo ni wachapakazi hodari.Ni afadhali wewe mjinga na mpumbavu uwe mbunge wa Kawe kuliko huyo Gwajboy munayempigia mapimbio.
Amelifanyia nn Jimbo la kawe kwa miaka 10? Hiyo ndo hoja. Kama hakuna alichofanya ni sawa tu. Sasa Kwann unazunguka ndugu?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Lisu ni mgombea halisi toka zao la upinzani, sio pandikizi toka chama tawala. Hivyo anachokiongea yupo tayari kukitetea tofauti na ilivyokuwa kwa Lowasa au Membe kama alivyopandikizwa awamu hii ya uchaguzi.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC) anajukumu kubwa la kulinda amani ya nchi hii kwa kutenda haki kwa kumtangaza mshindi wa kweli.
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.

Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.

Amesema CHADEMA wakishinda ni lazima Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itangaze kwa heri au kwa shari.

Amesisitiza wanataka Uchaguzi wa Amani, lakini hawatakuwa tayari kugeuza shavu la pili ili waumie zaidi. Ameyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Tabora.

Watu waliingia barabarani na kusababisha machafuko huku yeye akiwa amejificha ndani na familia yake ndio Raha yake. Ajiandae tu kisaikolojia wapiga kura wa kweli hawapo mitandaoni.
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.

Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.

Amesema CHADEMA wakishinda ni lazima Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itangaze kwa heri au kwa shari.

Amesisitiza wanataka Uchaguzi wa Amani, lakini hawatakuwa tayari kugeuza shavu la pili ili waumie zaidi. Ameyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Tabora.
Hivi Lissu yeye hana Price Tag?.Nauliza tu jamani.
 
Back
Top Bottom