Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Inasikitika tunaopiganiwa tumelala fofofoSaa ya ukombozi yajongea taratibu.
Mkuu, mie ndo nimetoka mahakamani nawahi basi nirudi nyumbani Kibaigwa.Inasikitika tunaopiganiwa tumelala fofofo
Huyu mtu anaogopesha,ukiwa na akili ndogo lazima upaniki!😁Dah huyu jamaa ana ujasiri wa ajabu sana,
Kuna mtu ana ushungi akiona Lissu ana furaha tele moyoni kuliko yeye mwenye mamlaka yote ya nchi hii anaumia sana.Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.
View attachment 3390221
Umetuwakilisha vyema sana ndgMkuu, mie ndo nimetoka mahakamani nawahi basi nirudi nyumbani Kibaigwa.
Nipo TZ kwa sasa nishuhudie mwanasiasa mahiri Tundu Lissu akiwachachafya watu wengi wenye nia ovu.
Huyu anakutisha na silaha zako na utaogopa tuDah huyu jamaa ana ujasiri wa ajabu sana,
Huyu analeta siasa za mwaka 1960. Hatafanikiwa.Mmesikia huko ninyi maccm? Lisu akitoka gerezani itakuwa ni mwendo wa barabarani tu. Yale ya yule jaji mwingine hayapo!
Unamuonea.Kuna mtu ana ushungi akiona Lissu ana furaha tele moyoni kuliko yeye mwenye mamlaka yote ya nchi hii anaumia sana.