GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.

View attachment 3390221
Mwamba anajiamini sana
Yupo gerezani lakin ana ujasiri wa ajabu na hajapoteza matumaini😁
 
Ukitoka badili gia weka presha ya uchaguzi watia nia watapata kiwewe sana. Una majembe ya kuleta upinzani
 
Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.

View attachment 3390221
Ila Lissu, he is so happy, confedent na hana wasiwasi kabisa, sijui bi kizee anajisikaiaje akimuona
 
Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.

View attachment 3390221
Huo mchakamchaka anaufanyaje na chama chake kimezuiliwa na mahakama kwa Sasa kufanya shughuli za kisiasa...na vilevile chama chake hakitashiriki uchaguzi,,mwisho wa siku kura watapigiwa wale walioshiriki uchaguzi.
 
Back
Top Bottom